ndoa

  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Video za utupu na punyeto hupelekea mwanaume kupoteza ufanisi katika tendo la ndoa

    Kuna ukweli wowote katika hili?
  2. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Angel Benard aolewa mara ya pili

    Habari, Msanii Angel Bernard ameolewa kwa mara ya pili. Mara ya kwanza aliolewa na Producer wa Nyimbo za Injili Godsave Sakafu. Angel akiwa na Godsave Sakafu siku ya Sendoff yake Julai 2015 Picha zake na mume wake mpya hizi hapa:- Kulikoni wanamuziki wa nyimbo za injili wa kike?
  3. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ushoga, Usagaji na Talaka, wanawake rudini katika misingi ya kulea familiya kama jukumu mlilopewa na Mungu

    UTANGULIZI Ni ukweli usiopingika kwamba, siku hizi majanga ya kuporomoka kwa maadili katika jamii yanaongezeka tena kwa kasi sana. Miongoni mwa majanga haya ni pamoja na Ushoga, Usagaji, kuvunjika kwa ndoa na mengine mengi. Majanga haya ni mambo mabaya sana mblele za Mwenyezi Mungu na hata...
  4. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Mikopo umiza yavunja ndoa

    Mikopo imetungiwa majina ''Kausha damu'' na ''chupi mkononi'' Wanaume wana la kujifunza hapa kwa wake zao kuhusu vikundi na wanawake kujiunga na haya madhehebu yanayochepuka kama uyoga yanayowapa watu cheo cha unabii sio mungu na kuwauzia watu mafuta ya upako na maji ya chumvi kwe bei kubwa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ndoa zetu na mifuko ya Hifadhi ya Jamii iwekwe wazi. Wanachama wanahangaika kupata mafao yao

    Habari zenu wana JamiiForums na Taifa kwa ujumla. Kuna mambo kama nchi ni lazima yawekwe wazi kwa manufaa na ustawi wa wananchi. Moja ya mambo hayo ni hili la mafao kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Binafsi nafurahishwa sana na mpango huo ila natatizwa pale ninapoona wanachama...
  6. KIDUME20

    JamiiForums Tanzania Hapa chini ntaweka visa kadhaa nilivyoshuhudia na vingine nilivyokutana navyo kwenye harakati za maisha

    Wakuu za sahizi Tuendee direct kwenye mada... Hapa chini ntaweka visa kadhaa nilivyoshuhudia na vingine nilivyokutana navyo kwenye harakati za maisha KISA CHA 1: CHA NDUGU YANGU WA MBALI - huyu ni mbibi wa miaka 57 tarehe x/7/2023 anatarajia kufunga ndoa mkoa x na muosha magari. Inaanza...
  7. John Sin

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa wenzangu wamenitenga

    Imefikia mahali hadi nakosa raha kabisa yani watu niliwaamini kama ndugu zangu humu JF leo wananitenga nakunipakizia kashfa mbaya mbaya na chafu. Mimi kama kijana nilikua sitaki kuoa nikuwa kijana lengo langu lilikua ni kuchakata mbususu hadi ntapofika umri wa miaka 70- 80+ ndo nitimize nusu ya...
  8. jastertz

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa za kutafuta mwenza mwenyewe hazidumu kuliko zile walizokuwa wanatafutiwa?

    Habari wa JF, Leo nilikua mahali napiga story mbili tatu na pisi moja hivi mitaa ya stend. Tuliongea mengi then tukazama kwenye story za mapenzi, nikamuuliza, kwanini wapenzi wa kutafutana na kupendana hawadumu kwenye ndoa, tofauti na zamani ile unaambiwa huyu ni mke/mme wako? Mnaona ambao...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wafaham Vijana wa kampeni ya "Kataa Ndoa " !!

    Baada ya Kupita pita kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali Kwa lengo la Kuona ni Kwa ukubwa gan hii kampeni ya Kataa Ndoa imefikia, na kundi gan la Vijana linaloshadidia hii kampeni , nikagundua yafuatayo 👉Vijana Hawa wengi wao ni hawana Ajira Rasimi japo wapo wenye Ajira ,,,yan Kwa ufupi ...
  10. RedPill Prophet

    JamiiForums Tanzania Sheria za Tanzania kuhusu ndoa zibadilishwe kulingana na mabadiliko ya Utamaduni na jamii

    Sheria za Tanzania kuhusu ndoa kuwa Mwanaume anatakiwa kulea na kuitunza familia peke yake bila pesa za mkewe kutumika inatakiwa ibadilishwe kutokana na mabadiliko ya kijamii kwa sasa maana kipindi kile mwanaume ndo alikuwa sole provider wa familia ila kutokana na mapinduzi ya kijamii ambao...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, atafanya mambo haya

    Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, lazima atafanya mambo haya amtembeleapo mpenzi wake wa kiume:- Kufua nguo Kupika Kusafisha nyumba Kutandika kitanda Kutoa mapenzi moto moto Kuongea kwa lugha ya upole Kumpangia/kumuandalia mpenzi wake nguo za kuvaa Kama hafanyi hayo mambo; juwa...
  12. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Kumuhudumia mwanamke asiye mke wa ndoa ni umbumbumbu

    To be honest, mimi kumuhudumia mwanamke ambaye ni mwenza tu siwezi kabisa. Eti mwanamke ananiambia usisubiri nikuombe uwe unajiongeza, nikamuuliza hivi mimi kukuhudumia ni wajibu, akasema wajibu! Nikamwambia wewe sio mwanangu wala mke wangu wa ndoa, wala si baba yako, hivyo kuniambia nijiongeze...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Thea Ntara ahoji kuhusu Sheria Mpya ya Umri wa Ndoa ili uanzie miaka 18

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe. Dkt. Thea Medard Ntara amehoji “Suala hili lina muda mrefu sana na Watoto wanazidi kunyanyasika kwa kuolewa na umri mdogo, Je, Serikali imejiwekea muda gani wa kufanya mabadiliko ya sheria!?, pia hamuoni haja ya kusitisha maoni ya Wadau kwasababu...
  14. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mkeo, kabla ya kumuoa alikupendea nini mpaka kuwa tayari kuishi na wewe?

    Ule usiku wake wa kwanza kulala magetoni kwangu ulimchanganya sana Nilimvua mibaibui yake kisha kumfunga kanga nusu utupu, mtoto wa watu ni mwendo wa aibu mule ndani Nikawasha widi (cha Arusha), moshi wa kutosha ukafutuka chumba kizima. Nikafungulia bufa kisha nikaanza kuplay ngoma za Lucky...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuzaa watoto Nje ya Ndoa mnawatesa viumbe wasio na Hatia

    Hili jambo linanihuzunisha sana. Sina cha kuwasaidia lakini angalau nina mdomo na mikono ya kusema na kuandika. Kila ninapona watoto wadogo wasio na mwelekeo kwemye maisha, hawana pa kulala, kula kwa tabu, kuvaa mtihani na shule ndio kabisa wamepoteza mwelekeo. Kipindi kama hiki cha mvua...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kina Mama wawafunze mabinti kubalance Elimu, Career, Ndoa, Uzazi. Complications za Uzazi,Ugumba, ndoa migogoro zimekuwa nyingi sana

    Changamoto za ndoa zimekuwa nyingi sana sababu ya kesi za ugumba. Mume analalamika mkewe hashiki mimba kumbe kamuoa binti akiwa above 28 binti kashakula sana p2 huko nyuma. Kina Dr Mwaka wanapiga hela za ujanja ujanja na bado mimba hazipatikani Kutumia Vidonge vya kuzuia mimba muda mrefu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

    SOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mke wa ACHRAF HAKIMI ameshindwa kupewa mali yoyote baada ya ndoa yao kuvunjika kwasababu Hakimi aliziandika mali zote jina la mama yake mzazi. Je jambo hili linawezekana kwa Sheria za...
  18. Taured

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndoa ndoa ndoa!!!

    NDOA, NDOA, NDOA; @ Ndipo akaja Yule Malaika Awekaye Ukumbusho Katika Vitabu Sawasawa Na Matendo ya Kila Mtu ameshika Kitabu Cha mtu mmojawapo. "Bwana Kitabu Chake Ni Hiki Hapa", Alisema. ~"Jumla ya Mambo yake ni Nini, Mwisho Wake Ni Upi?", Aliulizwa. @ Naye Akajibu, "Bwana, Hata Mwisho...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kati ya nchi 195 duniani ni nchi 31 tu ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia moja

    Pamoja na watu kutaka kuonesha kwa sasa kwamba ajenda kubwa ya kisiasa Tanzania ni Ushoga, lakini takwimu zinaonesha kwamba ni nchi 31 tu ulimwenguni pote ambazo ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia moja na ni nchi moja tu ya Afrika, ambayo ni Afrika ya kusini, ndiyo Imehalalisha ndoa za jinsia...
  20. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Aghairi kufunga ndoa iliyogharimu Tsh. 950m baada ya Mchumba wake kukataa kusaini PreNup

    Mcheza kikapu maarufu toka NBA, Stephen Jackson amemuacha solemba aliekuwa mchumba wake baada ya kukutaa kisaini makubaliano ya PreNup Kwa Msaada wa Google Translator: Umaarufu na utajiri humsaidia sana mtu aliyefanya kazi kwa bidii kwa ajili yake. Lakini pia huwa na mabadiliko ya kila mtu...
Back
Top Bottom