ndoa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

    Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake?? Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna...
  2. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Njia hii inatumika sana huko ughaibuni kusaidia kudumisha ndoa.....

    Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Bilionea Msuya angetumia akili ya Hakimi wa PSG kwenye ndoa yake. Dada yake asingeuliwa na Mke wake, ukoo wa mke kusimamia mali zake wasingeweza

    Habari wadau. Wengi tumeona trend kubwa mtandaoni ya divorce ya mcheza mpira Hakimi. Nimekumbuka story ya Marehemu Bilionea Msuya wa Arusha. Mali zake alizoacha zimesababisha dada yake bilionea msuya achinjwe kama kuku na wifi yake. Pia mali za bilionea msuya zimesababisha ugomvi mkubwa...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, mtu unaweza kufunga ndoa kanisani bila kusaini lile karatasi?

    Tunaambiwa kwamba kuendelea kuishi pamoja na kuzaa watoto bila kufunga ndoa kanisani ni uzinzi na kumchukiza Mungu. Sasa na mimi nauliza, naweza kwenda kanisani kufunga ndoa bila kusaini chochote? Yaani taratibu zoote za kanisa na mashahidi wawepo kushuhudia ndoa, ila sitaki kusaini chochote...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  6. Smart AJ

    JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa kuchapiwa kunasababishwa na wanaume wenyewe

    Kila kitu huwa kina hatua, baya huwa haliwi tu baya bali huwa linanza na zuri lenye kasoro, maana yake ni kwamba ndoa mbaya huwa ni matokeo ya ndoa nzuri yenye kasoro. kuchapiwa kwa sisi wanaume huwa kunaanza na hatua zifuatazo. Miaka miwili ya wanandoa kuwa pamoja, huwa ni yenye furaha sana...
  7. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

    Imagine sisi wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume kama kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk, na kitandani mnatufanyia Utumwa mkubwa sana, hamtupi haki yetu sawa. Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho, big NO! Hata vitabu vya dini havijataja sehemu yoyote...
  8. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Ndoa ngumu sana ndugu zangu; kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu

    INTRODUCTION Eeeh bwana eeeh! Wazima humu na Heri ya pasaka sanaaa. NB: Sina maana yoyote ya kudhihaki kutokana na kichwa cha habari. Anyway baada ya salama twende kwenye mada. SCENARIO Nina jamaa angu huu mtaa lilipo duka langu. Huyu jamaa angu yamemkuta MAKUBWAAAA kwenye ndoa yake (Tumuite...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mme wake Rosa Ree yuwapi kipindi hiki kigumu anachopitia mke wake? Ndoa bado ina pumzi?

    Mme wake Rosa Ree ni kama vile hayupo kwenye kipindi kigumu hiki anachopitia Rosa Ree, Ndoa ilifungwa mwaka juzi 2021 september, ni takribani mwaka na nusu hadi sasa.
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Avunja ndoa ya miaka 20 kwa tabia ya mkewe kupakulia majirani chakula

    Image: MARGARET WANJIRU Mwanamume mmoja nchini Zambia amewaacha watu kwa mshangao kubwa baada ya kumpa mkewe talaka kwa sababu ya kuwa na mazoea ya kuwapakulia majirani chakula. George Phiri mwenye umri wa miaka 49 aliamua kumuacha mkewe Tanta Zulu mwenye umri wa miaka 34 ambaye walidumu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ndoa za lazima baada ya ushoga kuruhusiwa

    Ninajaribu kufikiria baada ya serikali za kishetani zikiongozwa na US zitakapofanikiwa kuzifanya nchi zote Duniani kuwatambua wagonjwa wa akili waliobatizwa jina la wapenzi wa jinsia moja,hatua itakayofuata itakuwa ni kulazimisha ndoa za lazima,yaani kila mwanaume let's say mwenye umri wa miaka...
  12. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Pongezi viongozi wa dini kwa kukemea ushoga, Ndoa za jinsia moja

    Nilipohudhuria ibada kuanzia Alhamisi Kuu, Ijumaa Kuu mpaka Jumapili ya Pasaka nimeona jinsi viongozi wetu wa dini walivyojipanga katika kukemea maovu haya. Siku ya Ijumaa kuu, Askofu alitumia muda mwingi kukemea tabia za ushoga na ndoa za jinsia moja (sikuelewa kwanini alitilia mkazo sana), Pia...
  13. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Mapenzi si ndoa, mkitofautiana kila mtu a-move on

    Inasikitisha Vijana wanaingia kwenye Mnyororo wa mapenzi ,usaliti ,na bado wanashindwa kuamua hatima yao.Mapenzi sio ndoa Huyo mtu wako akileta sintofahamu Part away..
  14. Ester505

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa ni kama pedeli ya baskeli

    Maisha ya ndoa ni mazuri Sana Kama mtaelewana,japo mapungufu yatakuwepo lakini ni kawaida. Yanafanana na pedeli ya baskeli.Siku mke akiwa juu,mume kubali kuwa chini na mume akiwa juu mke kubali kuwa chini.(ndivyo baskeli inavyoenda). Kiburi,ujeuri,kisirani,dharau,ubabe haujengi ndoa Bali...
  15. Yofav

    JamiiForums Tanzania Ikiwa haya yatafanyika, basi ndoa zitadumu

    Hey there, Inakuwaje wadau wa humu ndani... Hope mpo poa na kama kuna tatizo lolote yeyote alienalo basi maombi yangu kwake ni Mungu amfanyie wepesi. Twende kwenye mada. Marriage/Ndoa imekuwa ni big issue hasa humu kwenye platform ya JF, Huku kukiwa na makundi mawili (wanaounga mkono ndoa na...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Wanaojitolea kwenye Kada za Afya na Ualimu wapewe kipaumbele kwenye Ajira

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 6, 2023 kwenye Mkutano wa 11, Kikao cha 3. RIPOTI YA CAG YALETWA BUNGENI Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imepelekwa Bungeni leo na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba. WANAOJITOLEA WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE AJIRA Spika wa...
  17. Ntozi

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu na katazo la kula nyama

    Naombeni anaelijua andiko linalokataza wakristo kula nyama siku ya Ijumaa kuu. Najua ni suala la kiimani, lakini msingi wa Imani ya kikristo ni Biblia, hivyo tujuzane hilo andiko liko kitabu gani ndani ya Biblia.
  18. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Watoto wazuri mtaishia kutumika ndoa labda mkaolewe na shetani kama hamtobadilika, uzuri wako utakupeleka kwenye ndoa ila tabia yako ndo itaamua

    Habari za wakati huu popote pale ulipo... Mungu yu nasi. Wanawake warembo ,wenye mwonekano, pisi kali na n.k majina mengine mnayo mbona kuolewa ni kipengere na wakiolewa hawa dumu kwa NDOA? Badilika we binti unatumika mwisho unaelekea kuzeeka mnaanza kuongopa umri ili ukaolewa na kijana...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya serikalini kati ya Mtanzania na raia wa nje

    Habari wataalamu, Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake. Naomba kujuzwa utaratibu.
  20. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu tunafurahia sana ndoa yetu, ijue maana ya kumuita mwanadani wako "Baby"

    Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo Sasa je nini maana ya...
Back
Top Bottom