ndoa

  1. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Mliopo kwenye ndoa naombeni uzoefu wenu

    Hivi kwa mwanamke anayefanya kazi baa au mdangaji anaweza kuwa wife material na akatulia kabisa kwa nyumba?
  2. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wanaume Tunalea watoto sio wetu kwenye Ndoa

    Ukiona familia Ina watoto 5 ujue wawili au mmoja hapo mama kachanganya baba,sio wote ni baadhi ya familia. Kuna mshikaji wangu tunaishi kitaa kimoja, alikuwa ana date na mke wa mtu mpaka akampa mimba na yule mke wa mtu alimwambia mshikaji hii mimba ya kwako na huyu mtoto atakaye zaliwa ni damu...
  3. Engager

    JamiiForums Tanzania Usikopi Ndoa ya Mwezio

    Usione haya anayofanya huyu mama, na wewe mwanamke ukataka uyalete kwenye ndoa yako. Utaangukia pua. Ni wanaume wachache sana wanaweza kuvumilia huu upumbavu. Wanawake kuweni makini na hayo makongamano yunu. Financial independence yako, isiwe chanzo cha kuvunja ndoa yako.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwezi mtukufu, natabiri Rais Samia atachukua point zote tatu atakapoulizwa kuhusu ndoa za jinsia moja

    Huu ni mwezi WA toba Kwa Wakristo na Waislam; Ni mwezi ambao Tanzania inategemea kupata ugeni wa Makam wa Rais wa USA na moja ya Jambo linalosumbua katika safari yake ni hoja ya mahusiano ya jinsia moja. Hatuna shaka kwamba Mhe. Rais wetu atakutana na swali linalohusu msimamo wa Tanzania kama...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania BAKWATA mnayajua mateso ya mwanamke akiolewa katika umri mdogo?

    Wakati Dunia ikiwa inaendelea kupigana vita ili kumuokoa mtoto wa kike kutoka kwenye kitanzi cha ndoa za utotoni BAKATWA wamemekuja na kauli yao ya kupinga kuondolea kwa sheria ya ndoa inayoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake. Ajabu ni kwamba wao wameongza kuwa mtoto wa...
  6. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wenzangu hii imekaje?

    Muwe mnawataarifu wake zenu mkiwa mnarudi kutoka safari inasaidia kuokoa ndoa .
  7. Sajo

    JamiiForums Tanzania Operation Kataa Ndoa - SAWA, vipi kuhusu child support, nayo utakataa? Jifunze hapa kuhusu malezi na matunzo ya Mtoto (Sheria ya Mtoto) ujipange!!

    Operation imepamba moto, vijana wanahimizana kukataa ndoa kwa kutokuoa ila hakuna anayepinga kuhusu suala la kujaza ulimwengu. Mizagamuano na misuguano inaleta sio tu raha na burudani kwa wafanyaji bali pia inaleta watoto kwenye dunia. Wakishakuja sasa wapenzi wanaanza kukimbiana na wengine...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu za vijana kukwepa Ndoa

    Umefikia umri wa kuoa? Umewahi kwenda kwa wazazi wa mwenza wako kuanza taratibu za kufanikisha hilo? Walikueleza nini? Kipi kilikufurahisha na kipi kilikukera au kukukatisha tamaa? Majibu ya maswali haya yanaakisi uhalisia wa wanayoyapitia vijana wengi wanapoanza mchakato wa kufunga ndoa kwa...
  9. Ndondombi Mulin

    JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kufanya mwanaume pale ndoa au mahusiano yako yanapovunjika

    Nasema na wanaume kwa sababu nimesikitika kuona wanaume wakiwa wanarudia makosa yaleyale mara pale mahusiano au ndoa zao zinapovunjika na kujikuta wanapoteza muelekeo wa Maisha yao. Listen; 1. Mwanaume hutakiwi kurukia mahusiano mapya kabla hujaacha 100% yale yaliyopita. Ukisha achana nayo jipe...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ndoa za jinsia moja hata wanyama hawana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuwalea Watoto na Vijana kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika Televisheni. Dr. Mpango ameyasema haya wakati akiongea na Waumini wa...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ndoa za fasheni ni janga la kitaifa na kijamii tuzikatae kwa nguvu zote

    Hello , Ndoa nyingi hasa hizi za fasheni zimekuwa chanzo Cha umaskiini, ufukara, watoto fedhuli wa mitaani, ndoa hazina maadili, ndoa ni dhuluma yq nafsi za watu wanaochapiwa wanakesha bar, wenye magomvi yq kuchapiwa na kushare hali ni mbaya. Tuzipinge ndoa hazina afya kwa dira ya taifa...
  12. Faana

    JamiiForums Tanzania Tumetoka Kwenye Usuluhishi wa Masuala ya Ndoa

    Hali si shwari, wanandoa wanalalamika, mke amekuta meseji 👇 kwenye simu ya mumewe, kumbe mjadala wa kutooa unajadiliwa ng'ambo ya pili pia
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nimetunukiwa tunda na mtoto wa kizungu guest za Manzese

    Umewahi kumla mzungu? au wewe unahangaika na hayo akina mwajuma ndala ndefu au akina cheusiku wa ubongo riverside? Pole sasa nikuambie mie mwenzio nimemla mzungu jana kwenye guest za manzese sema yeye huyo mzungu hataki mambo mengi sana japo ni mfanyakazi mmoja wa shirika moja la kimataifa na...
  14. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

    Mwanaume ni mfalme ndani ya nyumba, usipompa heshima yake, hiyo ndoa iko mashakani. Hamna mfalme asiyetaka kuheshimiwa.
  15. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Je, upo kwenye ndoa lakini pia upo kwenye mapenzi na mtu mwingine?

    Kuwa na hisia kwa mtu mwingine wakati upo katika ndoa ni jambo la kawaida sana. Hili sio jambo la kimungu, bali ni jambo la kibinadamu. Kukataa hisia zetu ni sawa na kukataa ubinadamu wetu. Huwezi kuacha kupenda watu wengine kisa eti kwa sababu tu upo katika ndoa. Kwa kawaida kila mwanamke...
  16. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Kisa Cha Mume, Mke jeuri na Punda kimenichanganya kuhusu sala la ndoa

    Mkulima mmoja mzee kijijini alikuwa na mke aliyependa sana kumbugudhi bila huruma. Kuanzia asubuhi hadi usiku na wakati mwingine hata usiku wa manane, wakati wote alikuwa akimlalamikia kuhusu chochote. Wakati pekee aliopata nafuu ni ule wakati aliokuwa nje shambani akilima na punda wake mzee...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Arranged Marriage (ndoa za kuchaguliwa na familia, ndugu, na jamaa) ndio mfumo sahihi kwa maisha ya dot com

    Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke. Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa. Hivyo hivyo kwa binti. Familia ziwe makini na kukataa ndoa ambazo familia ya mume na mke mtarajiwa hazijawai kujuana...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

    Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa. Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msichana aliye na miaka 25 ana stress za ndoa kuliko mwenye 30

    Msichana akifika miaka 25 anatakiwa awe na mchumba anaeonyesha malengo laasivo STRESS HAZITAISHA KWA DADA ZETU
  20. Macbook pro

    JamiiForums Tanzania Naanza kuwaza kwamba Ndoa sio kitu nimepangiwa

    Habarini za wakati huu ndugu wana-MMU, Hongereni kwa Majukumu na kwa Changamoto mnazopitia kwani hizo ndio Maisha menyewe. Ni muda umepita toka niweke post yangu hapa MMU. Mimi ni kijana (31), asili yangu ni kanda ya Ziwa nikimaanisha Geita ila naishi Musoma kwa sasa. Katika maisha yangu ya...
Back
Top Bottom