ndoa

  1. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Ndoa na Dini

    Habari ndugu zangu, Nakuja kwenu nikiwa na nia ya kuomba maelekezo ya maswala ya ndoa na dini kwa upande wa ndoa ya kiislamu na ukristo. Naomba kufahamu! Hivi mtu akioa wake wawili ndoa ya kiislamu, akabadirisha dini na kuwa mkristu (Roman catholic) baada ya muda. Akiwa bado na wake zake...
  2. Dr Count Capone

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa vs kubali ndoa (online poll)

    Ashakutakia Happy Valentine? Kama bado Mambo yasiwe mengi, shikilia hapo hapo! Waungwana kwa muda tumeona nyuzi baada ya nyuzi akina Liverpool VPN dronedrake na wenzao wakipiga kampeni kali kabisa kukataa ndoa huku wakitoa mifano ya visa vya kweli Na mzee wa busara Mshana Jr na wengine...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

    Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda. Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa...
  4. SPACE CADET

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya mnataka tuoe kweli?

    Hiki kisa nimekichukua FB asee Mimi ni mama wa watoto 2 mimi na mume wangu tulikua vizuri shida ni huyu mwanaume ambaye niko naye. Nimfanyakazi mwenzangu na ni mume wa mtu. Mwanzo mahusiano yalikua ya kawaida tu tunafurahiana lakini baadaye nikajikuta naanza kumpenda nikabeba mimba yake na...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndio kitu bora kabisa Mungu alichowahi kumpa mwanadamu

    Kukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi. Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake. Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa single mama/baba, kupiga na kuacha, punyeto, na lgbtq. Usikatishe tamaa. Ndoa ni kitu bora na safi...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja: Ndoa nyingi za madhabahuni ni feki

    Wasalaam JF Ndoa nyingi za huko mahekaluni ni feki. Sababu hizi 1. Kama hujaoa bikra na mwanamke hajatubia hio dhambi 2. Alievunjwa bikra na asiye mumewe hafai kuolewa. 3. Kama mshazini na kutoana bikra kabla ya ndoa. 4. Mahudhurio ya Ma ex wenu wakati wa kufunga ndoa na viapo vyake. 5...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

    Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa! Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wewe kijana wa sasa nakushauli uoe ila sio kufunga ndoa

    Hii mada ya kataa ndoa inabidi ijibiwe kwa hoja na sio mihemko, vijana wetu wanaikataa ndoa wakiwa na mantiki kubwa sana, inaitaji umakini mkubwa sana kuwaelewa na kuweza kujibu hoja zao za msingi. Kwa mimi binafsi nadhani kuna utofauti kubwa kati ya kuoa na kufunga ndoa. 1. Naanza na kuoa...
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

    Queen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia. USSR
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tuzikatae ndoa kila iliyo sasa,leo , kesho na hata milele hapa duniani

    Salaam JF, Hii ni kwa wale walio muelewa Dr Mwaka, kwa hekima na busara zake, tunaokataa ndoa tunakataa na sababu nzito tunazo sisi na hadithi ya Adam na Hawa pale bustani ya Eden ni toshelevu usipoelewa basi. Tenda wema kadri ya uwezo, penda, timiza, furahi. Wema usizidi uwezo. Wengine...
  11. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tamasha la "Single Mothers" lina agenda ya kuharibu ndoa zaidi kuliko kujenga. Lizuiliwe!

    Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini? Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mengi, Mrema, Msuya, Mwaka na Manara, wote walikosea wakafunga Ndoa badala ya kuoa

    Sikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge ndoa au waoe? Ni kwanini mtu afunge ndoa badala ya kuoa? Au kwanini mtu aoe badala ya kufunga ndoa...
  13. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni kusudio la Mungu

    Habari za muda wadau kutokana na kampeni za kupinga ndoa ninaona kabisa nitaaribika kisaikologia hivyo ninataka nijitaidi niache kutumia jamii forum ila mnaopinga sijui nini shida maana mnatumia nguvu kubwa na hili ni tatizo kubwa nimeliona kwenye jamii haswa kwa wenye uwezo mkubwa kiuchumi ni...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili huwezi Kimbia Kuoa kutokana na Changamoto za Ndoa

    Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda. Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka sana pesa. Au sababu kuna mtu unamfahamu alifumaniwa. Huo ni utoto tu unakusumbua. Kila mara magari...
  15. Protector

    JamiiForums Tanzania Ikipendeza serikali isiwatambue kama wanandoa wenza wanaoishi bila kufunga ndoa

    Habari wanajukwaa, Nisiwachoshe sana twende kwenye mada moja kwa moja. Siku hizi kuna kampeni kubwa ya kukataa kufunga ndoa kwa vijana wa kiume, matokeo yake wanachukua vimada wanaishi nao na baada ya muda fulani mwanamke anatimuliwa bila chochote anaondoka na kwenda kuanza maisha mapya huku...
  16. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Ili Mungu aibariki familia (ndoa) ni lazima baraka zipitie kwa baba

    Ndoa iheshimiwe na watu wote. Salaam. Ama baada ya salaam leo napenda nishiriki nanyi kitu kipya kiitwacho baraka. Baraka sio utajiri ila hutajitisha. Baraka ni ulinzi wa ki-Mungu juu yako. Wakati mtaani kwenu kideri kinaua kuku, kuku wako watakuwa salama. Utakuwa huna pesa lakini...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa lipa shika tuondoke ndio mnataka tuoe sio?

    Wanawake mchawi wenu Ni wanawake wenzenu Mnalalamika hamuolewi wakati wenzenu wanagawa Bei sawa na bure Kiufupi Maisha yamekuwa Magumu Sana kwa kila Mtu so watu wanatafta unafuu ulipo Mnabidi jinsi mlivyo anzisha kampeni yenu ya feminist ndo mpambane kuwazuia wanawake wenzenu wanaogawa uchi...
  18. MzeeKipusa

    JamiiForums Tanzania Ifahamu siri ya kubwa ya ndoa

    Hamjambo wanangu? Kama mwanamke mpumbavu anao uwezo wa kuivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, je, vipi kuhusu mwanaume mjinga, anaweza kuivunja ndoa yake kwa kutumia nini? Anyways, kutembea kwingi kuona mengi. Sasa nisikilizeni wanangu na wajukuu zangu; mwanamke katika ndoa anahitaji...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tuacheni Kujipa Moyo, Ndoa kwa Kizazi cha Sasa ni Gereza la Mateso

    TUACHE KUJIPA MOYO, NDOA KWA KIZAZI CHA SASA NI GEREZA LA MATESO. Anaandika, Robert Heriel Kuhani! Soma Kwa Utulivu; Linatesa Wanawake Linatesa wanaume; Lakini Kwa nini? Ili ndoa iwe ndoa kweli sharti ifuate mfumo wa kizamani, hilo nimeshalieleza kila mara. Kwa sababu ndoa misingi yake...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa ikiwa ni kuogopa kusalitiwa lakini pia kuna la uchoyo na kukwepa majukumu ila haya hawayasemi kwa...
Back
Top Bottom