Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,069
40,732
Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata mauno huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtu kudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa?

Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu, wanawake hawana huruma na mali za wanaume, ni kama majini hivi, khaa!! Ona lisura lake huyu Sarah, kama shetani limetumwa!

Katika hili serikali iingilie kati, haiwezekani mtu anaejituma kwa nguvu zote ahujumiwe na mgeni wazi wazi, hivi ingekuwa mwanamke wa kiTz kaenda kufungua kesi kama hii Italy angesikilizwa, tulindane dhidi ya hujuma toka nje ya nchi..; huyu Saraha mbona hakwenda kwa muuza chipsi Tandale bali kamfuata Harmonize, alifuata nini kama sio pesa?!

Link hapo chini ina maelelezo yote

Si nasikia mali zilikuwa za sarah,ndo mkome kuparamia ndoa
Kama hujajipanga kuolewa ama kuoa bora uache
Angalia na watu wenywe bado utoto mwingi wa kutafuta public attention kila siku kujipost unafikria hyo ndoa wataweza kweli🤣.

Ndoa inataka ushamaliza utoto wote hata Diamond bado utoto mwingi hawezi ndoa na anajijua kabisa...Ndoa sio rahisi wakina wolper na lulu wametulia wanaangalia Maisha wameweka utoto pembeni
 
Hauelewi jinsi mtu atakavyojisikia ukimwambia hayo mambo kabla kufunga ndoa, ataona kama unamchukulia jambazi flani hivi (which is true, wanawake ni majambazi tu kwenye ndoa), hivyo dawa ni kuoa tu bila kufunga ndoa.
Sasa unapataje mali ambazo hujachuma. Hata kungekua na mtoto basi hata mtoto hakuna halafu unataka half half. Jisikie tu vibaya. Kuoa nitao ila kuna assets hazitakaa ziwe kwa jina langu. Hiyo ndiyo njia ya kuzilinda hizo asset.
 
Dawa ni kuoa bila kufunga ndoa tu, atleast nguvu yake mahakamani inapungua, tofauti na ukisaini lile licheti la ndoa, umekwisha, Halafu Sarah mwenyewe hata hajamzalia huyo Harmonize, inauma sana, kwahiyo hizo mali sasa zitaenda kuliwa na mwanaume mwingine.., aaghh.., mi nitaua mtu.., potelea mbali
 
Angalia na watu wenywe bado utoto mwingi wa kutafuta public attention kila siku kujipost unafikria hyo ndoa wataweza kweli🤣.

Ndoa inataka ushamaliza utoto wote hata Diamond bado utoto mwingi hawezi ndoa na anajijua kabisa...Ndoa sio rahisi wakina wolper na lulu wametulia wanaangalia Maisha wameweka utoto pembeni
Kina wolper muda haupo upande wao tena
 
Back
Top Bottom