Wanawake msituumize kihisia kwa kutoka nje ya ndoa ili kulipiza kisasi

Sensei Tai

Senior Member
May 26, 2022
126
359
Kuna hii tabia ya baadhi ya wanawake kutoka nje ya ndoa sababu tu ya kuwakomoa waume zao baada ya kugundua kwamba waume zao wanatoka nje ya ndoa.

Kiukweli sisi wanaume tunaumia sana kuliko hata nyinyi mnavyoumia pindi tukigundua kwamba mnatoka nje ya ndoa.

Kwanini tunaumia? Tunaumia kwasababu mara nyingi nyinyi wanawake mkitoka nje ya ndoa mnahamisha upendo wote kwa wapenzi wenu wa nje ya ndoa.

Ndio maana sisi wanaume ni ngumu sana kusamehe pindi tunapowafumania wake zetu au wapenzi wetu sababu tunaamini upendo umeshahamia kwa mwanaume ambae nimekukamata nae.

Wanaume tumeumbiwa tamaa ila wanawake mnapenda kwa hisia ndio maana tukiwakamata mnachiti hatuna msamaha sababu tunaamini mshahamisha hisia kwa wanaume wengine wa nje.Ni wanaume wachache sana ambae wanawasamehe wake zao baada ya kuwafumania na unaweza kuta ni mmoja kati ya mia moja.

Mwanaume anaweza akawa ameoa na akawa na vimada wawili au watatu nje ya ndoa lakini asipunguze upendo kwa mke wake wa ndoa ila mwanamke akiwa na mchepuko nje ya ndoa upendo wote anahamishia kwa mchepuko na lazima tu utajua kwamba mke wangu sasa anatoka nje ya ndoa.

Wanawake jitahidini kutotoka nje ya ndoa zenu mana maumivu mnayotupatia hayaelezeki na ndio maana wengine wanashindwa kuvumilia na kukatisha uhai wao au kukatisha uhai wako na wake kwa pamoja.

Nadhani kwa hayo machache nimeeleweka na natumai mtabadirika.
 
Kuna hii tabia ya baadhi ya wanawake kutoka nje ya ndoa sababu tu ya kuwakomoa waume zao baada ya kugundua kwamba waume zao wanatoka nje ya ndoa.
Haha nikifikiriaga hili jambo nakosa nguvu kabisa ya kuwa na mahusiano permanent bora niwatombe tu nitupe huko

Sema mkuuu hujagusia kwann wake za watu ni warahisi ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”. Asilimia kubwa mipaka hawana sijui kwann
 
Well, wake za watu ni warahisi kwa sababu kuu mbili.

1. Unakuta mwanamke katulia tu lakini kuna mambo yanamlazimisha atoke nje ya ndoa katika kutafuta faraja mana wanawake wanachohitaji wao ni faraja.Ndio maana usishangae Ex wako akawa na mpenzi mwingine lakini siku akiachika kule kwenye penzi jipya atakurudia wewe ili tu apate faraja.

2. Sababu ya pili ni kwamba kuna baadhi ya wanawake wamerithi tabia za umalaya toka kwenye familia zao kwahiyo mwanamke wa namna hiyo hata uwe mwema vipi kwake lazima tu atatoka nje ya ndoa.

Nadhani kwasababu hizo mbili utakua umenielewa
 
Well1, wake za watu ni warahisi kwa sababu kuu mbili.

1. Unakuta mwanamke katulia tu lakini kuna mambo yanamlazimisha atoke nje ya ndoa katika kutafuta faraja mana wanawake wanachohitaji wao ni faraja.Ndio maana usishangae Ex wako akawa na mpenzi mwingine lakini siku akiachika kule kwenye penzi jipya atakurudia wewe ili tu apate faraja.

2. Sababu ya pili ni kwamba kuna baadhi ya wanawake wamerithi tabia za umalaya toka kwenye familia zao kwahiyo mwanamke wa namna hiyo hata uwe mwema vipi kwake lazima tu atatoka nje ya ndoa.

Nadhani kwasababu hizo mbili utakua umenielewa
Ok well said ๐Ÿ’ช๐Ÿ‘Œ
 
Back
Top Bottom