Nimehudhuria ndoa ya single maza, pilau tamuuuuuu

Dr. Mariposa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,721
Reaction score
18,958
Guys, yaan hapa nimeshiba kitumbo kipo ndi ndi ndi, pilau la harusi ya single maza lilikua tamu hatariii, pilau la mbuzi likatiwa zabibu kavu na tui la nazi kwa mbali oyaaaaaaaa🙌🏻 rosti la mbuzi na nyama za kuku za kuokwa nyie watu wanajua kupika, 😋😋

Sasa nawapa ubuyu kidogo wa huyu single maza aloolewa leo, huyu alizalia nyumbani mwanaume akaingia mitini, hakukata tamaa akaingia mtaani kupambania ugali wa mwanae, kuna mpemba mmoja yupo Germany akaleta salamu kwa wazazi wake anataka mke, wazazi wakamchagua mdogo wake na huyu dada, sijui ilikuaje kuna mtu akamtonya bwana wa Germany kua dada mtu ni kisu zaidi ila ana mtoto, jamaa kaomba picha akadata, akawastopisha wazazi wake akasema anakuja mwenyewe, na kweli akaja akakutana na huyu single mother hajachelewesha ndoa ikapita chaaaaap, hapa single mother na mwanae safari hiyoooooo ya Germany, 🥳🥳🥳🥳

Basi bwana, baada ya kushiba zangu pilau nikajilaza kwenye zulia huku nachokonoa chokonoa meno si ndio napokea meseji eti mualiko wa kitchen party ya single maza mwengine, nikajisemea "aah jamani kwani kuna mashindanoooo," ila huyu bwana wa huyu single maza wa pili kibokoo alivyomvesha pete ya uchumba akamnunulia gari atembee amekaa na sasa ameamua kumuweka ndani jumla, single maza oyeeeeeeeeeeeeeee!

Sasa kuna matahira kila kukicha single maza this, single maza that, wajanja wanaoa,

FAIDA ZA KUOA SINGLE MAZA:
1. Unaoa mwanamke aliyepevuka kimwili na kiakili
2. unaoa mwanamke ambaye una uhakika hana changamoto ya uzazi yaani wewe ukiweka tu imooooo
3. Unaoa mwanamke aliyeamua kwa dhati kusettle down
4. Unapata uzoefu mapema wa kuishi kifamilia, yaani baba, mama na mtoto kabla hamjaanza kuongeza wengine
5. Wanajua mapenzi na mahaba, wasafi sana
6. Ongezeeni zingine nimechoka kuandika

Ngoja niende kwa wapishi waniwekee pilau kwenye kihotpot ninywee chai kesho,
Tchaooooo
 
Single mothers kwa kujifariji 🙌

Anyway, kwamba hizi faida hazipo kwa mwanamke ambaye hajazaa.?
 
Single mother wapo kwa ajiri ya watu waliopevuka akili katika nyanja za kijamii na kimaisha.

Kwa akili za hapa na pale, ni ngumu kutoboa na single mother, kwasababu kiukweli inahitaji mtu ana moyo wa kiume na upendo hasawa ili kupitisha uponyaji wa hisia za mwanamke alietekezewa mtoto hadi kuja kuwa normal na kufaa kuwa mke bora tena na hapo ndio vijana wengi broiler type hawawezi hiyo kazi ya kuponya mioyo ya hao watu hadi kuwa normal tena
 
Guys, yaan hapa nimeshiba kitumbo kipo ndi ndi ndi, pilau la harusi ya single maza lilikua tamu hatariii, pilau la mbuzi likatiwa zabibu kavu na tui la nazi kwa mbali oyaaaaaaaa🙌🏻 rosti la mbuzi na nyama za kuku za kuokwa nyie watu wanajua kupika, 😋😋

Sasa nawapa ubuyu kidogo wa huyu single maza aloolewa leo, huyu alizalia nyumbani mwanaume akaingia mitini, hakukata tamaa akaingia mtaani kupambania ugali wa mwanae, kuna mpemba mmoja yupo Germany akaleta salamu kwa wazazi wake anataka mke, wazazi wakamchagua mdogo wake na huyu dada, sijui ilikuaje kuna mtu akamtonya bwana wa Germany kua dada mtu ni kisu zaidi ila ana mtoto, jamaa kaomba picha akadata, akawastopisha wazazi wake akasema anakuja mwenyewe, na kweli akaja akakutana na huyu single mother hajachelewesha ndoa ikapita chaaaaap, hapa single mother na mwanae safari hiyoooooo ya Germany, 🥳🥳🥳🥳

Basi bwana, baada ya kushiba zangu pilau nikajilaza kwenye zulia huku nachokonoa chokonoa meno si ndio napokea meseji eti mualiko wa kitchen party ya single maza mwengine, nikajisemea "aah jamani kwani kuna mashindanoooo," ila huyu bwana wa huyu single maza wa pili kibokoo alivyomvesha pete ya uchumba akamnunulia gari atembee amekaa na sasa ameamua kumuweka ndani jumla, single maza oyeeeeeeeeeeeeeee!

Sasa kuna matahira kila kukicha single maza this, single maza that, wajanja wanaoa,

FAIDA ZA KUOA SINGLE MAZA:
1. Unaoa mwanamke aliyepevuka kimwili na kiakili
2. unaoa mwanamke ambaye una uhakika hana changamoto ya uzazi yaani wewe ukiweka tu imooooo
3. Unaoa mwanamke aliyeamua kwa dhati kusettle down
4. Unapata uzoefu mapema wa kuishi kifamilia, yaani baba, mama na mtoto kabla hamjaanza kuongeza wengine
5. Wanajua mapenzi na mahaba, wasafi sana
6. Ongezeeni zingine nimechoka kuandika

Ngoja niende kwa wapishi waniwekee pilau kwenye kihotpot ninywee chai kesho,
Tchaooooo
Wanajua kudekeza pia.
 
Raha ya single maza awe ana jielewa lasivyo huyo mume cha moto ata kiona tuu... view more
Kujielewa kwa single mother, kunakuja tu pale anapo ponywa nafsi yake kutokana na machungu aliyopitia. Kama hajaponyeka hisia zake na moyo wake, cha moto utakiona ( huwa wanakuwa bado wana lile wenge ), wanapoteza imani inakuwa anaona kama kila mwauame ni kama alie mteleleza. Ukimpenda single mother akikisha moyo na hisia zake unaziponya zikae sawa, bila hapo hutoboi nae 😁😁
 
Sahihi na wengi wana feli hapo lakini pia wapo single maza wenye hulka ya tamaa alipotoka anataka kula na huku alipo ana taka kula hapo haijalishi ana tristiwa kiasi gani
 
Kila mwanamke ana mtu wake, ukiona mwanamke ameshindana na mtu, ujue huyo sio mtu wake kuna namna walijaribu ku force mambo. Hakuna mambo ya tamaa sijui umalaya, issue ni kwamba anakutana na mtu wrong siku akija kutana na mtu wake ( type yake ) anatulia fresh huwezi ona heka heka zozote ingawa haina accuracy ya 100% ila kwa sehemu kubwa watu hawana compactbility kwenye mahusiano yao
 
Guys, yaan hapa nimeshiba kitumbo kipo ndi ndi ndi, pilau la harusi ya single maza lilikua tamu hatariii, pilau la mbuzi likatiwa zabibu kavu na tui la nazi kwa mbali oyaaaaaaaa🙌🏻 rosti la mbuzi na nyama za kuku za kuokwa nyie watu wanajua kupika, 😋😋

Sasa nawapa ubuyu kidogo wa huyu single maza aloolewa leo, huyu alizalia nyumbani mwanaume akaingia mitini, hakukata tamaa akaingia mtaani kupambania ugali wa mwanae, kuna mpemba mmoja yupo Germany akaleta salamu kwa wazazi wake anataka mke, wazazi wakamchagua mdogo wake na huyu dada, sijui ilikuaje kuna mtu akamtonya bwana wa Germany kua dada mtu ni kisu zaidi ila ana mtoto, jamaa kaomba picha akadata, akawastopisha wazazi wake akasema anakuja mwenyewe, na kweli akaja akakutana na huyu single mother hajachelewesha ndoa ikapita chaaaaap, hapa single mother na mwanae safari hiyoooooo ya Germany, 🥳🥳🥳🥳

Basi bwana, baada ya kushiba zangu pilau nikajilaza kwenye zulia huku nachokonoa chokonoa meno si ndio napokea meseji eti mualiko wa kitchen party ya single maza mwengine, nikajisemea "aah jamani kwani kuna mashindanoooo," ila huyu bwana wa huyu single maza wa pili kibokoo alivyomvesha pete ya uchumba akamnunulia gari atembee amekaa na sasa ameamua kumuweka ndani jumla, single maza oyeeeeeeeeeeeeeee!

Sasa kuna matahira kila kukicha single maza this, single maza that, wajanja wanaoa,

FAIDA ZA KUOA SINGLE MAZA:
1. Unaoa mwanamke aliyepevuka kimwili na kiakili
2. unaoa mwanamke ambaye una uhakika hana changamoto ya uzazi yaani wewe ukiweka tu imooooo
3. Unaoa mwanamke aliyeamua kwa dhati kusettle down
4. Unapata uzoefu mapema wa kuishi kifamilia, yaani baba, mama na mtoto kabla hamjaanza kuongeza wengine
5. Wanajua mapenzi na mahaba, wasafi sana
6. Ongezeeni zingine nimechoka kuandika

Ngoja niende kwa wapishi waniwekee pilau kwenye kihotpot ninywee chai kesho,
Tchaooooo
Hakuna ashindwe single maza tabu tupu nyonyo utakutana limenyonywa balaa na mtoto. Katumika kipindi cha kuhudumia mtoto wake kama baba kaingia mitini oyaaa

Nyie boy hamuoni madem wengine mpka single mama
 
Back
Top Bottom