ndoa

  1. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

    Kwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana. Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno Samahani. Marry nimeona kitu cha ziada ndani yako, bila shaka tutafiti tukiwa pamoja tukipambana na hili...
  2. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kama unamtetea pedophile kisa tu anashiriki dini moja na wewe kwanini uumie siku ukijua mgeni wako au uncle wake wa shuleni anarubuni mtoto wako?

    Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako. Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa

    Ndoa ni stara kwa mwanamke! Hivyo mwanamke anahitaji ndoa kuliko mwanaume Wanawake wamekuwa wengi ama ni wengi kuliko wanaume... Hivyo ndoa imekuwa kitu adimu hasa ukizingatia kuwa.. Pamoja na uchache huo wa wanaume bado karibia nusu yao si waoaji Sasa kutokana na hamaniko hilo la kuhitaji...
  4. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuzaa ni hitaji la msingi katika ndoa?

    Wengi tunakimbilia kuzaa tukiamini huko mbeleni, watoto tunaowazaa watakuja kutusaidia. Hii inatokana na kutokuwepo kwa kambi za wazee katika huu ukanda wetu, inayopelekea ufikapo uzeeni kukosa mtu wa kukusaidia pale utakapohitaji msaada. Tumekuwa tukiwazaa watoto, na kuwagharamia kila kitu...
  5. Mangwea1900

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa sio kwa starehe

    Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea. Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko. 1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa. 2: wazee wa kale...
  6. shuka chini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Migogoro ya ndoa

    Habari wadau poleni na mihangaiko ya kilasiku. Moja kwa moja kwenye mada. Leo asubuhi kama kawaida niliamka nikawa nashida ofisi moja wapo ya serikali nikapita nyumba ya jirani yangu nakuta mwanamke amekaa nje na mwanaume yupo ndani anaongea. Kwahali nilivyoiona nilijua hakuna usalama hapa...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Harusi ni ya Mwanamke, Ndoa ni ya Mwanaume

    Katika dunia ya sasa, harusi imegeuka kuwa tamasha la kuonyesha mali, hadhi na umaarufu. Watu wengi – hasa wanaume – wanajikuta wakilazimika kutumia mamilioni ili kufanikisha harusi ya kifahari, ilhali maisha ya ndoa yanayofuata yanakuwa magumu, yenye mivutano na yasiyo na furaha. Ni wakati...
  8. SHEVCHENKO

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu prenuptial agreement au mkataba wa ndoa kabla ya kuoana?

    Wakuu kwenye pita pita zangu nimekutana na hii kitu inayoitwa prenup, ila nimeona nikama ina sound good. Hivi kwa sheria za bongo hii kitu vipi ninaweza kuifanya au sheria hairuhusu?? Wanasheria wa jf mje mtuambie.. Nilivyoielewa kwa ufupi... Prenup ni kifupi cha neno la Kiingereza...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mama Samia badili Sheria ya Makosa ya Jinai ( Penal Code), iendane na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Utawin mioyo ya 99,% ya watanzania.

    Sheria mama ya Tanzania ( Katiba) inasema, umri wa utu Uzima ni kuanzia miaka 18. Sheria ya Makosa ya jinai ya Tanzania ( Penal Code), inatambua kama kosa la jinai, tendo la ngono Kati ya mwanaume mwenye umri wa mialka 18+ na msichana mwenye umri wa chini ya miaka 18,hata kama msichana huyo...
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya mwanamke akianza ujeuri katika ndoa

    Baada ya kuishi katika ndoa ndo nimejifunza kuwa ndoa ni sawa na mashindano ya mpira kila team inapambana ili ichukuwe point 3 Mume na mke kila mmoja anapambana ili atawale mwenzake japo kuwa watu usema kuwa mke na mtii mume wake ukiingia katika ndoa inawezekana utii uo ukauona miezi miwili...
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndoa?

    Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake? Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanawake mtambue na kufahamu ya kuwa sex,kupika na kufua sio hitaji kuu kwenye ndoa kama mnavyondanganya kwenye vicoba.

    Leo utakuta kuna ma kungwi yanawafundisha wanawake kuifinyia kwa ndani wakijua ndo solution la kumkamata mwanaume. Anaye kufundisha mwenyewe hata mme licha anajua hadi kuifinyia kwa ndani bado tu unaunguza mb zako kuangalia. Hivyo vitu tajwa hapo juu kwa uchache ni ziada tu kwani vinaweza...
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuweza kuoa mwarabu kwa sababu ndoa zetu za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, sio peke yenu

    Niliwahi kuwa na mpenzi wa kiarabu miaka ya 2014. Tulikutana kwenye ndege nikiwa naelekea KIA kutokea Airport ya Nyerere. Nilipokuwa nimefika airport nasubiri ndege nikaenda walipokaa wenzangu tunaosubiri ndege ya kwenda KIA, enzi huzo ni fastjet. Mwarabu nilimuona akiwa na simu yake lakini...
  14. Bata batani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

    Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........ Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi ...
  15. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ana funguo ya sex. Mwanaume ana funguo ya ndoa

    Mwanaume ni gatekeeper wa ndoa. Wakati ukifika ndie atakaemua amuoe nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna ndoa bila maamuzi ya mwanaume. Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Ndie anaemua afanye tendo na nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna sex bila maamuzi ya mwanamke, vinginevyo awe...
  16. RUKUKU BOY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa Ndoa

    Mie sio mtu wa kuandika sana humu. Natafuta mke wa kuoa,now kwangu Mimi ni muda mwafaka wa kuwa na wife. Sina sababu ya ku hide my id , coz Niko serious na hili jambo Sifa zangu. Miaka 30 Elimu: Bachelor Occupation:Employed. Dini: Mkristu Ninayemtaka Awe serious, na ndoa narudia serious...
  17. Kazanazo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa imemaanishwa kwa watu ambao hawajakutana kimwili

    Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yapo kwenye ndoa upelekea kufa pamoja.

    Fikiria aina ya upendo wa kipekee—upendo wa kina sana kiasi kwamba hata kifo hakiwezi kuwatenganisha nafsi mbili zilizoishi maisha yao yote pamoja. Jefferson na Mary Souder, waliokuwa wameoana kwa miaka 60 huko Tarrant County, Texas, walijenga urithi wa uaminifu wa dhati, wakilea vizazi vya...
  19. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida ya ndoa ni hii kama hujui hili usioe wala kuolewa bakia single tu hustahili

    Habari wapendwa! Taasisi ya ndoa imekumbwa na mitikisiko mingi hivi karibuni kutokana na changamoto mbali mbali! Sababu kubwa inayopelekea hayo yote ni matarajio makubwa ya wenza katika ndoa. UKWELI ni kwamba WANUFAIKA WAKUBWA WA NDOA NI WATOTO Siyo WANANDOA! Wanandoa ni watu wawili...
  20. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni baraka kwa walio na bahati nazo

    Ndoa inaweza haribu maisha ya mtu, ndoa inaweza fanya ukachanganyikiwa ( itategemea umenyooshwaje na mwenza wako ), ndoa inaweza fanya ukapata kiharusi au magonjwa ya moyo au depression. Leo siamini amini, nimejikuta navizia kuchukua namba ya wahudumu kucheza na low profile , wakati nilikuwa...
Back
Top Bottom