ndoa

  1. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Nembo ya Telsa yazua utata - ni kama mjunjo

  2. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli wapaka Rangi, wanaosafisha kucha na miguu chanzo cha Ndoa za watu kuvunjika?

    Wakuu hawa wanaofanya kazi ya kupaka rangi nakuwa osha miguu hasa jinsia ya kiume kunaweza kusababisha mtu akachepuka katika ndoa yake,kuna sehemu nimewoma jamaa anamwosha mdada miguu amemsogelea kabisa yaani "zero distance" sasa kun huyo jamaa ni mpaka rangi hapa mtaani kwangu, yeye anasema...
  3. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba ananilazinisha tufanye ngono kabla ya ndoa mie nimemkatalia

    Wanawake siku hizi mna mambo sana aisee hata aibu hamna? Kiukweli huyu mchumba wangu ameniacha kinywa wazi aisee yaani ananiomba ngono kabla ya Mimi kumuomba wakati nilitegemea mimi mwanaume ndiye nimuombe ngono ila cha ajabu yeye ndiye ameniomba tufanye ngono Yaani mwanamke ameniambia kama...
  4. malisak

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjane anatafuta mchumba atakayefunga nae Ndoa

    Mjane mwenye umri wa miaka 45 ana watoto wawili anatafuta stara ya mchumba atakayefunga nae ndoa. Anahitaji mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 45 kuendelea, habagui kabila Wala rangi ila akipata muislam atashkuru zaidi sababu yeye alishatoka ukristo na kuingia uislam hataki kuyumbisha watoto...
  5. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakishapataga mtoto wa pili kiburi kinaanza

    Baada ya mwanamke kujifungua mtoto wa pili, wengi Huwa na mabadiliko fulani ya kimtazamo, kitabia, na hata kihisia ambayo baadhi ya wanaume huwa wanayahisi au kuyaona kama “kiburi.” Wapo wanaodai kuwa uzazi huleta mabadiliko makubwa katika maisha ya mwanamke – kimwili, kihisia, na kiakili...
  6. Braza Kede

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za baadhi ya wanawake kutaka wapewe pesa na zawadi zinawafanya wanaume weengi kuamini kuwa tendo la ndoa halina umuhimu kwa mwanamke

    Inaweza ikakushangaza lakini huu ndio ukweli wenyewe. Katika jamii zetu za kiafrika wanawake walio wengi wanakuwa hawapo tayari kushiriki tendo pasipo ahadi ya kupewa pesa au zawadi fulani. Yaani ili mwanamke akupe tendo basi ni lazma utoe kitu flani. Hali hii inafanya wanaume wengi kuamini...
  7. RALC255

    JamiiForums Tanzania Mwenza Kupotea kwa Miaka 5 Kunatosha Kuvunja Ndoa?

    Presumption of Death katika Sheria ya Ndoa na Mirathi ➡️ Je, mtu anapotea bila mawasiliano kwa miaka mitano mfululizo… je, bado ni mume/mke wako halali? ➡️ Je, bado atahesabika yupo hai? unaweza kufungua mirathi bila cheti cha kifo chake? ➡️ Au kuolewa tena bila talaka? Hili si swali la...
  8. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu binti wa kilokole nimemuoa anataka aende round 20 kwa siku kwenye tendo la ndoa, me nifanyaje?

    Kwan wana ndoa wapya kwa siku mnaenda round ngap? 2 au 3? Mbona mwenzenu amepata mke anataka round 20 kwa siku? Afanyaje? Mshaurini? Ila binti wa kwa Yesu unataka round 20 aje sasa? Au alikuwa hajaokoka binti wa watu?
  9. Right Marker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Somo kwa wanawake: Usikubali kuishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka 5 bila kufunga ndoa

    Acha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka. Eti ooh! ~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri nipate hela ya kupanga vyumba viwili; Kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri nimalize chuo...
  10. PSL god

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

    Za ijumaa wakuu, Mimi ni mwanaume mtu mzima wa 35 namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo na hekima ya kuyakimbia mahusiano na mapenzi kwa ujumla toka nizaliwe Kwanza, Changamoto yangu kuu ni kwamba nimefika umri wa kuwa na mtoto lakini bado sina na hii inatokana na kwamba sina circle au...
  11. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli walimu wa kike ni wazuri katika ndoa?

    TUJIKUMBUSHE; TUJADILI. Kuna miaka fulani walimu wa kike walivuma na kumwagiwa sifa nzuri katika uwanja wa ndoa. Watu wengi waliooa walimu, na walioshuhudia ndoa za walimu walisema kuwa mwanaume aliyeoa au atakayeoa mwalimu hasa mwalimu wa shule ya msingi atapiga hatua kubwa ya kimaendeleo...
  12. Mangwea1900

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mume na mke kwenye ndoa

    Mume anaoa ili atimiziwe haja za ngono na huduma nyingine za msingi za nyumbani ikiwemo kupikiwa chakula, kufuliwa nguo, kutandikiwa kitanda. Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na kuhudumiwa kwa mahitaji yake yote wakiwemo wazazi wake. Kama haupo tayari USIOE wala KUOLEWA. Endelea...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umasikini wa kipato ni mbaya sana huua ndoa za watu

    Kipato kwenye familia kisipokuwa sawa hupelekea migogoro na hata wapenzi kukasirikiana na kuachana pasipo kukusudia.Hasira za mara kwa mara pasipo sababu na hata ugomvi.Serikali inatowa tu takwimu za ndoa kuvunjika hawajikiti kutafiti kwanini ndoa zinavunjika.
  14. Dr leader

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna ndoa ya siri

    Acha tufunge maneno vizuri leo. Hivi unajua kuna watu wanaoa kama vile wanafanya biashara ya madawa ya kulevya? Yaani, kimyakimya, bila mashahidi, bila kujulisha hata mbwa wa jirani. "ndoa ya siri." Sasa hivi bwana, kuna mtu anaweza kupata ndoa nyuma ya pazia alafu kesho anaanza kusema...
  15. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Diamond atoa talaka tatu kwa mkewe Zuchu, Khadija Kopa azikataa ni baada ya NDOA kudumu kwa mwezi mmoja kama ndoa za Magomeni

    Amani iwe kwenu watumishi Nianze kwanza na history ya magomen kitaa changu ninachoishi toka kitambo sana Kitaa hiki ni kitaa mabingwa wa ndoa za mkeka hasa mwezi wa Ramadhan unapokalibia Ndoa hufungwa nyingi sana na wazee wanaoitwa wazee watukufu katika uislam Wazee hawa watukufu katika...
  16. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kwanini hekima za kale pia hata maandiko zilisisitiza ndoa za wanawake bikira

    Katika tamaduni nyingi za kale, hasa barani Afrika, wazee wetu walithamini sana mwanamke anayehifadhi usafi wa mwili wake – si kwa sababu ya mila tu, bali kwa sababu walijua fumbo la nishati lililojificha katika tendo la ndoa na nguvu ya kwanza ya muungano. Katika ulimwengu wa kiroho, mwili wa...
  17. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mwanawake nilishindwana nae kwa kiburi chake pro max, mtu aliemuoa kajifunza kunywa pombe na huchelewa kurudi nyumbani

    Kama ilivyo kawaida, Ijumaa huwa napenda kwenda kupumzisha akili moja baridi, moja moto kwenye viwanja. Lakini leo hali ilikuwa tofauti kidogo. Rafiki yangu mmoja aliniomba nimpe kampani twende kwenye kiwanja ambacho yeye amekizoea. Sikuwa na shida, tukasafiri pamoja hadi huko. Tulipofika...
  18. SankaraBoukaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bila Mchepuko, Ndoa Nyingi za Sasa ni Ngumu Kudumu – Unahitaji “Catalyst” ya Mahusiano

    Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha. Kabla hujanihukumu au kunishambulia, tafadhali nielewe vizuri. Sipromoti usaliti, bali najaribu...
  19. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Najiona Nishakata tamaa kabisa ya kuo

    Wakuu mpaka sasa Najiona Nishakata TAMAA kabisa ya kuoa.kwa ninayoona kakazangu watatu walionitangulia wanavyofanyiwa ndani ya ndoa inanitia hasira Zaidi nikisikia neno ndoa. Kiufupi ndugu zangu wanazipambania Sana familia zao lakini awo shemeji mambo yao ni hovyo tena Kila mtu anachangamoto...
  20. The redemeer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa: Safari yenye kusudi maalumu si kifungo cha milele

    MLANGO WA 7 SIRI KUHUSU NDOA Ndoa si kitu cha kudumu kwa lazima. Si gereza la milele, wala mkataba wa damu ambao lazima udumu hata kama moyo umekauka. Ndoa ni agano la muda, safari ya ujumbe, ujumbe ambao unapofika mwisho wake, hatupaswi kulazimisha uendelee kwa nguvu za maumivu au hofu ya...
Back
Top Bottom