ndoa

  1. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe? Take care, Vitoto vya 2000 vimeanza kulazimisha ndoa

    1. Ni singo maza ... 2. Kitoto kimezaliwa Dec/2000 kinataka ndoa ...!!! Uzi tayari. #YNWA #YANGA_BINGWA
  2. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Mambo matano yanayoweza kukufanya usistahili kuwemo katika ndoa

    Ndoa itakushinda Iwapo... 1. Ikiwa tendo la ndoa halina maana kwako.. Ipo hivi... Katika ndoa, tendo la ndoa si la hiari - ni la msingi. Ikiwa hutaki kuduu, tafuta usaidizi kutoka kwa marafiki na jamaa, na fikiria kuasili watoto ila isiingie katika ndoa. . 2. Ikiwa unataka kutenganisha...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ni kwel ndoa ina changamoto lakini usikubali mtoto wako apewe malezi na baba mwingine! Unless hazipo

    KATAA NDOA sio suluhisho na kuzalisha mwanamke na kumkimbia sio suluhisho pia. Katika maamuzi yote utakayotaka kufanya usikubali kuona mtoto wako anapewa malezi na baba mwingine, kama unampenda mtoto wako kwel na unataka apitie katika mema ya maisha basi hakikisha uyo mtoto unamlea wewe na mama...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 muhimu ya kuzungumza kabla ya ndoa ili kuepuka maumivu baadae

    Kabla ya Ndoa, haya ni mambo muhimu sana mnayopaswa kuyazungumza ili kuepuka maumivu na kuvunjika moyo baadaye: 1. Fedha - Tutazisimamiaje? Pamoja au kila mmoja kivyake? Nani ataweka akiba, nani atatumia, na tufanye nini mambo yakibana? 2. Watoto - Je, tunataka watoto? Wangapi? Na ni maadili...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sio Lazima ufunge ndoa Kanisani au Msikitini. Kwanza huo ni Utumwa

    SIO LAZIMA UFUNGE NDOA KANISANI AU MSIKITINI. KWANZA HUO NI UTUMWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kitendo cha kuona ni lazima ufunge ndoa Kanisani au msikitini ujue bado kuna mambo huyajui kuhusu kiitwacho dini. Ujue wewe ni Mtumwa unayehitaji ukombozi. 2. Ukiona unamawazo kwamba ndoa...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Dada yetu mwaka umekata sasa bila ndoa au Tukupe mitano Tena?

    Wewe ni mzuri ndio hatukatai. Una wowo ndio hatukatai. Unanyota kali kila mwanaume anakuulizia na kukuzimikia ndio hatukatai. Kwamba unaenda viwanja vikubwa na watu wazito wenye pesa zao Ndio hatukatai Unajua style zote kitandani na hata ile mpya ya Mafwele kateka tena ni Sawa hatukatai...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke / Ndoa 2026

    Habari za hapa wana jukwaaa!! nimeingia JF kwa lengo la kutafuta mwenza wa maisha, mimi naamini popote inawezekana kwa uwezo wa Mungu. Mimi ni mwanaume wa miaka 36 Mrefu - maji ya kunde Sio mnene sio mwembamba Naishi dar es salaam Nafanya kazi na biashara Mkristo / Lutheran Mke nayemtafuta...
  8. maishapopote

    JamiiForums Tanzania Je nikiwa na Treasure bond ndoa ikivunjika inahesabiwa kama Mali au ni personal

    Wakuu kwenye divorce kama ulikua na treasury bond je inahesabiwa kwenye mgawanyo wa Mali? Kama iko kwenye jina la mume na wametengana na imenunuliwa baada ya kutengana ila divorce bado? Naombeni ushauri hapo
  9. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kama umeamua kufunga ndoa fanya yafuatayo

    Ndoa ni utapeli kama utapeli mwingine , ni ubatili mkuu kama serikali ya CCM .Lakini hasara za kutapeliwa katika ndoa zinatofautiana kati ya mtu na mtu ..Hivyo basi wewe kama kijana ili walau uwe sehemu ya watakaopata hasara ndogo ya utapeli huu wa ndoa ,fanya haya ayasemayo Mwehu ndama jabali...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Kiislamu kwenye ndoa ni kuwa na wake wanne na awatendee haki sawa na siyo Amani!

    Mimi si mwislamu ila nataka kuwauliza swali ndugu zangu Waislamu Kinachotakiwa kutendwa kwenye ndoa zao ili ndoa zibaki kuwa na Amani na kudumu ni nini? Kutenda haki kwa wake hao au kuwatendea Amani? Lalamiko ambalo huwa linasikika kwa nguvu kutoka kwa wake za Waislamu ni kutokutendewa haki...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari mnaolipua kushona wanawake wanaojifungua kwa operesheni mnachangia ndoa nyingi kuharibika

    Hili ni jambo ambalo watu wengi wanaogopa kulizungumzia lakini ni tatizo kubwa, kwenye magroup ya maisha ya ndoa kuna post nyingi (Kwa ID za kujificha) wanawake hulalamika waume zao kukosa hisia baada ya kushonwa vibaya na wanaume wakilalamika hivyo. (Kwa ID za kujificha) Kuna baadhi ya mishono...
  12. Papizo

    JamiiForums Tanzania Ndoa miaka 11 naomba ushauri

    Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe. Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia, sasa baada ya hapo mwanaume...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike wa vyuoni huwa wanawahi kurudi vyuoni kwa sababu wana ndoa zinawasubiri

    Msione wanafunzi wana usongo wa kurudi vyuoni , wana ndoa zao vyuoni
  14. Criss

    JamiiForums Tanzania Atakaeyenda kupiga kura ajue amefuta utegemezi wake kwangu ndani ya miaka 5

    Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao. Kwa watoto wao...
  15. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Shikamoo ndoa kama ndio zinaendaga hivi

    Kama video inavyoliezea ila ingawa ni Igizo
  16. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Ndoa zinavyoteseka na hizi simu hasa kwenye kipengele cha NYWILA(PASSWORD)

    Mimi fundi simu hapa kariakooo ila mojawapo ya hekaheka ninazokutana nazo kwenye simu ni juu ya nywila a.k.a Password. Hili jambo limeachisha ndoa nyingi sana,unakuta mtu amechukua simu ya mkewe kwa lengo la kumtengenezea haswa kioo,anapofika kwa fundi mwanaume huomba nywila kwa kisingizio cha...
  17. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za ndoa

  18. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Wanawake Mnaweza Kuwa Na Ego Kwenye Biashara na Kazini Lakini Sio Kwenye Ndoa

    Sifa ya Ego ni ya mwanaume na si ya mwanamke, mwanaume ndio mwenye ego ya mamlaka na uongozi kwenye ndoa Hivyo basi mwanamke anapotaka kuchukua nafasi ya mwanaume na kuleta zile habar za 50/50 hapo anakuwa amevuka mstari mwekundu na kutikisa himaya ya mwanaume Ndio maana ndoa yoyote ambayo...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Offset amtaka Cardi B amuachie 70% ya mali zake: Ndoa yazidi kuchachama

    Tetesi mpya zimeibuka katika ndoa ya mastaa wa muziki, Offset na Cardi B, baada ya Offset kudai kuwa Cardi B amemsaliti na hata kupata ujauzito wa mwanaume mwingine. Tukio hili limezua gumzo kubwa duniani, huku Offset sasa akitaka mali kubwa kutoka kwa mkewe ili, kwa maneno yake, "kuwalinda na...
  20. Sognsvann

    JamiiForums Tanzania Mchumba mwanamke - MKE

    Habari wana JF Natafuta mwanamke mwenye heshima na upeo wa kiakili , na kimaisha ambaye yupo tayari kuishi maisha ya ndoa yenye upendo, heshima na furaha. Ndoto yangu ni kumpata mwanamke wa umri kati ya miaka 25 - 30 ambaye hajawahi kuolewa na hana mtoto. Kama yupo mwenye uhitaji namkaribisha...
Back
Top Bottom