Mungu ameshauri watu wasioe / kuolewa ili kuepuka matatizo kwenye kitabu chake kinachoitwa biblia
1 Wakorintho 7:27-28 inasema
Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, wala hujatenda dhambi. Na msichana ambaye hajawahi kuolewa akiamua kuolewa, hajafanya dhambi.
Lakini wale wanaooa au...
NB: Maslahi ya uzi; Hii mada nimeombwa niiandike na mdau wa hapa JF ambaye ni mwathirika wa muda mrefu lakini sasa anaendelea vema
Yeye ni shoga kwa ajali na mkewe ni msagaji kwa ajali pia kutokana na mazingira ya makuzi na elimu.. Wote walizaliwa bila hizo kasoro.. Mwanaume akafundishwa na...
Hapo zamani ulikuwa unakuta Mzee ana wanawake zake wa ndoa wa wawili au watatu halafu ana mchepuko wake mmoja.
Huo mchepuko unajulikana nyumbani mchepuko unamheshimu Mzee kama Mume mchepuko unaheshimiana na wake wa Mzee.
Na kizuri zaidi mchepuko unatulia na Mzee wanazaa watoto kama Mume...
NB: Talaka zimekuwa nyingi kwakuwa ndoa nyingi hazina maandalizi ya kutosha
Hii mada ilikuwa ije weekend lakini naona nakumbushwa Sana hivyo sina budi kuileta usiku huu. Maana mchuzi wa umbwa hunywewa wa moto Nitajitahidi kufupisha ili isichoshe kusoma
Ndoa za leo zinatakiwa kwenda nazo kwa...
Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza swali moja: Hivi ni lini tutaanza kuwajibika kwa maamuzi yetu binafsi, hasa yale ya kiuamuzi kabisa kama kuingia kwenye ndoa, au kuiacha?
Nikiwa mtaa mmoja hapa jijini Dar es Salaam, ubuyu ukamwagwa. Ubuyu si wa kawaida. Ni...
Kwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana.
Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno Samahani.
Marry nimeona kitu cha ziada ndani yako, bila shaka tutafiti tukiwa pamoja tukipambana na hili...
Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako.
Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
Ndoa ni stara kwa mwanamke! Hivyo mwanamke anahitaji ndoa kuliko mwanaume
Wanawake wamekuwa wengi ama ni wengi kuliko wanaume... Hivyo ndoa imekuwa kitu adimu hasa ukizingatia kuwa.. Pamoja na uchache huo wa wanaume bado karibia nusu yao si waoaji
Sasa kutokana na hamaniko hilo la kuhitaji...
Wengi tunakimbilia kuzaa tukiamini huko mbeleni, watoto tunaowazaa watakuja kutusaidia.
Hii inatokana na kutokuwepo kwa kambi za wazee katika huu ukanda wetu, inayopelekea ufikapo uzeeni kukosa mtu wa kukusaidia pale utakapohitaji msaada.
Tumekuwa tukiwazaa watoto, na kuwagharamia kila kitu...
Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.
2: wazee wa kale...
Habari wadau poleni na mihangaiko ya kilasiku.
Moja kwa moja kwenye mada.
Leo asubuhi kama kawaida niliamka nikawa nashida ofisi moja wapo ya serikali nikapita nyumba ya jirani yangu nakuta mwanamke amekaa nje na mwanaume yupo ndani anaongea.
Kwahali nilivyoiona nilijua hakuna usalama hapa...
Katika dunia ya sasa, harusi imegeuka kuwa tamasha la kuonyesha mali, hadhi na umaarufu. Watu wengi – hasa wanaume – wanajikuta wakilazimika kutumia mamilioni ili kufanikisha harusi ya kifahari, ilhali maisha ya ndoa yanayofuata yanakuwa magumu, yenye mivutano na yasiyo na furaha.
Ni wakati...
Wakuu kwenye pita pita zangu nimekutana na hii kitu inayoitwa prenup, ila nimeona nikama ina sound good.
Hivi kwa sheria za bongo hii kitu vipi ninaweza kuifanya au sheria hairuhusu??
Wanasheria wa jf mje mtuambie..
Nilivyoielewa kwa ufupi...
Prenup ni kifupi cha neno la Kiingereza...
Sheria mama ya Tanzania ( Katiba) inasema, umri wa utu Uzima ni kuanzia miaka 18.
Sheria ya Makosa ya jinai ya Tanzania ( Penal Code), inatambua kama kosa la jinai, tendo la ngono Kati ya mwanaume mwenye umri wa mialka 18+ na msichana mwenye umri wa chini ya miaka 18,hata kama msichana huyo...
Baada ya kuishi katika ndoa ndo nimejifunza kuwa ndoa ni sawa na mashindano ya mpira kila team inapambana ili ichukuwe point 3
Mume na mke kila mmoja anapambana ili atawale mwenzake japo kuwa watu usema kuwa mke na mtii mume wake ukiingia katika ndoa inawezekana utii uo ukauona miezi miwili...
Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?
Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za...
Leo utakuta kuna ma kungwi yanawafundisha wanawake kuifinyia kwa ndani wakijua ndo solution la kumkamata mwanaume.
Anaye kufundisha mwenyewe hata mme licha anajua hadi kuifinyia kwa ndani bado tu unaunguza mb zako kuangalia.
Hivyo vitu tajwa hapo juu kwa uchache ni ziada tu kwani vinaweza...
Niliwahi kuwa na mpenzi wa kiarabu miaka ya 2014.
Tulikutana kwenye ndege nikiwa naelekea KIA kutokea Airport ya Nyerere.
Nilipokuwa nimefika airport nasubiri ndege nikaenda walipokaa wenzangu tunaosubiri ndege ya kwenda KIA, enzi huzo ni fastjet.
Mwarabu nilimuona akiwa na simu yake lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.