ndoa

  1. Msanii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa imenizawadia kiharusi

    Great Thinkers, Kama heading inavyojieleza; mimi Msanii nimeoa na pia tumejaliwa watoto 2. Ninawapenda sana hawa watoto. Naamini ni zao la ndoa yetu. Wengi wanaonifahamu, wanajua mapito ninayoyapitia kwenye hii ndoa. I tried so hard to humble myself na kuwa kiongozi wa familia kwa kutotumia...
  2. Hammer11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaaan ndoa imenishinda asee

    Kama kichwa cha habari kinasema wadau Mimi ndoa imenishinda fikiria huyuu mwanamke tumezaa watoto 2 lakini asaivii kabadilika ety akitoka kuoga mimi ananiambia nitoke nje nitamchungulia hii ni haki kweli
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Angalia video Hii kisha utoe hukumu kwa haki.

    Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli. Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa ameenda kudai figo kwa mke wake aliyomchangia baada ya kuachana

    Daktari wa upasuaji wa New York, Dk Richard Batista aliushangaza umma alipomtaka mkewe aliyeachana naye amrudishie figo aliyokuwa amemchangia au amlipe fidia ya dola milioni 1.5 ambayo ni sawa na 3,906,109,089/= ya kitanzania Soma pia: NILIMPA FIGO YANGU Huko nyuma mwaka wa 2001, Batista...
  5. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa hapa Zembwela mmemuelewa lakini? Au tuwaache?

    Wakuu, Kuna haka ka clip ka Zembwela nimekutana nako. huko kwenye matembezi yangu mtandaoni. Kama upo kwenye ndoa naomba sana ukaangalie alafu useme kama umemuelewa Zembwela au hamjamuelewa. Mimi nimemuelewa lakini nadhani kataa ndoa wengi watakuwa hapa kwenye MKE MKE WENU na ndo maana...
  6. othuman dan fodio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu niwe na nyumba ndogo (mchepuko), ndoa yangu ina amani sasa

    Mwanzo wakati sina mpango wa kando nilikuwa napata shida sana ku-handle ndoa yangu na ukizingatia shemeji yenu ni mfanyakazi basi muda wote nilikuwa na kihoro cha kuchapiwa na kuhisi siheshimiki kama baba. Nilikuwa naona nafasi yangu ni finyu sana na pia wivu uliopitiliza ulitamalaki moyoni...
  7. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 5 yanayofanya mwaume azeeke haraka

    1.Ndoa 2 ndoa 3..ndoa 4.ndoa 5. Ndoa All d best.
  8. AskariKanzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kama haujui kupika kwenye ndoa utateseka sana

    Mwanaume kabla ya kufikiria kuhusu ndoa jifunze kutoa kitu kwanza maana huku wenzako tunatubu. Wanawake kwanini tukipishana kauli kidogo tu mnanuna na chakula hampiki mnataka tukale wapi wakati maitaji yote yapo ndani.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yawezekana ndoa ni muhimu ndoa maana tumeumbwa wanawake na wanaume? Je kuna madhara yoyote kuishi bila ndoa?

    Kwenye dini ya kiislamu ndoa ni suna siyo lazima ila ni ile sunna ambayo imekokotezwa kwa maana ni suna ambayo inakaribia kwenye faradhi hivyo hivyo kwenye dini nyingine yawezekana akawa ni muhimu pia je nauliza hiyo ndiyo sababu ya kuumbwa jinsia mbili kati ya kiume na ya kike? Na je kama ni...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

    Habari zenu wakuu Aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana, Nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ili aweze kukutii kama kiongozi katika ndoa unatakiwa kumzidi vitu vingi, kinyume na hapo au kumruhusu akuzidi ni risky

    Wanawake ni viumbe ambao ili aweze angalau kuwamudu hata kwa mbali katika mahusiano unatakiwa kumzidi vitu vingi Mzidi elimu, mzidi umri, mzidi kipato, mzidi hekima, ,mzidi urefu, mzidi mbinu za kumkata ulimi akiwa anaongea sana. Vya kumruhusu akuzidi ni akuzidi usafi, ukimya, ucheshi...
  12. Registered_jf

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndio ndoa

    Sisi wapenzi watazamaji tukiongelea ndoa tunamaanisha hizi 👇🏾 Sio unasimama pembeni ya cheti ah-ah. Picha yenu hadi tusubiri Usimame pembeni ya jeneza. Lazima uwe pembeni ya Bwana / Bibi ujidai. Namna hiyo! Na usiseme tunadanganyika na picha, waigizaji wa kwenye picha...
  13. Mfilisti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Magari used

    Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo. Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa. Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena. Kila akikuona nalo...
  14. Papillon 1906

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanakuwa na backup ya mwanaume akilini mwao kama mahusiano au ndoa zao zitafeli

    Backup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies. Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ili Mwanaume afanikiwe Kifedha, amani na utulivu lazima aoe

    Wakuu, Kuna kikao huku tuambizane mlioko kwenye ndoa kama haya ni kweli tuchangamkie fursa ya ndoa bachelors tupate chochote kitu
  16. Youbettersleep

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni mpango wa mawanaume, ni fursa kwa mwanamke

    Leo hapa kijiweni NYASAKA CENTER. mzee wetu leo kaja na neno la kutuambia vijana kuhusu NDOA. Ndoa ni mpango mzuri kwa mwanaume na ni fursa kwa MWANAMKE akiwa na maana ya kwamba Mwanaume ili aoe ni lazima awe amependa na ameamua ila MWANAMKE ili aolewe 99% wanaangalia nini atapata kwenye ndoa...
  17. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa na kazi ipi bora?

    Kumekuwa na malalamiko ya wanandoa wengi walioajiriwa kuwa mbali na wapenzi wao, ambapo mke/mume anakuwa mbali na mwenzie kutokana na mazingira ya kazi. Mmoja anaweza kuwa mbali ki wilaya, mkoa au nchi tofauti na mwenzie na kupelekea ugumu wa kuonana mara mara na mwenzake. Hii imekuwa...
  18. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa za kulazimishwa zipo hadi leo?

    Hadi leo hii kwenye jamii yetu bado kuna msukumo wa watu kuoa au kuolewa kwa kulazimishwa. Mtu analazimishwa kumuoa/kuolewa na mtu fulani kwa sababu tu wanazozijua wao wazazi. Hili wadau limekaaje kwenye dunia ya sasa? #JF
  19. AskariKanzu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe baada ya ndoa mambo ndo yanabadilika hivi?

    Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa. Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kama ni Mwenyezi Mungu alietuumba tuwe na matamanio ya kimwili sio sahihi kwa maaskofu na masista kuishi bila ndoa, ni kudharau uumbaji

    Kwa binadamu mwenye afya hasa kijana ni lazima apate matamanio ya kimwili, kwa kiingereza huitwa Libido, kwa kiswahili kuna majina kama Nyege, Upwiru, Midadi. Njia sahihi ni kuutoa kupitia tendo la ndoa kwa wanandoa. Hawa ma Askofu na Ma Sista wanaoishi bila ndoa inamaanisha moja kwa moja...
Back
Top Bottom