Sijaoa nina watoto wawili, ndoa ya nini?

temoin

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2025
Posts
311
Reaction score
708
Lengo kuu la ndoa ni kuwa na familia ila kama unaweza kupata watoto bila kuoa basi ndoa haina maana.

Now nina watoto wawili na sijaoa, nioe ya nini? Lengo la ndoa ni watoto na ninao why nijipe stress za bure wakati maisha yenyewe ndo haya na kila siku watu humu wanalialia kwa wanayopitia kwenye ndoa

Sitaki ndoa hata wanishikie panga ninachopambania sasahv ni kulea watoto wangu na kuwajengea maisha mazuri ya baadae

Life without marriage is possible

NO NDOA NO STRESS
 
Kwa hiyo maana ya familia ni kuwa na watoto iwe au isiwepo ndoa sio?
 
Lengo kuu la ndoa ni kuwa na familia ila kama unaweza kupata watoto bila kuoa basi ndoa haina maana.

Now nina watoto wawili na sijaoa, nioe ya nini? Lengo la ndoa ni watoto na ninao why nijipe stress za bure wakati maisha yenyewe ndo haya na kila siku watu humu wanalialia kwa wanayopitia kwenye ndoa

Sitaki ndoa hata wanishikie panga ninachopambania sasahv ni kulea watoto wangu na kuwajengea maisha mazuri ya baadae

Life without marriage is possible

NO NDOA NO STRESS
Una hakika hao watoto ni wako
 
Hao watoto watakusumbua tu ,kiufupi unajichimbia mkwara mwenyewe.
 
Lengo la ndoa sio watoto gentleman
Unajivunia kuwa na bastards hiyo chain itakuwa endelevu
 
Lengo kuu la ndoa ni kuwa na familia ila kama unaweza kupata watoto bila kuoa basi ndoa haina maana.

Now nina watoto wawili na sijaoa, nioe ya nini? Lengo la ndoa ni watoto na ninao why nijipe stress za bure wakati maisha yenyewe ndo haya na kila siku watu humu wanalialia kwa wanayopitia kwenye ndoa

Sitaki ndoa hata wanishikie panga ninachopambania sasahv ni kulea watoto wangu na kuwajengea maisha mazuri ya baadae

Life without marriage is possible

NO NDOA NO STRESS
Ukizeeka utatuhadithia
 
Back
Top Bottom