Hii ndege kuukuu na nzee imekuwa ikizunguka na Mh Lissu na jana kalalamika, naona hata yeye keshatia shaka na usalama wa hii ndege.
Kwanza ina engine moja jambo lisilo salama kiusafiri wa anga, ndege kama hizi hutumika kwenye tafiti "aerial survey" au kunyunyizia viwatilifu lakini sio...