Madagascar waongeza lockdown baada ya kirusi kuzingua balaa, hivi hawa si ndio Wabongo walifuata dawa yao kwa ndege

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,407
Nakumbuka picha za mawaziri wa Tz wakinywa vikombe vya dawa ya Madagascar iliyofuatwa kwa ndege ya ikulu, wabongo wakawa wanatokwa mipovu walipoambiwa muhimu hiyo dawa ikafanyiwa ukaguzi wa kisayansi kabla ya kuichangamkia kama walivyofanya kwenye kikombe cha babu.

Sasa hao wenzetu Madagascar kwao huko wameingia lockdown baada ya kirusi kuwatesa zaidi, hii ina maana tusubiri dawa ya beberu tu hamna namna, hiki kirusi kinaboa kishenzi ila haipaswi kujichokea na kujiaminisha hakipo.

=======

Madagascar has placed its capital Antananarivo under a fresh lockdown following a new surge in coronavirus infections, two months after the restrictions were eased, the presidency announced Sunday.

"The Analamanga region [under which the capital is situated] is returning to full lockdown," the presidency said in a statement.

No traffic will be allowed in or out of the region starting Monday until July 20.

A strict curfew will be imposed on street movement by people.

"Only one person per household is allowed to go out into the street between 6:00 am (0400 GMT) and 12:00 pm (1000 GMT)," said the statement.

The measures have been taken "because of the spread of the epidemic and the increase of COVID-19 cases," it added.

Used to registering dozens of coronavirus cases a day, Madagascar has in recent days seen an exponential rise in daily numbers, jumping to a record 216 cases on Saturday.

The latest tally came after 675 people were tested.

Nearly 24,000 tests have so far been conducted on the impoverished island.

By Sunday the country had a cumulative 2,728 cases, including 29 deaths since the virus was first detected on the Indian ocean island on March 20.

All government meetings will now be held via video conferencing, while court hearings have been suspended.

In April, President Andry Rajoelina launched a local herbal concoction he claimed prevents and cures the novel coronavirus.

Rajoelina has been promoting the brew for export, saying it is the country's "green gold" which will "change history".

The potential benefits of COVID-Organics, a tonic derived from artemisia -- a plant with proven efficacy in malaria treatment -- and other indigenous herbs, have not been validated by any scientific study.

Source: Madagascar re-imposes lockdown amid surge in virus cases
 
Serikali yetu inamambo ya kipuuzi sana muda mwingine. Kuchoma wese la ndege kupeleka watu nchi ya jirani kwa mambo ya kipuuzi.

Ila jamani, haina shida lakini.... Uongozi ni dhamana....
 
Profeaa wetu from Jalalani ltd alijipigia zake kachupa kazima kiroho safi.
 
First thing first..Kenya na Tanzania wote tunaishi kama Corona hamna. Hiyo curfew isikudanganye, muulize CS Kagwe jinsi Corona inavyosambaa.
 
Afrocinema continues shortly.....
IMG_4170.JPG[IMG]
 
Tatizo vifo vinaendelea kushuhudiwa, hivyo ni vigumu kujichokea.....
Kama suala ni vifo mbona hata malaria yanaua (tena kwa kiwango kikubwa)! Ukimwi unaua, TB inaua, hepatitis inaua, saratani inaua n.k...
 
Back
Top Bottom