Kuchapiwa ni siri ya ndani

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,162
11,565
Ndugu zangu,
Hivi kwanini ukihisi au kubaini kuchapiwa mke au mwenzi wako huwa inaumiza sana mutima na kuvuruga akili, maisha, uelekeo na mipango ya wababa wengi na hata kufikia hatua kusababisha kujeruhiana na hata maafa na vifo?

Kuna mwenye uzoefu alieweza kupitia sahibu kama hili na kutoka salama kwenye timbwili hili linalotesa na kusambaratisha familia nyingi kwasasa?

Tafadhali tushirikishe mbinu ulizotumia basi ili kuwanusuru wababa wengi sana wanaopitia changamoto hii katika Jamii.
Asantree..
 
Mimi naona kama wewe unatafuta nje huko ikitokea mwenzako akatafunwa kuwa mpole tu wat goes around come around
Lakin kama hujawahi kutafuna ikitokea katafunwa piga chini maisha yaendelee
Unaongea kirahisi sana. Sio rahisi kwa mwanaume kukubaliana na ilo. Binafsi hata kama nachepuka nikigundua na mwenzangu anafanya ivyo tunaachana hapo hapo
 
Tujielekeze kumsaidia mtoa mada kwanza Mkuu.
Binafsi sihusiki hata kidogo kwenye jambo hili kwasabb show yangu ni yakibabe tu haina mawaa...

Najitolea tu kisadia Jamii kujua namna ya kuondokana na mazingira hayo.

Mauaji, uharibifu na mafarakano kwenye familia nyingi yanatesa sana watoto, ndugu, jamaa na marafiki katika Jamii...

Leo hii ukichumgulia kwenye mitandandao hukosi kukutana na matikio kadhaa ya mauaji wanandoa au wenzi , sababu ikitajwa ni wivu wa kimapenxi......
 
Back
Top Bottom