Dkt. Festus Bulugu Limbu anafaa nafasi ya juu Serikali humu nchini

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,173
11,583
Mtajwa hapo juu aliwahi Mbunge Jimbo la Magu, lakini pia aliwahi kuwa Naibu waziri wa fedha katika awamu ya 3 akishughulikia masuala ya SERA na Mipango ya wizara hiyo.

Na kwa hakika kazi yake ilionekana na inaonekana mpaka wa leo na kuifaidisha nchi na wananchi pakubwa. Dr. Limbu is among economic genius hapa Tanzania.

Pamoja na mambo mengine mengi aliyowahi kuyafanya katika nchi hii kwa maslahi mapana ya nchi na kwa manufaa ya wananchi wote.

Dr. FESTUS BULUGU LIMBU ni mzalendo wa kweli, mchapakazi mahiri, mwenye uthubutu wa kusema na kutenda, nachelea kusema mzalendo huyu anaweza kuipaisha Tanzania sio tu kiuchumi bali pia kijamii na kisiasa na hatimae kubadili kabisa hali za maisha ya waTz kua bora zaidi na yanye furaha zaidi kuliko wakati mwingine wowote.

Dr. FESTUS BULUGU LIMBU ana uzoefu katika uongozi na utumishi wa umma.
Anachukia Rushwa kwa maneno na vitendo, ni mkweli na muwazi,
Ni mtulivu, mkimya na mpole asiependa uonevu wa aina yeyote, popote na kwa yeyote.
Ana maamuzi magumu na wala hana haya kuchukua hatua kwa yeyote atakae enda kinyume na mipango na Sheria za nchi. Rejea alivyo kua naibu waziri wa fedha.

Ni muadilifu na mpenda Amani, umoja na mshikamano.
Ni Baba wa familia, Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.

Hana kundi wala makundi, kundi lake ni waTanzania wote.
Kwa ujasiri mkubwa nadhani anafaa na ana sifa zote kwa nafasi ya Juu zaidi humu nchini siku za usoni.
Ni furaha kuona wengi wa waTz wameanza kumfikiria mapema.

Ama hakika Dr FESTUS BULUGU LIMBU ni NYOTA YA MATUMAINI TANZANIA.

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
 
Mtajwa hapo juu aliwahi Mbunge Jimbo la Magu, lakini pia aliwahi kuwa Naibu waziri wa fedha katika awamu ya3 akishughulikia masuala ya SERA na Mipango ya wizara hiyo.

Na kwa hakika kazi yake ilionekana na inaonekana mpaka wa leo na kuifaidisha nchi na wananchi pakubwa. Dr.Limbu is among economic genius hapa Tanzania.

Muhuni tu hafai kabisa.
 
sasa tujaribu na kanda nyingine
 
Umri wake ?
 
Mtajwa hapo juu aliwahi Mbunge Jimbo la Magu, lakini pia aliwahi kuwa Naibu waziri wa fedha katika awamu ya 3 akishughulikia masuala ya SERA na Mipango ya wizara hiyo.

Na kwa hakika kazi yake ilionekana na inaonekana mpaka wa leo na kuifaidisha nchi na wananchi pakubwa. Dr. Limbu is among economic genius hapa Tanzania.

Pamoja na mambo mengine mengi aliyowahi kuyafanya katika nchi hii kwa maslahi mapana ya nchi na kwa manufaa ya wananchi wote.

Dr. FESTUS BULUGU LIMBU ni mzalendo wa kweli, mchapakazi mahiri, mwenye uthubutu wa kusema na kutenda, nachelea kusema mzalendo huyu anaweza kuipaisha Tanzania sio tu kiuchumi bali pia kijamii na kisiasa na hatimae kubadili kabisa hali za maisha ya waTz kua bora zaidi na yanye furaha zaidi kuliko wakati mwingine wowote.

Dr. FESTUS BULUGU LIMBU ana uzoefu katika uongozi na utumishi wa umma.
Anachukia Rushwa kwa maneno na vitendo, ni mkweli na muwazi,
Ni mtulivu, mkimya na mpole asiependa uonevu wa aina yeyote, popote na kwa yeyote.
Ana maamuzi magumu na wala hana haya kuchukua hatua kwa yeyote atakae enda kinyume na mipango na Sheria za nchi. Rejea alivyo kua naibu waziri wa fedha.

Ni muadilifu na mpenda Amani, umoja na mshikamano.
Ni Baba wa familia, Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.

Hana kundi wala makundi, kundi lake ni waTanzania wote.
Kwa ujasiri mkubwa nadhani anafaa na ana sifa zote kwa nafasi ya Juu zaidi humu nchini siku za usoni.
Ni furaha kuona wengi wa waTz wameanza kumfikiria mapema.

Ama hakika Dr FESTUS BULUGU LIMBU ni NYOTA YA MATUMAINI TANZANIA.

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
Mwaka huu
 
Kama sifa hizi zote ulizozitaja ni kweli ndivyo alivyo, basi ndiyo sababu yuko nje ya ulingo. Angekuwa nyang'au wala singekuwa nje
 
Apewe TITHI, siku hizi panayumba sana.
 
Back
Top Bottom