Ajira 500 za Wauguzi nchini Saudia, zimeishia wapi?

ibalozy

New Member
Sep 5, 2020
3
2
Serikali ilitangaza nafasi 500 za wauguzi wa kike, ambao walitakiwa kuenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia, kupitia tangazo hilo ilitangazwa kuwa kufikia tarehe 10 January watakaokuwa wamefanaikiwa kupata nafasi, watatakiwa kuonana na Waziri husika.

Je, hili hili suala limefikia wapi??
 
This is Tz
 
Wapo wanasubiri kufanyiwa interview na taesa hadi leo walikuepo baadhi wajifanya training na taesa
 
Hao wanawake wapotezee kwenda watapigwa dudu huko, kwa Nini wasipeleke wanaume, wanataka wanawake sababu ni wadhaifu, ilitakiwa wapeleke wanaume au mchanganyiko . Ili wakipiga dada zetu na sisi tunapiga dada zao
 
Too negative thoughts in here. Mbona tunajua mchakato wa ajira hua unachukua muda especially kwa nafasi kama hizi ambazo kuna mass applications. Mambo ya mchujo etc. Vuta subra, utaenda Saudia ukahudumie mkuu.
 
Watu kama nyie ni tatizo muda mwingi mnawaza negatively, wapo watu wameomba na wanajulishwa hatua kwa hatua. Wewe kaa hapo na general statements zako watu wanasonga mbele.
Sasa kwani hizo Ajira ni za uchawi? mbaka kuwe na Siri si watoe public maendeleo yake watu wajue wapo hatua gani
 
Back
Top Bottom