Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.
Ujue haya mambo inatakiwa kukaa kwa makini na kuyataftia ufumbuzi wa kina.
Alianza Ndugai akaona Mwanga kama Sauli akawa Paulo...mkamshinikiza na kina Msukuma wakiwa mstari wa mbele..
Mzee wa watu mkapita nae..ikaenda mkahisi mmetibu tatizo..na wakat huo polepole hakuonekana kama threat ila...
Nchimbi amekuwa akitoa kauli zinazojitenga na mambo ya aibu na ukatili yanayotendwa na Samia pamoja genge lake
Kikao cha Kamati Kuu CCM kilichofanyika Unguja kimevuja kuwa Nchimbi atapelekwa Kamati ya Maadili ya CCM
Kumekuwepo na tetesi za kumshinikiza ajiuzulu ili kumpa amani ya moyo nduli...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi.
Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
Mikakati ya CHADEMA ni kuhakikisha wananchi wanakiunga mkono kama wanavyofanya kwenye tonetone.
CCM wao wanakata viuno vya kisiasa kwa kumparula Nchimbi kuwa anataka uraisi 2030.
Hii inaonyesha namna gani CCM haipo kwa ajili ya wananchi bali kwa matumbo yao.
04 August 2026
Kyela, Mbeya
Tanzania
KATIBAKITAA - Mbunge Mstaafu wa G-55 Anafunguka Juu ya Katiba Mpya na Maridhiano
Mbunge mstaafu wa Jimbo la Kyela Mzee Alipipi Lumuli Kasyupa akifanya mahojiano maalum kwenye kipindi cha Katiba Kitaa
https://m.youtube.com/watch?v=gMXhLrtH45Q
Emmanuel...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidia...
asante
balozi
faraja
katiba
katiba mpya
kuhusu
makubwa
maneno
maneno ya
matumaini
mpya
nchi
nchimbi
rais
rais samia
samia
sana
tanzania
tanzania mpya
watanzania
Hii ndio tafsiri sahihi ya ujumbe wa Dk Nchimbi. Kwamba watanzania wapambane ili kupata katiba ambayo ni mali ya wananchi.
Mwaka 1977 baada ya Asp na Tanu kuungana Mwl Nyerere kwa udikteta wake aliunda kamati ya watu 20 ikiongozwa na Thabiti Kombo. Wakatunga hii katiba ya sasa ya mwaka 1977...
NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa tayari.
Ulinzi wake ni idara na usinior wake, magufuli hakumtaka huyu mtu hata yeye hamkutaka magufuli...
Hamjambo!
Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.
Ingawaje kura nyingi zimewakataa...
Wako pamoja wameapisha wateule. Kwa hotuba ya Nchimbi inavyotafsiliwa na wengi kuwa hawaivi, si kweli. Hapa kuna mchezo mchafu wanacheza Samia na Nchimbi na CCM in general. Hii ni jana tarehe 27
Chadema kuweni macho na udanganyifu wa CCM
Siku ile aliyotoa hotuba Dr. Nchimbi kwamba Watanzania wapiganie Katiba mpya, sikumwelewa vizuri, lakini kwa sasa nadhani nimemwelewa kwa kwa asilimia kubwa.
Mambo makuu matatu aliyoyasema ambayo yamenifanya nimwelewe ni kama vile:-
1. Mmemwalika mtu anayefanana fanana na kazi yenu(kutetea haki...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba...
Nchimbi amekataa kubaki bench badala yake kaingia uwanjani na mchezaji ambaye sio mzuri Mama rojo sasa kamaki anatembea tu uwanjani lakini hawezi tena kucheza. Anategemea marefa tu ambao ni jeshi na polisi.
Mama rojo hata mwaka mmoja bado yuko chali
"Ndugu" Emanuel Nchimbi kwa sasa hivi namchukulia kuwa ni mfungwa kama tulivyo wengine wote, waTanzania tusiofurahishwa na mwenendo na mwelekeo wa taifa letu ulivyo kwa sasa.
Sina shaka yoyote, kwamba wapo wengine wengi huko huko aliko Nchoimbi ambao hawajapata ujasiri wa kusema, kama...
Kwako Dr Emmanuel Nchimbi;
Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu:
Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
Mchungaji Peter Msigwa, aliyedai kwamba hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi imewaamsha Watanzania kuwa licha ya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ilani yake ya uchaguzi 2025/30 imeweka suala la upatikanaji wa Katiba Mpya kuwa miongoni mwa mambo yake ya msingi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.