nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jinsi Dk Nchimbi alivyogundua Rais Samia anatamani mabadiliko

    Katika barua yake kwa umma Mhe Dk Emmanuel Nchimbi amesema kwamba nanukuu "... nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Mhe. Rais anatamani mabadiliko, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu...." Alipoona baadhi ya viongozi na wabunge wa ccm wanasimama hadharani na kumuita Yuda alidhani wanajituma...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tuweni makini kuna CCM team Samia watajifanya Chadema damu ili kusudi kumpaka matope Nchimbi asikubalike na wananchi

    Kuna maccm team Samia yanapata tabu sana kipindi hiki. Wengi wanakuja na gia eti Nchimbi asipokelewe na wananchi na pia kama atataka kujiunga na chadema pia asipokelewe. Binafsi mtu anayemzungumzia kwa mabaya Nchimbi kipindi hiki namuona punguani. Nchimbi ameamua ku sacrifice maisha yake ...
  3. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hakuomba radhi na/au kuwapa pole Watanzania kwa serikali yao kuuwa maelfu, kutesa, kupoteza na kuwapa kesi za uongo

    Ushirika wa wachawi haudumu. Ni hivyo. Hivyoje? hivyo! Imma Nchimbi alikuwa na hamu ya ofisi na akasahau mamlaka ya damu yana laana. Lazima anajuta kuwa angefanya tofauti, ikiwemo kukaa nje ya dola la damu za Watu. That is basic decency. Tanzania will never be the same after Oktoba 29. Mamlaka...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hongera Kwako na Wote Walioamua Kujitenga na Utawala wa Tamaa ya Madaraka, Huwapofusha Wengi

    Wale wawili, kwa sababu walikuwa jikoni, wakijua uharamia ambao ulikuwa ukipangwa dhidi ya wananzengo, mapema kabisa waliamua kujiweka mbali. Makamu aliamua kuachia ngazi. Kiranja wa mawaziri licha ya kutangaza kuwa angegombea tena, baada ya kujua kilichokuwa kikipangwa, aliamua kujiweka mbali...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Nchimbi ni bora umewawahi hawa watu

    Li nchi linakwenda zigzaga utafikiri halina jeshi. Kikundi cha watu kinaendesha nchi upumbavu mtupu. Kwa katiba ilivyo akitokea Kiongozi kichaa anaweza kuwaamuru hata jeshi lifanye jambo la ajabu na jeshi likatii...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi: Mahojiano na Jambo FM

    https://youtu.be/HbPhXOsTTJI?si=hS_Hj3UZBVvvtJij
  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu nchimbi natumaini utaendelea kubaki CCM, naimani sana, MUNGU akujalie na akusimamie katika maisha mapya

    Katika harakati za CHAMA, nafahamu ugumu wake Kuna muda una kaa kuanzia asubuhi Hadi jioni bila kula, mfano Mimi sijawahi NUFAIKA na pesa yoyote chamani labda Kwa sababu sio mtu wakujishusha sana, nakuombea maisha mema naimani utaendelea kuwep chamani.
  8. Mzee wa Udambwi

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kajiuzulu Katiba inasemaje endapo rais akipata changamoto ya kushindwa kuendelea na majukumu yake

    Katiba inasemaje kama Samia akimteua Makamu wa rais Mwingine baada ya Nchimbi kujiuzulu na Ikatokea Samia kapata changamoto yoyote ya kibinadamu itakayofanya ashindwe kuendelea na majukumu yake na kuacha kiti wazi Je huyu makamu aliyeteuliwa na akupigiwa kura pamoja na samia j Ataapishwa na kua...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania FALSE Tanzania’s vice president nchimbi resign over alleged interference in zambia’s elections

    Following the resignation announcement by Tanzania’s Vice President, Dr. Emmanuel John Nchimbi, several posts have circulated on social media, particularly in Zambia and other countries, claiming that his resignation was linked to allegations that Tanzania had been involved in sending people to...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Makosa ya kiprotokali katika 'barua ya Nchimbi'

    Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umakamo wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu. Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Dr. Nchimbi kujiuzulu: Siku hizi adhabu ni kubwa kubwa - ulimi ukikosea tu unafukuzwa kazi. Tanzania yetu?

    Kila mtu alijua kinachofuata! Dr. Philip Isidori Mpango alifanywa kuwa one term Vice president, Majaliwa kwa bashasha alifurahia kustaafu, akaona aendelee kuwawakilisha watu wake wa Ruangwa, akapigwa stop, Aargh...nini tena? Akaambiwa hatakiwi tena, Tulia Ackson hakukwepa rungu la mama , Rais...
  12. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania UVCCM wameandika barua kwa niaba ya NCHIMBI ikasambazwa kwa kutumia pesa, Nchimbi kanyimwa nafasi ya kukanusha.

    Barua FEKI, haina hata sifa za kuitwa ni barua ya Makamu wa rais Nimedokezwa mbinu yao ni ile ile waliyotumia kwa Ndugai. Wamewatumia akina Ayo, Kitenge, na wote wanaosambaza habari kwa malipo ili ionekane ni barua halali. Wanachohakikisha ni kwamba Nchimbi hapati nafasi ya kuzungumza jukwaani...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu atamuongeza Nchimbi ktk mashahidi wake?

    ..Mama hawezi kuitwa kutoa ushahidi. ..lakini Mpango, na Nchimbi, hawawezi kukwepa samans kwenda mahakamani. ..habari ya mjini ndiyo hiyo.
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Nchimbi ni zaidi ya mhaini, alaaniwe na kila mtanzania

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mambo ya leo ni mengi. Alichokifanya bwana Nchimbi kutangaza "kujiuzulu" umakamu wa rais ni zaidi ya uhaini. Nasema haya kwa sababu anuai. Kwanza, kitendo cha kukubali kuachia nafasi yake baada ya kushinikizwa na wanaCCM mtandao, kinaashiria...
  15. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Tanzania Stand Up, Heshima kubwa kwa Viongozi wa Kiroho wa Nchimbi na Mpango

    Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa, Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Jambo pekee ninaloweza kumpongeza Emmanuel Nchimbi.

    ……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29. Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa. Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo. Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tunajua Dr. Nchimbi kalazimishwa kujiuzulu na hili linaweza kuwa ndio chanzo cha mpasuko mkubwa ndani ya CCM utakaomwondoa Samia madarakani

    Kama kuna jambo moja ambalo Samia linamshinda katika uongozi wake, ni kuwa na uwezo wa kuona mbali katika baadhi ya maamuzi yake na kuletea kujijengea maadui wengi sana wa kisiasa. Kwa mfano, hadi sasa, hawa huwezi tena kuwaita watu wa Samia, pamoja na wale wanaowaunga mkono Dr. Nchimbi...
  18. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kilicho nyuma ya kujiuzulu kwa Nchimbi: Tetesi, ‘Yuda’, Katiba na mapambano ya ndani ya CCM

    Hatimaye, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amejiuzulu wadhifa wake baada ya miezi ya tetesi, mijadala ya kisiasa na mashambulizi yaliyokuwa yakimlenga ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Taarifa ya kujiuzulu kwake imetumwa kwenye akaunti zake za X...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Katika nchi zinazojitambua, kumlazimisha kiongozi anaetetea haki za wananchi kama Dr. Nchimbi kujiuzulu kutasbabisha ghasia za kupindua nchi

    NI Tanzania tu ambapo wananchi wanakaa kimya pale ambapo watetezi wa haki zao kama kina Ben Saanane, Ali Kibao, Luhaga Mpina, Tundu Lissu, Job Ndugai, Hamphrey Pole Pole au hata Dr. Nchimbi, wanaondolewa katika uongozi, kutekwa na kuuwawa au kufunguliwa kesi za mchongo na watu wanakaa kimya tu...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Nchimbi amerudia kosa la Mrema, Lowassa na Polepole kujaribu kupambana ukiwa nje ya mfumo. Mapambano yanatakiwa ndani na nje. CHADEMA msirudie ya 2015

    KATIKA harakati za kutetea mabadiliko KATIKA mifumo ya utoaji haki demokrasia ya kweli na katiba mpya yanahitajika mapambano ya ndani na nje ya mfumo. Kwa vile alikuwa ameshaonyesha kiu ya mabadiliko Nguvu yake kubwa ilikuwa ni nafasi aliyokuwa nayo . Kwa sasa Hana nguvu yoyote na akijaribu...
Back
Top Bottom