Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.
Hali hiyo inampa Dr.Emmanuel John Nchimbi turufu ya kipekee sana kwamba ndie kiongozi pekee wa kisiasa nchini anae enjoy suport ya uhakika na ya kutosha ndani ya ccm, lakini suporti ya uhakika na ya kutosha miongoni mwa vyama vya siasa vya upinzani Tanzania.
Zaidi sana Dkt. Emmanuel J. Nchimbi...
Hebu jaribu kidogo kufikiri hili;
KWAMBA; Ana Rais yuko madarakani na yeye ni Makamu wake, yaani kiongozi mkuu wa serikali Na. 2...
Na, chama chao ndicho kiko madarakani, kinaongoza serikali....
Na siku si nyingi amekuwa Katibu Mkuu na kada mbobezi wa chama chao karibu maisha yake yote hata...
Umetumwa kutuuza, unasema tutoke tupambanie Katiba ili tufe wakati Katiba unayo kabatini na 'ufunguo unao'.
Unataka Wanaharakati warudi ili uwauze wakamatwe unataka kuwauza vijana wafe halafu ukae kimya kama ulivyofanya oktoba 29, ili upate ulichoahidiwa.
Kuna sehemu nilisoma kuwa wewe eti ni...
CCM na Genge lao Wana ujinga wanauita "MARIDHIANO" .
Huuuu ujinga, ndio ambao NCHIMBI, anaupiga Vita .
Anawaambia Watanzania, 'Msiingie kwenye huo mtego'
Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba.
SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE.
Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika...
Asitutoe kwenye reli, uwajibikaji wa matukio ya utekaji, utesaji, ulawiti, mauaji na kesi za kubumba ulioanzishwa na kuendelezwa hadi leo na vyombo vya dola ni CCM yeye akiwemo
Mauaji ya kimbari ya Oktoba 29 2026, wahusika wakuu ni vyombo vya ulinzi na usalama na CCM yeye (Nchimbi) akiwemo
Kesi...
KATOLIKI niliwahi waambia, Kosa mlofanya mkapelekea MAGUFULI kuondolewa, lisijirudie .
Magufuli hata kama alikosea, ila hakuligusa KANISA Wala RASIMALI ZA NCHI.
Licha ya makosa yake Madogo, Bado alibaki kua MKATOLIKI.
Sasa mnaye NCHIMBI, huyu ni CCM kama alivyokua MAGUFULI, hakikisheni...
Wengi wetu hatukumuelewa Dr. Nchimbi pale aliposema Watanzania tupambane ili kupata Katiba mpya, na hadi tukaanza kuuliza, tupambane dhidi ya nani basi, Samia? CCM? Polisi?
Kuna watu hata walianza kusema mnaona, Dr. Nchimbi kaanza tena kwenda kinyume na Samia na CCM!
Na ieleweke wazi mpambano...
Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya hayo ni saliti mkubwa kwa Watanzania.
Sina zaidi la kueleza maana mada za Nchimbi jukwaani ni nyingi.
Je, kibano cha mabeberu kinafanya kazi yake na watu wanfikiri sawasawa sasa?
At any rate , hata Mwalimu mwaka 1977 aliwahi kusema TUJUSAHIHISHE, kama msimamo wa TANU/CCM.
Kumbukeni CW wametoa deadline hadi tarehe 10/8 suala la Lissu liwe limetatuliwa na masuala mengine ya kisiasa yawe yamepatiwa ufumbuzi. Watoke vipi.
Mbinu rahisi waliyoona inafaa ni kuwapumbaza Watanzania kujifanya hawaelewani wao kwa wao, wengine wanawaita Wanaharakati magaidi mwingine...
Hotuba aliyotoa Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi jana kwa vikundi vya wanaharakati na viongozi wengine ni nyundo.
Nyundo hii ni eye opener.
Nchimbinkatema che che ambazo hata wana CCM wanagwaya.
Lakini all in all kasema ukweli mtupu bila ule unafiki wa akina Wasira ambso tumeuzoea.
Kwa upande...
Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi?
Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu iloyochaguliwa kwa Asilimia kubwa 98%
Vyombo vya ulinzi vipo tu vinamuangalia huyu Mtu
IGP, Mkuu wa...
Kauli tata za Nchimbi tangu awe makamu wa Rais zinaweza kuwa zinasukumwa na yafuatayo
1. Inawezekana amegundua hayuko kwenye mbio za urais 2030, kwamba tayari wenye chama wameshaamua ni kati ya Mwigulu, Ridhiwani na wengine ila sio yeye hivyo ameamua kujilipua kwa maslahi yake binafsi akiwa...
Baadhi yetu humu, tena kwa zaidi ya miaka 20 sasa, tumekuwa tukiyasema yale ambayo Emmanuel Nchimbi kayasema jana kuhusu katiba.
Hivyo hakuna lolote jipya alilolisema.
Tunaweza hata kusema kuwa kaiga hoja zetu bila kutaja alikozitoa.
Kwa mfano, kuna mabandiko yangu mengi tu humu ambapo...
Katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa kauli nzito kuhusu Katiba Mpya. Alisema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa...
Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi.
Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
Na katika hali ya sasa katiba imeshindikana kabisa kupatikana kwa njia ya kidiplomasia
Kwa muda mrefu zimekuwa ni sinema zetu za kujirudia
Vijana wengi sana tumewapoteza waliouwa wakitaka katiba mpya na kilele kilikuwa ni October 29
Je muda huo Nchimbi alikuwa wapi akikemea ? ndie anataka...
Yupo upande wa victims of a system, naye anategemea sauti za wananchi wanaoweka maisha yao hatarani kwa kuwasemea watanzania.
Kwa mamlaka ya makamu wa raisi tu angebadilisha mambo mengi sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.