Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.
KATIKA harakati za kutetea mabadiliko KATIKA mifumo ya utoaji haki demokrasia ya kweli na katiba mpya yanahitajika mapambano ya ndani na nje ya mfumo.
Kwa vile alikuwa ameshaonyesha kiu ya mabadiliko
Nguvu yake kubwa ilikuwa ni nafasi aliyokuwa nayo .
Kwa sasa Hana nguvu yoyote na akijaribu...
Pascal Mayala aliwahi kueleza kwamba Nchimbi ni mtu mkweli na mwenye uwezo wa kulisaidia sana Taifa pamoja na Rais. Kauli hiyo inapata uzito mkubwa zaidi sasa baada ya Nchimbi kutangaza kuondoka katika nafasi yake.
Sasa swali kubwa linalobaki kwa Watanzania ni moja: nani atakuwa mbadala wake...
Ndugu Dr Comrade Bashite anasubiri vikao halali vya Chama kumpitisha ili akalie kiti kujiandaa na 2030. Kanyaga twende Gen Z. Haina kwere Chuga tumekuelewa!
Humu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi
wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi
je Kuna mwenye kujua chanzo?
Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
awamu
awamu ya sita
ccm
hatari
hatari kwa usalama
kisiasa
kiuongozi
kuanzia
majaliwa
mgogoro
migogoro
mkubwa
nafasi
nchimbi
nchini
ndugai
taifa
usalama
usalama wa taifa
Tukio hili litakuwa tukio la aina yake na ni fursa ya kipekee kudai uhuru wa Tanganyika kama nchi Huru.
Tuitumie hii fursa kufanya kampeni ya ghafla kuhamasisha Utaifa wa Tanganyika, kufufua Bendera ya Tanganyika na hata kuandaa Waraka wa uhuru na Rasimu ya katiba ya Tanganyika
Mzee Nchimbi, sio lazima utafute Mawazo kwa Wazeee katika suala dogo kama hili..
Kimàhesabh, Ukijiuzulu wewe mwenyewe kama Alivyofanya Lowassa, Utaonekana wewe ndio Snitch, Mkorofi, uliyekua unamfitinisha Samia , na Genge la Samia wanaweza kutengeneza Picha ya Wananchi kuamin kua "Wewe ni mmoja...
MWANACHAMA mkongwe wa TANU na CCM na Mbunge mstaafu wa Maswa, Mzee John Magale Shibuda maarufu ‘Drogba’, amemtaka Makamu wa Rais na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, kujitafakari kati ya mambo mawili kujiuzulu kwa heshima kama alivyofanya John Samwel Malecela na kubaki ndani ya...
Shibuda amshauri Nchimbi ajitafakari kuhusu mustakabali wake, alinde jina lake, Imani yake ya kwa CCM na historia ya kizazi chake. Na AJIUZULU haraka iwezekanavyo.
Leo nimemsikia Ally hapi akisema hatarajii katiba mpya iwe tayari kabla ya 2030.
Ikiwa hawa ndio viongozi wa jumuiya za ccm na ndo wafanya maamuzi ndani ya chama kumbe nchimbi alimaanisha hawa
Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.
Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo...
Kuibuka kwa kundi la wanaharakati na wadai mabadiliko wanaompigia debe Makamu wa Rais Nchimbi kwa kauli moja au mbili alizozisema walizozipenda kunaonyesha jinsi gani Tanzania ina safari ndefu ya kuleta mabadiliko.
Mambo kama haya yanafifisha sana harakati za mabadiliko nchini, yanaonyesha watu...
Sheria namba 1, 14, 18, 35, 38, na sheria namba 46
Never Outshine the Master
Pose as a Friend, Work as a Spy
Do Not Build Fortresses to Protect Yourself—Isolation Is Dangerous
Master the Art of Timing
Think as You Like, But Behave Like Others
Never Appear Too Perfect
Nilisema nimejiweka tayari kuzibua masikio yangu yote kumsikiliza Dr Nchimbi kama analo jipya la kuwaambia waTanzania juu ya ubovu wa chama chake.
Hii ni bila kuathiri uamzi wangu niliokwisha hitimisha kwamba "Kupona kwa Tanzania, hakuna budi CCM yenyewe ife", kwanza.
Nimemsikia Dr Nchimbi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.