K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,740 Reaction score 15,425 Apr 23, 2026 #1 Namuona Nchimbi anaenda kuchekea bafuni! Akiwa kama mnufaika mkubwa wa Ripoti ya Chande hasa pale Jaji kuonekana chawa kwa kuto kusema ni nani alitoa amri ya mauaji.
Namuona Nchimbi anaenda kuchekea bafuni! Akiwa kama mnufaika mkubwa wa Ripoti ya Chande hasa pale Jaji kuonekana chawa kwa kuto kusema ni nani alitoa amri ya mauaji.
K KARLO MWILAPWA JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 3,248 Reaction score 5,502 Apr 23, 2026 #2 Mmeanza majungu ya kufitinisha watu