nchi

  1. Ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP -155), na kwa nini inaonekana kuwa na mafanikio? Je, ni kwa nini tusiwaige?

    Napenda kufahamu ethiopia wanategemea kitu gani kwenye kukuza uchumi wao pia ni sector gani kwao inayoongoza kuwaingizia pesa nyingi. Swali kwa wachumi ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP) hadi wanaenda speed sana yaani miaka kama 3 au minne nyuma tulikuwa...
  2. R

    Nchi ikiongozwa na mtu kama Rais Samia lazima watu wake wawe na furaha na biashara zitashamiri kama ilivyo sasa

    Watanzania tuachane na mentality za kijamaa zakuwapa majimbo watu wasio na nyumba wala utajiri wowote. Tuwakatae watu wasio na business mind kuongoza nafasi za kisiasa nchini kwetu. Kuendelea kuwa na viongozi wa kisiasa wanawaza kila saa kwamba wanaibiwa nikukosa exposure. Tuwe na viongozi...
  3. Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana. Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga! Hizi nchi za watu wenye low minded people...
  4. C

    Feitoto aituliza nchi

    Feisal ni kijana mashuhuri kutoka Zanzibar , ni kijana mwenye uwezo mkubwa na mara zote huwa na juhudi na kuyafikia malengo aliyojiwekea. Leo katika mchezo wa Azam vs Yanga kijana huyu alimaarufu kwa jina la "Feitoto" aibuka shujaa dimbani, baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi na...
  5. Nani kawahi kuona NGO ya wachina hapa Tanzania? Kama hazipo sababu haswa ni nini kuja kufanya kazi nchi kama Tanzania?

    Naomba nisaidieni kama kuna mtu kawai ona NGO ya kichina nna taka kufanya research kuhusu mchango wa NGO za China kwenye social services za Tanzania. Nipige comparative study China vs Western. Binafsi sijawai ona NGO ya kichina Tanzania na sijui sababu ni nini ata kupata volunteer wa kichina ni...
  6. R

    Je, serikali itaruhusu mafuta ya Alizeti kutoka Marekani yaingizwe nchini na kupelekwa Dodoma wakati Singida wauzaji wanakosa soko?

    Waziri Bashe ameongea kuhusu msaada wa mchele na mafuta kama vile yeye siyo waziri mwenye dhamana. Anaonyesha kushtushwa na mchele huo na mafuta kuingizwa nchni. Je, kama sovereign state tutaruhusu kuletewa mafuta ya alizeti ambayo hata Dodoma na Singida yapo? Hii misaada nani huwa anakwenda...
  7. Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

    2024 military strength ranking: 1. 🇺🇸United States 2. 🇷🇺Russia 3. 🇨🇳China 4. 🇮🇳India 5. 🇰🇷South Korea 6. 🇬🇧United Kingdom 7. 🇯🇵Japan 8. 🇹🇷Turkey 9. 🇵🇰Pakistan 10. 🇮🇹Italy 11. 🇫🇷France 12. 🇧🇷Brazil 13. 🇮🇩Indonesia 14. 🇮🇷Iran 15. 🇪🇬Egypt 16. 🇦🇺Australia 17. 🇮🇱Israel 18. 🇺🇦Ukraine 19. 🇩🇪Germany...
  8. Uchumi unakufa sababu ya kupotea kwa dola, wafanyabiashara wa nchi za kigeni/wawekezaji huenda ndio chanzo

    Sijui vizuri mambo yanayohusu uchumi ila utaalamu wangu upo kwenye kumanage rasilimali watu pekee na kusuluhisha mambo ila binafsi nimeona malalamiko mengi ya kupotea kwa dola, panda shuka ya bidhaa (inflation) ambapo kwa kiasi kikubwa machungu hubebeshwa mwananchi wa kawaida na kwa bahati mbaya...
  9. Nchi inaweza kusahau uwepo wa kina Membe na wenginewe wengi ila si kwa watu kama Magufuli n.k

    Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi Watanzania wasipomuenzi Magufuli, Waganda watamuenzi pindi wanapokuwa wakiliona bomba la mafuta kuyoka Hoima kuja...
  10. Biashara inayostawi kati ya China na nchi za nje inatoa ishara gani?

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, kuanzia mwezi Januari hadi Februari mwaka huu, thamani ya jumla ya biashara ya bidhaa kati ya China na nchi za nje ilikuwa dola bilioni 930.86 za Kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 5.5 ikilinganishwa na...
  11. L

    Uhusiano kati ya China na Afrika waonesha dosari zilizopo kwenye uhusiano kati ya Afrika na nchi za magharibi

    Uhusiano wa karibu kati ya China na nchi za Afrika, ambao umekuwa wa kina zaidi baada ya China kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi, umekuwa unafuatiliwa kwa karibu na nchi za magharibi, na katika baadhi ya nyakati umekuwa ukipakwa matope kwa kila njia bila mafanikio, kujaribu kuleta migongano...
  12. Ni muda sasa tunatakiwa kuwa na sheria inayomtaka Rais kuendeleza alichokiacha mtangulizi wake na sio kuendesha nchi kwa maono yake

    Katika mamia ya sheria nilizowahi kuzisoma hapa nchini Tanzania sijwahi kukutana na sheria inayomtaka Rais kuendeleza kile alichokianzisha mtangulizi wake, na badala yake nchi huwa ikiendeshwa kwa maono ya Rais aliyeoko madarakani.Tuna ushaidi kwa namna gani nchi imekuwa ikipoteza mamia ya pesa...
  13. Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

    Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo...
  14. Mgogoro wa Gaza: Haijawahi kuwapo nchi inayoitwa Palestina

    Wale wanaotaka Palestina irejeshwe, nawajuza kuwa Palestina haijawahi kuwapo kwenye sura ya dunia. 1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British Mandate), hii haikuwa Taifa la Palestina 2. Kabla ya Ukoloni wa Mwingereza mwaka 1917 kulikuwa...
  15. Pambano: Nchi gani iko juu kwa wanawake wenye mpindo mzuri ama miili mizuri yenye makalio ya viwango kati ya Wanyarwanda na Waganda?

    Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo Wanyarwanda hadi sasa wanaongoza kwa mbali sana, japo hawajazagaa sana huko Dubai na Arabuni ila hawa viumbe...
  16. Ndani ya CCM hakukaliki, kuna mipasuko, hakuna amani ndani ya chama. Tunayoyaona sasa yanaeleza kila kitu kinachoendelea nyuma ya pazia

    Muasisi wa nchi yetu mwalimu Nyerere aliwahi kugusia jambo kwenye moja ya hotuba zake wakati akielezea ni jambo gani kubwa inaweza kupelekea nchi kupata maendeleo, alisisitiza sana swala la demokrasia; lakini kwa bahati mbaya hata ndani tu ya chama cha CCM sasa miaka hii hakuna hiyo demokrasia...
  17. KERO Nchi hii Dharau zimezidi! Watumishi wa serikali Vyeo sio Misifa, ni Dhamana

    Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue tumeteseka Mashambani na makazini na viwandani, mikono yetu ikapasuka pasuka kwa kazi ngumu tukajituma...
  18. Tanzania ni nchi ya tatu duniani kama nchi ambayo watu wake wana furaha

    Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza hapo juu kwamba Nchi zenye Furaha duniani, basi sisi Tanzania ni inchi ya Tatu duniani yaani DUNIANI. Source ikiwa ni hii taasisi ina itwa Mental state of the world report ambayo wame kusanya data toka kwa watu laki 4 toka inchi 71 duniani. Nilipo ona...
  19. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

    Kitendo cha kuagiza mchele nje ya nchi siyo kitendo cha kukiacha kipite hivi hivi tu kama ni jambo la kawaida na halina maana yoyote. Jambo hili ni ishara mbaya sana na siyo dalili nzuri sana huko tuendako kama taifa. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya...
  20. F

    Watanzania mngekuwa na mtizamo kama wangu CCM ingekuwa imeondoka tangu 1995 na nchi hii tungekuwa mbali kimaendeleo

    Tangu mwaka 1995 sijawahi kuipigia CCM kura kwa namna yoyote ile, iwe katika nafasi ya urais, ubunge au udiwani. Sijawahi kuhudhuria mkutano wowote ule wa CCM tangu 1995. Sisikilizi hotuba za viongozi wa CCM na hata nikisikiliza kwa bahati mbaya sioni jipya isipokuwa blaa blaa za kale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…