Mgogoro wa Gaza: Haijawahi kuwapo nchi inayoitwa Palestina

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,424
18,055
Wale wanaotaka Palestina irejeshwe, nawajuza kuwa Palestina haijawahi kuwapo kwenye sura ya dunia.

1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British Mandate), hii haikuwa Taifa la Palestina

2. Kabla ya Ukoloni wa Mwingereza mwaka 1917 kulikuwa utawala wa Dola ya Ottoman, hii pia haikuwa Palestina
.
3. Mamluks wa kutoka Misri walitawala eneo hilo kabla ya Dola ya Ottoman kati ya mwaka 1249-1517, hii haikuwa Palestina

4. Kabla ya ujio wa Mamluk wa Misri eneo hilo lilikuwa chini ya utawala wa dola ya Kikurdi ya Ayubid-Arab kuanzia 1169-1260, hii pia haikuwa Palestina

5. Kablabya Dola ya Ayubid kukikuwa utawala wa Frankish, hii pia haikuwa Palestina
.
6. Kati ya mwaka 750- 1177 eneo hilo lilikuwa chini ya utawala Umayyad na Fatmid, hawa nao hawakuwa wa Palestina

7. Dola ya Byzantine ilitawala eneo hili kuanzia mwaka 313- 636, hawa hawakuwa wa Palestina

8. Kabla ya dola ya Byzantine eneo hili lilitawaliwa na wa Sassanids kuanzia mwaka 602-628, hii haikuwa Palestina

9. Kabla ya Dola ya Sassanids kulikuwa na Dola ya Byzantine tena, hii haikuwa Palestina

10. Kabla ya Dola ya Byzantine kulikuwa na Dola ya Kirumi kuanzia mwaka 63 BC - 336 AD, hii haikuwa Palestina

11. Kabla ya Dola ya Kirumi kulikuwa na utawala wa Hasmonean kuanzia mwaka 140 BC- 37BC, hawa walikuwa Wagiriki siyo Palestina

12. Kabla ya Hasmonean kulikuwa na Dola ya Seleucid kuanzia mwaka 198 BC- 135 BC, hawa walikuwa Wagiriki siyo Palestina

13. Kabla ya Seleucid eneo hili lilitawaliwa na Dola Alexander The Great kuanzia mwaka 330 BC- 315 BC

14. Kabla ya Alexander The Great eneo hilo lilikuwa chini ya Dola ya Persia kuanzia 545 BCE- 538. BCE

15. Kabla ya Dola ya Persia eneo hilo lilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Babylon kuanzia 597 BC- 539 BC, hawa walitoka Iraq ya sasa na hawakuwa wa Palestina

16. Kabla Dola ya Babylon haijaivamia Jerusalem ilikuwa chini ya himaya 2 za Israel na Yuda kuanzia mwaka 722 BC, hizi hazikuwa Palestina

17. Kabla ya Utawala wa Israel na Yuda kulikuwa na utawala wa Israel 930 BC, hii haikuwa Palestina

18. Kabla ya Israel kulikuwa utawala wa makabila 12 ya wana wa Yakobo ambao ndiyo Israel, ndiyo kipindi cha Mfalme Saul, hii haikuwa Palestina.

19. Kabla ya makabila 12 kulikuwa utawala wa dola ndogo ndigo za Caanan, nayo haikuwa Palestina
 
Kuna kiongozi wao humu anasema "Hao Wapalestina akina Mahamudi Abbas ndiyo Wayahudi Halisi kizazi cha Yakobo. Waislam walivyo hamia ilo Eneo wakaslimu".
 
Kwa mjibu wa Biblia kabla ya Yesu Kristo,maeneo ya Gaza,Ashidodi,Ekron,Gathi na Ashikeloni waliishi Wafilisti ambao inaaminika huenda ni hao Wapalestina! 1Samweli sura ya 5 na 6
 
Ukirejea Katika Qur'an surat Maa'ida kuanzia aya ya 21,22,23 & 24. Yaani (5:21-24) zinaongelea kisa cha wana Israel kutakiwa kuingia katika mji fulani kisha wao wakaleta ubishani kumtaka Nabii Mussa kuwa hawaingii mpaka wakaazi wa Mji watoke
hapa inasimuliza Zama za Nabii Mussa alayh salaam

Mji huo ni ilipo Aqsa.

NB: Tanganyika iliitwa jina gani miaka 1400 iliyopita? Zama za dola ya Kilwa?
 
Wewe vipi inarejea kìtabu kilichoandikwa miaka 1400 iliyopita wakati Taifa la Israel liko miaka 3500 nyuma?
 
Kwa mjibu wa Biblia kabla ya Yesu Kristo,maeneo ya Gaza,Ashidodi,Ekron,Gathi na Ashikeloni waliishi Wafilisti ambao inaaminika huenda ni hao Wapalestina! 1Samweli sura ya 5 na 6
Usichanganye Philistines na Palestine

Israel alipigana na Philistines ambao asili yao ni Ugiriki wazungu.. Hawa Arabs from waliingia Judea na Samalia kasome historia ya Muislam aitwaye Omary kibaraka wa Mohamed ndio aliwaacha hapo Israel Ottoman akajashika Dora then Uingereza kisha Israel
 
Back
Top Bottom