nchi

  1. JamiiForums Tanzania Kwa matamshi aliyotoa akiwa Kilosa na Kilwa, Rais Magufuli anaweza kutoa kauli zitakazoiletea nchi matatizo makubwa wakati wa kampeni

    Kwa sasa sina shaka kabisa kuwa Rais Magufuli kila akizungumza mara nyingi ni lazima aache upepo mbaya wa kauli za maudhi kwenye jamii. Hilo sasa halina tena mjadala. Sasa kwa muda huu Rais Magufuli anazungumza hayo akiwa peke yake na hakuna majibizano ya dhahiri kutoka upande wa pili...
  2. JamiiForums Tanzania Watalii wa kimarekani kuanza kumiminika Tanzania? Maamuzi ya Wizara ya Utalii tuliyoyabeza kuanza kuzaa matunda?

    Wamarekani wamepigwa ban dunia nzima isipokuwa kwa nchi chache tu kama inavyoonekana kwenye ramani. Nchi ya Marekani ndio nchi inayoongoza kuwa na watu wengi wanaopenda kutalii na wenye mkwanja mrefu yaani sio watalii njaa kama mnakumbuka maneno ya Mh. Rais kipindi kile anaweka vat kwenye...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Taarifa nilizopata juu ya chaguzi za CCM; ni hatari kwa nchi hii

    Nawaomba mnisome hapa: Mchakato wa kutafuta wagombea ndani ya CCM umeibua mambo mengi ambayo ni vizuri kuyajadili. Muhimu ni kuelewa kwamba kwa mpangilio wa vyombo vya uasalama na ukubwa wa CCM, bado kitakuwa ndicho chama kitakachoongoza nchi hii kwa miongo ijayo. Tatizo langu ni ukomavu na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Dira ya maendeleo ya 2025 haina sehemu inayoonyesha pato la Nchi kuingia Uchumi wa Kati. WB ndio yenye vigezo vyake

    Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ametolea ufafanuzi dhana ya uchumi wa kati kwa kusema katika Dira ya maendeleo ya 2025 hakuna sehemu inayoelezea pato la nchi kuingia uchumi wa kati. Dkt. Abbas amesema Benki ya Dunia ndio huweka vigezo vya nchi kuingia katika ngazi hizo. Hivyo amewataka...
  5. JamiiForums Tanzania Katika kila mfumo wa utawala wa nchi kuna kauli hazivumiliki

    Ukienda Marekani ukaanza kusifu ujamaa wa Karl Marx na sera za kupinga ubepari watakuvumilia kwa muda tu wakiona unaanza kupata ushawishi watahakikisha unapotea. Ubepari na ubeberu ndio sera iliyoletea nchi yao maendeleo na kua tajiri kuliko nchi zote duniani. Vivyo hivyo kwa Uingereza...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kutafakari wewe binafsi umefanya nini na utafanya nini kusaidia Nchi yetu

    Mawazo zaidi ya kibinafsi hasa kwa vijana kutoka moyoni. Mimi kama Mtanzania ambaye ni diaspora najaribu sana kujitafakari na kuhakikisha najua nilikotoka na sisahau nilikotoka. Lakini swali kubwa kubwa sana ambalo kila Mtanzania anatakiwa kujiuliza ni je leo ukienda mbele ya haki kwa Mungu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa alitengeneza uongozi wa Nchi kwa ngazi mbalimbali

    Kwa maoni yangu wakati Hayati Mzee Mkapa akiingia madarakani mwaka 1995 alianza na Mikakati ya kuweka mifumo mbalimbali ambayo hadi sasa imekuwa endelevu. Kipindi hicho ndicho kiliibua Maboresho katika Utumishi wa Umma. Hii iliendana na dhana ya ajira kwa kuzingatia sifa pamoja na kuibua...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Wakenya hawapaswi kujilinganisha na mataifa yanayoficha taarifa za COVID-19

    Rais Uhuru Kenyatta amesema Wakenya hawatakiwi kujilinganisha na mataifa yasiyo uhuru wa habari na ambayo yamekuwa hayatangazi taarifa za CoronaVirus Amesema wananchi wanatakiwa kufurahia kuwa Serikali haifichi kitu chochote na imekuwa ikiwaambia wananchi ukweli kuhusu hali ya mlipuko huo...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

    Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA? Yaani hata majirani Museveni Kenyatta Kagame, nao wamegoma? Nakumbuka alipokufa Moi, Mkapa na JK walienda, so...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tunafanya makosa makubwa kujiaminisha kuwa Corona siyo tishio tena kwetu kama Nchi

    Nimemsikiliza mheshimiwa Rais Magufuli siku hizi za karibuni, linapokuja suala la COVID-19 akizungumza anatuma meseji kwa umma kuwa hili suala tumeshalidhibiti na siyo tatizo tena kwetu. Jitihada za waziri wa afya na waziri mkuu kuhusu kuuelimisha umma kuhusu hali halisi ya ugonjwa wa corona...
  11. JamiiForums Tanzania Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

    kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Muda wa kuiponya nchi yetu ni sasa

    Mabibi na mabwana, Mtanzania mwenzetu aliyeondoka akiwa "mfu", hatimaye amerejea leo salama salimini nyumbani Tanzania. Jambo la heshima kubwa sana kwetu sisi sote ambao ni wana halisi wa nchi hii na wazalendo. Tumeshinda! Tumeshinda sote tuliofanikisha kurejea kwa mwana huyu wa nchi hii...
  13. JamiiForums Tanzania Kutokutiwa nguvuni Tundu Lissu kesho 27/7/2020 ni kutangaza uasi juu ya Sheria za Nchi yetu

    Yafuatayo yafanyike baada ya kutua uwanja wa ndege JKNIA Kumnyang'anya passport ya kusafiria mara moja na jina lake liwe blacklisted kwenye mfumo wa waombaji Passport uhamiaji yaani yeye asije tena kupewa passport ya kusafiria maisha yake yote Uchunguzi wa shambulio lake uanze Mara moja siku...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nchi iko katika maombolezo, huku soka, harusi, sherehe na burudani zinaendelea, sasa kwanini kumpokea Lissu ndio iwe tatizo?

    Na sio hayo tu, hata upigaji wa kura za maoni kweny vyama vya siasa unaendelea. Sasa kwanini watu kwenda kumpokea mgeni/kiongozi wao ndio iwe tatizo? Ni wapi CHADEMA wamesema wataandamana? Kukutana airport huku kila mtu akitokea nyumbani Kwake, ndio kuandamana au ndio kufanya mkusanyiko usio...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi nyingi hupenda kutangaza siku za maombolezo na siyo siku za mapumziko ili kutoa heshima?

    Habari, Kwa kweli Mimi huwa sioni umhimu wa viongozi wakubwa kuibuka na kutangaza siku kadhaa za maombolezo badala ya kutangaza siku za kupumzika na kuomboleza. Yaani unatangaza watu waomboleze harafu watu hao hao unawataka kesho waamkie ofisini. Watu tuko katika msiba mzito halafu unatangaza...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati nchi ya jirani imerekodi visa 15,601 vya korona, Tanzania inapaswa kuchukua tahadhari kwenye mipaka yake

    Kufikia jana tayari Kenya imerekodi visa 15601 vya wagonjwa wa korona huku visa 700 vikirekodiwa kwa Jana pekee. Hali inazidi kuwa mbaya zaidi kwa nchi hii jirani. Mwingiliano baina ya raia wa nchi hizi mbili ni mkubwa mno na kama Tanzania ikiendelea kurelax na kuona kwamba hili siyo gonjwa la...
  17. JamiiForums Tanzania Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

    Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962 Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
  18. JamiiForums Tanzania Kifo cha Mkapa: Rais Kenyatta aotoa salamu za pole. Raila Odinga amlilia, asema Kenya itamkumbuka kwa juhudi zake za kuiletea nchi hiyo amani

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametuma ujumbe wa salamu za pole kwa Rais wa Tanzania, John Magufuli; Watanzania wote pamoja na familia kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa Katika ujumbe wake, Rais Kenyatta amemuomboleza kiongozi huyo kama mtu bora wa Afrika Mashariki aliyefanya kazi kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

    Kwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu. Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Mitume tumekuwa wengi Mungu amenituma sasa nikatumikie nchi na baadaye Dunia, sitarudi nyuma

    Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia. Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…