nchi

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi 6 za mwanzo kutoka Afrika Raia wake kuruhusiwa kuingia China kuanzia Septemba

    Kiambatanisho hapo chini kinajieleza. Sijui ndugu zetu Kenya, Uganda na Rwanda watasemaje sasa. Maana wamekuwa wanatunanga sana sisi na Burundi, Burundi nao wamo. Picha iliyotolewa hapa ni kwamba kuiga western countries kwa kila kitu sio dili tena kwa sasa. Wale waliosema Tanzania itatengwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernad Membe awaonya watawala wasichafue amani ya nchi kwa kuvuruga chaguzi

    Ndugu Membe ameongea maneno mazito na yenye hekima. Tabia ya taasisi zinazosimamia chaguzi kufanya kazi kwa maelekezo ya watawala ili zisitende haki ni jambo baya kabisa. Hawa watu wanahatarisha amani ya hii nchi. Kwa kweli kama kutatokea kuvurugika kwa amani kutokana na hii michezo ya...
  3. JamiiForums Tanzania TBC wanatufanyia uhuni wa waziwazi walipakodi wa Nchi hii

    TBC Mungu anawaona na kwakweli hamtutendei haki kabisa. Mmeonyesha live wagombea wote 35 wa vyama vingine, imefika zamu ya CHADEMA mmejitoa na kuleta kipindi cha ZINAZOKIKI. You guys what you are doing is very unfair. Hii ndio sababu wananchi wameamua kuwaweka kando.
  4. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4

    Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) leo imewataka wamiliki wote wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4 zijazo Taarifa ya Mamlaka hiyo imewataka wamiliki kuzisajili Makao Makuu Dar au katika ofisi zao zilizopo Arusha, Dodoma, iringa, Mwanza, Mtwara, Mbeya, Kilimanjaro, Kigoma, Songea...
  5. JamiiForums Tanzania Takriban watu 10 wameuawa na wengine makumi kujeruhiwa baada ya kutokea kwa shambulio Kusini mwa Nchi ya Ufilipino

    Takriban watu 10 wameuawa na wengine makumi kujeruhiwa baada ya kutokea kwa shambulio kusini mwa nchi ya Ufilipino. Shambulio hili limetekelezwa katika eneo la Jolo ambalo wakazi wake wengi ni waumini wa dini ya Kiislamu ambako vikosi vya Serikali vinapambana dhidi ya Kikundi cha Waasi cha Abu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa wa Tanzania kuanzia Ubunge wanaingia nyumba za ibada na walinzi? Nchi haina amani au kwao Mungu si kinga?

    Wagombea Ubunge wengi safari hii walijiwekea walinzi bunafsi. Baadhi ya Walinzi Hawa uwakuti kila sehemu ila uonekana pale mgombea anapokwenda maeneo walipo wanahabari. Mzee baba akiwa kwenye nyumba ya ibada asilimia kubwa ya waumini uwa ni Walinzi, Jana nimemwona Gwajima na Abbass wakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hai: Waliorusha mawe kwenye mkutano wa Lissu mkoani Kilimanjaro wakamatwa

    Together TunawakilishaHome Waliorusha Mawe kwenye mkutano wa Lissu wakamatwa Jeshi la Polisi mkoani kilimanjaro limewakata watuhumiwa 12 wanaodaiwa kufanya vurugu za kushambulia kwa mawe, mkutano wa mgombea wa Kiti cha Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu Wilayani Hai Mkoani humo wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Kanuni za chama kutaka kulazimisha kuwa Sheria na Kanuni za Nchi ni jambo hatari

    Wakuu amani iwe nanyi! Kwa Siku za hivi karibuni kumeibuka tetesi mbalimbali zinazosema kuwa mgombea mwanachama na makamu mwenyekiti wa chadema bara ndugu Tundu Lisu amevunja moja ya kanuni muhimu ya sheria za tume ya uchaguzi. Kanuni hiyo ni kwambaTundu Lisu ameanza kampeni kabla ya wakati na...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Si amejenga Madaraja nchi nzima? Vipi tena anamhofia Lissu?

    Mgombea wa CCM kwa kiti cha Urais hajapata kuwepo duniani..ni kama Masihi Lakini tatizo kubwa la huyu mgombea ni mwoga mno...yeye hata lugha tu ya Kiingereza anaogopa.. Lkn pamoja na Woga wake Huyu mgombea kwa Miaka mitano Amejenga Madaraja na flyovers nchi nzima Amenunua Ndege, akajenga...
  10. JamiiForums Tanzania Nigeria kufungulia Anga lake kwa nchi tu ambazo zinaruhusu raia wa Nigeria kuingia katika nchi zao

    Mkuu wa kitengo cha usafirishaji wa anga ( Nigeria Civil Aviation Authority) wa nchini humo ametoa tamko rasmi kuwa nchi yake itafungua anga yake kwa safari za kimataifa. Bw Sani Aliyu amesisitiza miongoni mwa masharti ya ufunguzi ya anga lao ni kuruhusu ndege kutoka mataifa yanayoruhusu raia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mabeberu wameitikisa nchi, ajenda yao kuu ni kumuweka Tundu Lissu madarakani

    Ndugu Watanzania, Kipekee napenda kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama. Sasa naanza kuona kwa vitendo kitu ambacho nilitumia my mental image na kuona kuwa nchi fulani zitaingilia uchaguzi wetu huu na viashiria vimeanza kuonekana sasa. Kitendo cha nchi yetu kukaa kwa takribani mwezi mmoja na...
  12. JamiiForums Tanzania Utapeli wa Lissu: Majimbo ya uchaguzi yako 264 yeye katembelea 20 anasema katembea nchi nzima na anapendwa nchi nzima!!

    Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk Hata...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inahitaji juhudi ili kurusu uchaguzi kuendelea

    Tangia tumeanza process ya kuingia kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, kumekuwepo maneno mengi yanayoashiria uvunjifu wa Amani, vitisho kutoka nje ya nchi hasa pale mgombea fulani anapomshutumu mwenzake kuwa serikali yako ndiyo ilinipiga risasi, serikali yako imeteka na kuua Watu nk. Tumeona barua...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi huru hatupaswi kuingiliwa mambo yetu

    Kauli hi imechukua kasi Sana. Tanzania ni nchi huru haipaswi kuingiliwa katika mambo yake hasa demokrasia. Kauli hi imekua I kitumiwa sana na baadhi ya wanna CCM na Lumumba B7. Nashangaa kuwa CCM hii ni tofauti na CCM ya akina Nyerere? Maana akina Nyerere walikua mstari wa mbele kuwatetea watu...
  15. C

    JamiiForums Tanzania CCM ya Magufuli ni ya kijima kweli kweli: Hivi unamkataje Stephen Masele, Makamu wa Kwanza wa Rais Bunge la Pan-African, chombo muhimu cha AU?

    Tangu aingie madarakani Rais Magufuli amevuruga diplomasia ya nchi yetu kwa kiwango cha hali ya juu kuliko wote waliomtangulia. Kipindi cha Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Tanzania ilikuwa maarufu sana katika diplomasia ya kimataifa huku yeye mwenyewe akiheshimika duniani lakini pia tulikuwa na...
  16. JamiiForums Tanzania WHO wazitaka nchi za Afrika kufungua shule

    Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) yamezihimiza nchi za Afrika kufungua shule na kuhakikisha watoto wanakuwa salama dhidi ya virusi vya corona. Mashirika hayo yamesema kuendelea kufunga shule kwa muda mrefu kunahatarisha ustawi...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, CCM ndiye Adui wa Haki na Maendeleo katika Nchi yetu? Nini tulichojifunza kupitia mchakato wa Ugombea 2020?

    Mchakato wa Ugombea CCM ulianzia ngazi za kata na Majimbo na kuishia NEC tofauti na ilivyozoeleka. Kwa mujibu wao sababu kubwa za kupeleka NEC majina yote ya Wagombea ni pamoja na. >Rushwa (asiwe mshindi kwa kutoa Rushwa) >Kukubalika (anayekubalika na wapiga kura) >Na zinginezo Naomba nijikite...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu mtu anaweza kuchukua hii nchi au anaweza kusababisha mambo yatakayosababisha mageuzi kutokea katika hii nchi

    Huyu ndugu anaweza kuchukua nchi moja kwa moja kupitia sanduku la kura tukiwa na uchaguzi ulio huru na wa haki, lakini pia anaweza kusababisha mambo yatayosababisha mageuzi yatokee katika nchi yetu. Wanasiasa wa aina hii husababisha katiba na sheria za nchi katika mataifa mbalimbali duniani...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini utegemezi wa Ulaya wa Wapinzani ni hatari kwa Nchi yetu na uhuru wetu?

    Ukitaka kutawala watu wafanye wategemezi kwako. Kutegemea mtu ni kuuza uhuru wako, inakupasa kufanya yote anayokutaka ufanye ili ulipe deni lako au kupata msaada wao. Inasikitisha sana mpaka leo kuna waafrika wanao wategemea na kuwatukuza wazungu wenye nia moja tu, ya kututawala na kutunyonya...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Kenya imetoa nchi 130 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila masharti ya raia hao kukaa karantini. Katika orodha ya nchi hizo Tanzania haimo. Hii ikiwa na maana kwamba raia wa Tanzania atakayeingia Kenya atalazimika kukaa karantini. Baadhi ya raia wa nchi wanaoruhusiwa kuingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…