nchi

  1. JamiiForums Tanzania Serikali iwe Makini na wananchi/wapinzani wanaokimbilia Nchi ya Kenya

    Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO. Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa? Nani...
  2. JamiiForums Tanzania Ifahamu siku ya uapisho wa Rais nchini Tanzania na maana ya ishara zinazoambatana na matukio wakati wa uapisho

    IFAHAMU SIKU YA UAPISHO WA RAIS. MATUKIO YANAYOFANYIKA. Katika hafla ya uapisho kunakuwa na matukio mbalimbali kama ifuatavyo; ✍🏽Kupigwa kwa mizinga 21. ✍🏽Ukaguzi wa gwaride. ✍🏽Salaamu kutoka katika vikosi vya kijeshi. ✍🏽Burudani. KULA KIAPO. Katika hafla ya uapisho tukio la Rais kula kiapo...
  3. JamiiForums Tanzania Kinachoponza Vyama vya Upinzani kutochukua Nchi ni "Mwelekeo" wao kisiasa

    Neno "Mwelekeo" ndio sababu kuu ya Vyama vya upinzani kutokubalika na kuaminiwa kupatiwa Nchi na watanzania. Uchaguzi wa mwaka 1995 upinzani chini ya NCCR Mageuzi ilibaki kidogo kuchukua nchi chini ya Augostino Lyatonga Mrema, kabla ya watanzania kushtuka dakika za mwishoni baada ya Baba wa...
  4. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinaona fujo kwenye Uchaguzi wa Marekani kama uchaguzi wa nchi zinazoendelea

    Inaonekana kama kunaweza kutokea vurugu katika Uchaguzi wa Marekani kwa kuwa baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vimekuwa vikiripoti ghasia kutokana na meneo ambayo matokeo yake bado kutangazwa Radio ya Iran imeripoti kuwa waandamanaji katika jimbo la Minneapolis, Seattle na Los Angeles...
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya utafutaji wa kazi nchi za Canada, Sweden na Norway kama Forklift Operator

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mi ni kijana wa Kitanzania nadhamira yangu kubwa ni kutaka kuthubutu kwenda nchi za ng'ambo kutafuta ridhiki. Nimebahatika kupata diploma in water supply and sanitation engineering pia baada ya msoto mrefu nikasomea Mambo ya kuendesha mitambo ijulikanayo kama...
  6. JamiiForums Tanzania IMF yazitaka nchi kudhibiti matumizi ya pesa kutokana na athari za Corona Kiuchumi bado zinaendelea

    The pandemic-induced economic crisis is set to leave deep scars. Human capital erosion from prolonged high unemployment and school closures, value destruction from bankruptcies, and constraints on future fiscal policy from elevated public debt top the list. Groups that were already poor and...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wa nchi hii laana ya Mungu haitawaacha milele. Mkatubu

    Amani ya bwana iwe kwenu wandugu! Nimesikitishwa sana na viongozi wa madhehebu mbali mbali nchini kukaa kimya bila kutamka chochote juu ya hali ya uchaguzi ilivyo mpaka sasa. Viongozi hawa hawakuona kura bandia zilizokamatwa, viongozi hawa hawakuona mawakala wa vyama mbali mbali walivyozuiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tusipotoshe umma, Tanzania ni Nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi, sio lazima Wapinzani kuchaguliwa kuwa Wabunge

    Ibara ya 3(1) ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni nchi isiyo na Dini,bali ni Nchi ya kidemokrasia ambayo inafuata misingi ya vyama vingi. Tarehe 28 mwezi jana Watanzania walipiga kura,na walifanya maamuzi ya nani awe Mbunge, Diwani au Rais. Na matokeo yametoka na CCM imeibuka...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

    Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa. Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pamoja na kuzima internet kuna watu wanaumia kimoyomoyo, ila wanashangalia na kupongeza "Chuma kimechukua nchi"

    Watanzania tusingekuwa wanafiki, basi wote tungepaza sauti kupinga kitendo kilichofanywa na Serikali kwa kutoa amri ya kulimit internet access, lakini kwa sababu ya hofu, watu wengi wanaumia moyoni huku wakiamua kushangalia na kupongeza ushindi wa kishindo kwa Chama cha Mapinduzi. Lakini tuseme...
  11. JamiiForums Tanzania Watawala wa kike katika nchi za Kiislamu

    Watu wengi huamaini kuwa nchi za kiislamu huwa haziwaheshimu wanawake na haziwezi kutawaliwa na wanawake. Hata hivyo miaka ya hivi karibuni imeonakana kuwa hilo siyo kweli kwani kule Pakistani walitawaliwa na mwanamke Benazir Bhutto kwa muda mrefu kabla hawajamuua. Ninataka kuchokonoa...
  12. JamiiForums Tanzania Maandamano 2.0 - Yenye ufanisi, nchi nzima na haumizwi mtu

    Vurugu na ukatili wa Vyombo vya Dola ni sehemu muhimu ya Serikali za kidikteta katika kupambana na wapinzani wao kwa kisingizio cha kulinda amani na usalama. Kuna kila dalili maandamano yaliyoandaliwa leo yatajibiwa kwa nguvu kubwa ya dola ili kutisha wananchi, maana yakiruhusiwa yatawapa...
  13. JamiiForums Tanzania Tuambie upo nchi gani muda huu na hali ipoje huko

    Habari wananchi wenzangu, najua kipindi hiki watanzania wengi kama sio wote wamesafiri wapo nje ya nchi yao ... sasa ombi langu Mimi naomba kila mtu ataje yupo nchi gani na maisha yapoje huko Mimi binafsi nipo French hali ya hewa baridi kiasi pia kuna vurugu kidogo ...Jana nilikuwa marekani...
  14. JamiiForums Tanzania Upinzani msiruhusu CCM waendeshe Bunge na nchi pekee yao. Nchi ni yetu sote tusikubali kamwe

    Amani iwe kwenu wajumbe! Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo. Serikali ya CCM imekua na rekodi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nguzo za Nchi Bye Bye

    Nguzo za Nchi bye bye Chama cha CCM kimeshinda kwa kishindo uchaguzi wa 2020. Kama ndio hivyo basi, kupeleka majeshi Zanzibar pamoja na baadhi ya maeneo ya Tanzania bara yenye upinzani ni ishara kubwa kuwa haki za watu zimepotea. Nimefikiria sana tunaenda vipi mbele kama Taifa. Baba wa Taifa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna watu wanaishi kwa raha sana nchi hii | poleni Wasanii wetu kwa lawama

    Hapo majuzi kuna wajinga walianza kulaumu wasanii wa Tanzania na kusifia wa Nigeria yani nikimsikia mtu huyo matusi yote duniani yatakuwa halali yake. Msanii hawezi kuanzisha maandamano bali akiona Wananchi wanaandamana na yeye anaweza kujiunga. Tanzania ni hodari sana kulia lia kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Ahera ya baada ya uchaguzi 2020

    Nimesahau, nadhani. Hivi lini watanzania tumedai haki zetu? Lini wahusika tumewahi kupambana? Watanzania lini tumefungua midomo yetu, tukatoka nje kwetu na kwenda kudai haki zetu? Au hiyo kazi ya Zitto, Lissu na Fatma Karume watudaie? Watanzania, inapitishwa kanuni kandamizi, wadau...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuuita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina ya Kiingereza?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuiita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina yake ya Kiingereza? (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia, Kongo...
  19. JamiiForums Tanzania Ushabiki wa siasa za nchi sio kama wa Simba na Yanga

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapa juu, sitapenda kurudia kusema yaliyosemwa na wengine kwenye uchaguzi huu. Ila mwenye hekima ataweza kutofautisha madhara ya ushabiki wa timu za mpira na ushabiki wa siasa za nchi, tutakapoamua kushabikia siasa kama tunavyoshabikia Simba na Yanga tujue...
  20. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

    This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…