nchi

  1. CCM wanaiharibu nchi

    Shughuli ya kubadili vifungu vya sheria pamoja na minongono ya chini kwa chini ya kubadili katiba ikichagizwa na baadhi ya wabunge pamoja na spika siyo ya kupuuzwa. Waswahili walisema lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Mimi nasema hilo iko wazi kabisa na maandalizi imeanza leo Dodoma...
  2. Rais wa zamani wa Malawi, Joyce Banda asema nchi hiyo haina Corona

    Rais wa zamani wa Malawi Joyce Banda amesema nchi hiyo haina virusi vya Korona na kuituhumu serikali kwa ‘kugushi’ takwimu. Vyombo vya habari vya Malawi vimeripoti kuwa Bi Banda alinena hayo akizungumza kwenye mkutano wa hadhara. Aidha ametaka fedha za misaada dhidi ya Corona zitumike kwa...
  3. Tammy Abraham, mchezaji wa chelsea F.C na timu ya Taifa ya England aikana nchi yake ya Nigeria

    "Kuna sababu za msingi ambazo zilinifanya nichague kuichezea timu ya Taifa ya England badala ya Nigeria, sababu ya kwanza ni wazi Nigeria haina nafasi kwenye michuano ya Kombe la Dunia wakati England ina nafasi kubwa ya kushinda Kombe la Dunia. Sababu ya pili ni kwamba siwezi kuimba wimbo wa...
  4. Burundi: Spika ataiongoza nchi baada ya kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

    Burundi yatangaza siku saba za kuomboleza kifo cha Rais Nkurunziza Serikali ya Burundi imetangaza maombolezo ya kitaifa ya siku 7 kufuatia kifo cha rais wake Pierre Nkurunziza, aliyeaga dunia Jumatatu akiwa na umri wa miaka 55 kutokana na mshituko wa moyo. Tangazo la serikali kwenye Redio na...
  5. Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea. Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
  6. Naona maandamano yamepamba moto nchi zenye lockdown

    Nimejaribu kufuatilia maandamano yanayofanyika USA. Ukweli ni kwamba watu wamechoka na lockdown. CORONA kweli ipo lakini kwa jinsi ilivyowekwa ni tofauti na uhalisia. Nimeona maamdamano Italy, USA nk. Watu wananjaa wanaingia kwenye maduka na kubomoa.
  7. J

    CHADEMA wampongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona

    Chadema mkoa wa Tabora wamemshukuru na kumpongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona. Akiongea kwa niaba ya uongozi wa mkoa wa Chadema, mbunge wa viti maalumu mh Mwaisonga amesema wao kama chama wanamshukuru Mungu kwa maono aliyompa Rais Magufuli na hatimaye ametuvusha salama...
  8. T

    Nafikiria kwenda utalii nchi jirani ya Zanzibar. Naombeni utaratibu

    Nafikiria kwenda Zanzibar kutalii. Naomba kufahamu maeneo mazuri ya kutalii. Gharama zikoje kwa sasa na mahala pazuri pa kulala ambako sio ghali. Mahala ambapo ntapata room double isiyozidi 200k per day. Kwa ujumla Zanzibar sijawahi kufika nataka kwenda kutalii angalau siku 2 au 3 nijionee...
  9. Bunge linalotegemewa kupitisha Sheria za Nchi lasema limebaini dosari kwenye upitishaji wa sheria ya kumiliki laini zaidi ya 1

    BUNGE limebaini dosari katika utungaji wa sheria ndogo nchini, ikiwamo sheria inayoweka zuio kwa Mwananchi kuwa na laini ya simu zaidi ya moja Akiwasilisha bungeni jijini hapa jana, taarifa ya Kamati ya Sheria Ndogo kuhusu uchambuzi wa sheria ndogo zilizowasilishwa katika mikutano ya 18 na 19...
  10. Mbona hizi nchi mbili zinapenda kusumbuana?

    Border ya Kenya na Tanzania imefungwa tena. Hizi nchi zinapenda kusumbuana sana. Sijui shida iko wapi? Hii beef sio nzuri kwa biashara ya Afrika Mashariki na inaharibu uhusiano baina ya watu wa nchi hizi mbili.
  11. Mabeberu wanaendelea kutuhujumu: Kwanini hawataki kubadilisha data za COVID19 zinazohusu nchi yetu?

    Baada ya usingizi kukata nikaamua kuingia kwenye mtandao maarufu wa Coronavirus Update (Live): 6,844,705 Cases and 398,141 Deaths from COVID-19 Virus Pandemic - Worldometer unaotoa taarifa za corona kwa kila nchi. Nimestaajabu kuona wanasema Tanzania bado tuna wagonjwa 305. Nachojua ni kuwa...
  12. Kitabu cha Mungu kinapokuwa kimbilio la wanasiasa wakati wa matatizo

    Rais Trump na kanisa Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionRais Trump alikosolewa kwa kupiga picha akiwa amebeba biblia Rais Trump hana kanisa maalum analohusishwa nalo lakini uhudhuria ibada ya kanisa mara moja moja kukiwa na hafla maalum. Amekuwa akitumia ishara na matamshi ya kidini...
  13. Kinga kwa viongozi baada ya kustaafu haitawasaidia kabisa viongozi hao endapo upinzani utachukua nchi

    Huu ndiyo ukweli wenyewe. Wapinzani wakichukua nchi watatumia fimbo ile ile ambayo sisi CCM tumekuwa tukiitumia dhidi ya tusiowapenda, wakiwemo wa vyama vya upinzani. Na tusijidanganye kuwa CCM tutakaa madarakani milele. Dalili zilizopo zinaonyesha tutaondolewa madarakani muda si mrefu...
  14. Makampuni ya Tanzania ya usafirishaji yanakwama wapi, maana yanasababisha nchi inaingia kwenye migogoro na majirani wote

    Ni dhahiri kwenye hili la corona, Tanzania imeamua kutoendana na mataifa mengine duniani, yenyewe imeamua kupuuza hiki kirusi na kuendelea na maisha kama kawaida, bado wanasongamana kwenye vilabu vya pombe, kwa hili hakuna taifa lenye uhuru wa kuingilia maamuzi yao Watanzania maana wenyewe ni...
  15. Nchi ya ahadi

    Habari zenu wana JF. Ingawa mimi ni Mtanzania ila ni mpenzi haswa wa vitimbi vya kisiasa vinavyoendelea nchini Kenya nilianza kuwa mfuatiliaji soon after Handshake ya Uhuru na Odinga. Ingawa sikuwa mfuatiliaji kwa kitambo nimeanza kufuatilia baada ya kuanza kwa BBI. Lengo hasa la hii thread ni...
  16. Sababu ya Marekani kupiga yowe kuwa nchi za Afrika zinaficha takwimu za Corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na Corona!

    Marekani huwa ni taifa linalojiona ni dume linaweza kila kitu kuliko taifa lolote duniani Sasa imekuja Corona nchi za Africa tumeiwezea kuliko marekani Sasa baada ya marekani kuona ohhh vinanipita hata vi nchi vidogo kuishinda corona akaona atafute sababu za kujikosha kuwa ohhh mimi bado niko...
  17. CCM, Tumeshampata Rais, sasa mtuwekee wazi gharama za kuchukua fomu za ubunge na udiwani nchi nzima watu wajipange!

    Maana kulijitokeza malalamiko ya gharama kubadilika badilika kama hali ya hewa kwenye uchaguzi uliopita. Wekeni standardized amount ili wa kudunduliza waanze kudunduliza kiasi kitachotakiwa!
  18. Hizi "flyover" zetu tunazoambiwa zitadumu kwa miaka 100 kwa jiji kama Dar, nikiwa Rais wa nchi naziondoa

    Kwanza kimuonekano, njia panda ya TAZARA na njia panda ya Ubungo zote zipo sawa (Zime cross njia mbili kila moja). Ila moja ina flayover moja na nyingine ina mbili. Hii design ilitakiwa kuwa kitu tunaita "typical design" . Kwa kile walichofanya ni kama kuchafua tu mji kwa kuweka mazagazaga...
  19. Kwa serikali ya sasa ni Diaspora gani alitolewa nje kuja kusaidia nchi?

    Nakumbuka enzi za Kikwete na Mkapa watanzania wengi wenye taaluma mbalimbali waliokua wanafanyakazi nje ya nchi waliletwa kuja kusaidia kuleta maendeleo kwa ujuzi na uzoefu wao walioupata huko nje. Kwa mfano Mkapa alimleta Daudi Balali, Kikwete akamleta Ndulu, yule mama wa uwekezaji, mama...
  20. J

    Rais Magufuli ni chaguo la Mungu amebeba maono ya nchi siyo CCM ni vema Chadema na wapinzani wamuunge mkono

    Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana. Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…