nchi

  1. JamiiForums Tanzania Mawakala wa kutafutia kazi watu nje ya nchi wa serikali na binafsi, fikirieni pia kutafutia watu kazi za msimu vijijini Ulaya, Marekani na Canada

    Kama ilivyo kwenye mashamba makubwa ya miwa Tanzania ya viwanda vya sukari kama Mtibwa, Kilombero nk ambako hutoa ajira nyingi mno za msimu kwenye mashamba yao vivyo hivyo Ulaya, Marekani na Kanada Ona kijiji hiki cha Thailand ambacho ambacho wanakijiji wake kila mwaka msimu wa kuvuna matunda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Corona hakuna nchini, lakini majirani zetu wanayo

    Serikali ya Tanzania na hasa kiongozi wetu mkuu amerudia mara nyingi kuwa hatuna ugonjwa wa Covid-19 na wote tumeshuhudia ya kuwa kambi na wodi zilizokuwa zimetengwa zilifungwa tangu mwaka jana.Hili ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu. Jambo moja ambalo binafsi sikubaliani nalo ni hili la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati ukatili dhidi ya Watanzania waishio Uturuki na nchi za Kiarabu

    Nadhani mwaka jana, Serikali ilipata wakati mgumu sana kupitia balozi zake, kwani balozi hizo zilivamiwa na kesi nyingi za watanzania kunyanyasika nchi za kiarabu na China. Kinachoendelea sasa ni ya kutisha kwani wadada wengi sana, wanakimbilia Dubai, Oman na Uturuki kujiuza. Siku ya Ijumaa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais na Bunge ruhusuni uraia wa nchi mbili haraka kwa wageni kabla Corona haijaisha duniani

    Kupata permanent residence Marekani unatikwa kununua municipal bonds za dola kadhaa. Serikali itoe uraia wa nchi mbili kwa yeyote atakayenunua long-term bond za serikali za dola milioni moja wapewe uraia haraka akishalipa tu tuchangamkie fursa. Tanzania wazungu mamilionea wanakimbia corona...
  5. JamiiForums Tanzania Wasanii na Wanamuziki wengi kugombea Uraisi nchi za Afrika je wasomi na wataalamu wamekata tamaa au nini?

    Ukifuatilia siasa za Africa sasa hivi wasanii ndio wanaanza kuibuka kugombea vyeo vya uraisi africa Mfano Raisi wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina alikuwa DJ wa mziki Bob Wine wa Uganda ni Mwanamuziki kagombea Uraisi uganda Tanzania Freeman Mbowe alikuwa DJ wa Muziki na alishagombea uraisi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema haijafunga mipaka ya biashara ya mazao ya kilimo na nchi jirani

    Naibu waziri wa kilimo Hussein Bashe amekanusha serikali kufunga mipaka ya biashara ya mazao ya kilimo na nchi jirani. Bashe amesema biashara hiyo ilizorota kwa sababu ya Corona na kidogo mambo ya kisiasa lakini Rwanda wameshaanza kuja kununua mazao na Uganda ambao ni soko letu kuu walikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Air Tanzania ingeshusha viwango vya nauli, tungesafirisha Watanzania wengi ndani na nje ya nchi

    Salaam Great Thinkers, Tumeanza kutoa huduma ya kusafirisha abiria wanaotumia ndege kusafiri, iwe ni ndani ya nchi au kimataifa, kwa miaka kadhaa sasa. Uzoefu tulionao umepelekea tuzifahamu changamoto nyingi kupitia feedback tunazozipata kutoka kwa wateja/abiria. Miongoni mwa changamoto hizo...
  8. JamiiForums Tanzania UN: Mataifa masikini yasaidiwe kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

    Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP, limesema nusu ya ufadhili juu ya mabadiliko ya tabia nchi ulimwenguni, unapaswa kuelekezwa kwenye mataifa masikini ili kuyasaidia kukabiliana na ongezeko la joto duniani ambalo linasababisha maafa kama vile ukame, mafuriko na kuongezeka kwa kiwango...
  9. JamiiForums Tanzania Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

    Mzuqa wanaJF! Kiribati (wenyeji wanaitamka Kiribas) ni kisiwa nchi katikati ya Pacific. Mji wake mkuu ni Tarawa. Inahofiwa Kiribati itazama miaka ya karibuni. This island neshen will soon drown due to climate change and rising sea level. Tayari serikali ya Kiribati imeshanunua ardhi Fiji...
  10. JamiiForums Tanzania Kuifanya simu za Huawei v19 pro ziweze kutumia mitandao ya ndani ya nchi

    Wakuu habarini za jioni. Naombeni msaada namna ya kuifungua simu za huawei v19 pro ziweze kutumia mitandao ya ndani ya nchi, kwani nimenunua simu tajwa hapo juu kila ninapoweka laini za mitandao ya Tanzania hazisomi isipokuwa kwa emergency calls tu, hivyo naombeni msaada kwa hilo wakuu...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Mtu kama ni mkimbizi anaruhusiwa kuendelea kujihusisha na masuala ya nchi yake?

    Nauliza tu maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na masuala ya nchi yetu. Sheria inayohusu masuala ya wakimbizi inasemaje?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa nchi moja anaweza kuhukumiwa na nchi nyingine

    Sheria za Kimataifa zinaruhusu mtuhumiwa na Raia wa Nchi moja kwenda kuhukumiwa Nchi nyingine tofauti na Nchi yake. Ili Mtuhumiwa aweze kuhamishwa kwenda kuhukumiwa Nchi nyingine ni Lazima kuwepo na Vitu vifuatavyo:- 1. Mkataba wa Kimataifa wa uhamishaji wa Watuhumiwa(Extradiction Treaty) 2...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuburudike na siasa za Kenya Uhuru vs Ruto, Siasa hata misibani Rais wa nchi na Amiri Jeshi anagombezwa hadharani naye yupo hapo hapo

    Hivi inawezekana vipi Rais na Makamu hamuelewani lakini mpo wote tu madarakani? Mimi sio Mtaalamu wa siasa lakini sioni kama kuna mwisho mwema hapa kwenye hili vuguvugu la Uhuru vs Ruto. Vijembe vinazidi kushika kasi kuelekea uchaguzi 2020. Uhuru anaulizwa ni nini kinamshinda kumtimua Ruto...
  14. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula na matembezi ya hiyari Nchi nzima

    Mheshimiwa Dkt. John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Amani iwe kwako! Mheshimiwa Rais! Mimi Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula, nisimamaye katika zamu yangu kama Mtumishi wa Mungu katika zamani hizi za utawala wako kama Sauti ya Haki katika nchi, ninatuma ujumbe huu kwako...
  15. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi awasili Tanzania, aweka jiwe la msingi hospitali ya rufaa ya kanda Burigi, Chato

    Leo Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewasili Chato mkoani Geita kwa ziara ya siku mbili kuimarisha uhusiano ambapo atakuwa na mwenyeji wake, Rais Magufuli. ======= Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ameshawasili uwanja wa ndege wa Chato na kulakiwa na mwenyeji wake, Rais John Magufuli 05:34...
  16. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kelele nyingi kuhusu Kilimanjaro, niliamua kufanya utalii wa ndani dakika za mwisho

    Toka napata akili naskia sana neno Kilimanjaro, katika utafiti pia ni vitu vingi sana vina majina hayo. Toka niingie JF watu wanaotoka Kilimanjaro wanatajwa kwa ubaya kwa mazuri pia. Kutokana na mabishano ambayo nimeshuhudia kwenye majukwaa humu kuhusu wachaga na mkoa mzima nikatamani sana ipo...
  17. JamiiForums Tanzania Ni muda wa maabara katika nchi za Afrika kuwa na "Next generation sequencing instruments"

    Next generation sequencing ni instruments inayotumika ku-unlock cells and microorganisms genetic code, ambapo baada ya ku-unlock inazalisha data (omics datanyingi ambazo zinatakiwa zifanyiwe analytics na bioinformatician Modern medicine imekua centered na data driven tofauti na traditional...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wito: Wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wadau wengine, anzeni kampeni ya kupinga sheria hii ya Bodi ya Mikopo ndani na nje ya nchi

    Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya 300 walio nje ya nchi (diaspora) waungana na kuwekeza kwenye ujenzi wa majengo ya kifahari

    Yaani hii ni zaidi ya akili kubwa, hongereni sana ndugu zetu, tuijenge hii nchi yetu kwa pamoja maana ndio nyumbani kwetu, mkiwa huko mnafanya makubwa sana nyumbani. ======== A group of at least 300 Kenyans currently living in the United States of America has teamed up to embark on a...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Uhakika Tanzania tunaingia katika kumi bora za Nchi zenye wananchi wenye furaha duniani

    Kabisa kabisa hatupo mbali, kwa muelekeo na Gia tuliyoondoka nayo baada ya Uchaguzi uliolalamikiwa na Vyama vya Upinzani. Yaani kama mheshimiwa baba wa Taifa JPM utamfananisha na gari sijui awe gari gani kama ni ndege labda za kivita kama ni treni ni haipa lupu. Ila huyu ni binadamu mwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…