nchi

  1. T

    GE2020 Vurugu za Siasa ni za wendawazimu wasiopenda nchi yao na watu wake

    Utakuwa upumbavu wa hali ya juu kufanya vurugu za kisiasa, kupigana na kupoteza maisha kwa ajili ya mtu mmoja au wachache wapate wadhifa wa kula na kuishi vizuri zaidi. Upumbavu huu umefanyika nchi nyingi, lakini mfano mzuri ni Libya ambako wanajuta kumpindua Gaddafi. Yani wao wakae makwao...
  2. Ukweli mchungu: CCM haijawahi kufuata Ilani yake wala katiba ya nchi kwa miaka 5

    Wasalaam, Naomba niweke wazi ukweli halisi bila ushabiki wa kisiasa chama chetu cha mapinduzi mwaka 2015 walikuja na ilani nzuri na ya kupendeza Wakati wa kampeni, baada ya kushinda uchaguzi bwana yule alitupilia mbali ilani ile na kifanya jinsi alivyoona yeye inafaa na jinsi alivyotaka yeye...
  3. Ramani: Nchi za Afrika zinazosechiwa Google na nchi nyingine za Afrika

    Afrika Kusini wanasechi sana ishu za Zimbabwe Zimbabwe wanawasechi sana Afrika Kusini Congo wanawasechi sana Nigeria Tanzania na Uganda tunawafatilia mno majirani zetu Kenya Burundi wanawasech sana Rwanda
  4. A

    GE2020 Wapinzani hawako tayari kuongoza nchi

    Wanabodi, Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale. Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa upinzani bado haujajipanga kuchukua dola. Uzinduzi wao umejawa na...
  5. Mnapoambiwa Simba Sports Club siyo 'Wenzenu' nchi hii muwe mnaelewa sawa? Haya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli shindana na Serikali sasa!

    Muda si mrefu tu uliopita kuna Barua kutoka Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu kwenda kwa Klabu ya Yanga ikiwataka upesi sana Kurejesha Serikalini ( Wizarani ) Kibali cha Kazi cha Mchezaji halali wa Simba SC Bernard Morrison ambacho kwa Kiburi na Jeuri kabisa...
  6. GE2020 Zitto Kabwe: Tutaandamana nchi nzima kudai haki ya wagombea wetu walio enguliwa kwenye uchaguzi

    Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu kwamba lazima wananchi wafanye...
  7. CCM na Mifumo ndiyo tatizo kubwa Nchi hii. Wanatupeleka siko

    Haiwezekani uengue wagombea wa chama kimoja chenye nguvu 16 kati ya 18 katika kisiwa kizima, huu ni uhujumu wa wazi wazi unaominya haki za watu kuchagua. Haiwezi kuondoa wagombea udiwani zaidi ya 600 nchi nzima kama kweli unalitakia taifa hili amani. CCM kwakua Mwenyekiti wao wa taifa ndiye...
  8. Mali: Wanajeshi wamuachia huru aliyekuwa Rais wa nchi hiyo. Mwanaye aripotiwa kukimbilia ukimbizini nje ya nchi

    Baraza kuu la kitaifa, lililoowekwa na wanajeshi kuiongoza Nchi, "linaarifu wananchi wa Mali na Jumuiya ya Kimataifa kwamba aliye kuwa Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keïta ameachiliwa huru na kwa sasa yuko nyumbani kwake", CNSP imetangaza kwenye mtandao wa Facebook. Duru za kuaminika zimebaini...
  9. GE2020 CCM kuzindua kampeni Jumamosi, Agosti 29, 2020 uwanja wa Jamhuri, Dodoma

    CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum...
  10. U

    GE2020 Amani ya nchi hii ipo mikononi mwa wakurugezi pamoja na Tume ya uchaguzi

    Kilichotokea mkoani Songwe na kupelekea umauti wa Mtanzania ni ishara kwamba amani tunaivuruga wenyewe hasa viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia haki wanashindwa kutumia hekima wala busara mahali panapohitaji hekima au busara kwa maslahi yao au itikadi ya chama Fulani. Ni mambo ya hovyo...
  11. B

    Kwa amani ya nchi hii, tume mnao mchango mkubwa, msituangushe

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Kama ilivyo kwa polisi na mahakama. Tume ya uchaguzi mnayo nafasi kubwa sana katika kuhakikisha kutotetereka kwa amani ya nchi hii. Hii ikiwa ni kwa kuhakikisha tu kuwa haki inatendeka. Yaani kwa kutekeleza tu ulio wajibu wenu...
  12. Vita vya GDP Afrika Mashariki ni Kati ya Kenya, Ethiopia na Tanzania tangu 1980. Nafasi ya kwanza inaeza nyakuliwa na nchi hizi tatu

    Mabadiliko haya ya kiuchumi yakitazamwa na mabadiliko ya kihistoria na uongozi yanaweza kutuonyesha ni kitu gani kinaweza kusababisha uchumi kuimarika au kusambaratika.
  13. Hatutaki viwanda vinavyotugeuza watumwa na mateka wa nchi yetu wenyewe

    Na, Robert Heriel Je, sisi ni watumwa? Je, sisi ni Mateka? Nauliza sisi ni misukule? Ukiambiwa viwanda vimejengwa, uliza swali hili je kimeajiri wafanyakazi au watumwa? Mada hii ni chungu, kama huna uvumilivu naomba uishie hapa. Lugha itakayotumika ni lugha ngumu, lugha isiyopendeza, kwani...
  14. GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  15. Tanzania ni miongoni mwa nchi 6 za mwanzo kutoka Afrika Raia wake kuruhusiwa kuingia China kuanzia Septemba

    Kiambatanisho hapo chini kinajieleza. Sijui ndugu zetu Kenya, Uganda na Rwanda watasemaje sasa. Maana wamekuwa wanatunanga sana sisi na Burundi, Burundi nao wamo. Picha iliyotolewa hapa ni kwamba kuiga western countries kwa kila kitu sio dili tena kwa sasa. Wale waliosema Tanzania itatengwa...
  16. M

    GE2020 Bernad Membe awaonya watawala wasichafue amani ya nchi kwa kuvuruga chaguzi

    Ndugu Membe ameongea maneno mazito na yenye hekima. Tabia ya taasisi zinazosimamia chaguzi kufanya kazi kwa maelekezo ya watawala ili zisitende haki ni jambo baya kabisa. Hawa watu wanahatarisha amani ya hii nchi. Kwa kweli kama kutatokea kuvurugika kwa amani kutokana na hii michezo ya...
  17. TBC wanatufanyia uhuni wa waziwazi walipakodi wa Nchi hii

    TBC Mungu anawaona na kwakweli hamtutendei haki kabisa. Mmeonyesha live wagombea wote 35 wa vyama vingine, imefika zamu ya CHADEMA mmejitoa na kuleta kipindi cha ZINAZOKIKI. You guys what you are doing is very unfair. Hii ndio sababu wananchi wameamua kuwaweka kando.
  18. Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4

    Mamlaka ya Usalama wa Anga Tanzania (TCAA) leo imewataka wamiliki wote wa 'drones' kuzisajili ndani ya siku 4 zijazo Taarifa ya Mamlaka hiyo imewataka wamiliki kuzisajili Makao Makuu Dar au katika ofisi zao zilizopo Arusha, Dodoma, iringa, Mwanza, Mtwara, Mbeya, Kilimanjaro, Kigoma, Songea...
  19. Takriban watu 10 wameuawa na wengine makumi kujeruhiwa baada ya kutokea kwa shambulio Kusini mwa Nchi ya Ufilipino

    Takriban watu 10 wameuawa na wengine makumi kujeruhiwa baada ya kutokea kwa shambulio kusini mwa nchi ya Ufilipino. Shambulio hili limetekelezwa katika eneo la Jolo ambalo wakazi wake wengi ni waumini wa dini ya Kiislamu ambako vikosi vya Serikali vinapambana dhidi ya Kikundi cha Waasi cha Abu...
  20. B

    Kwanini wanasiasa wa Tanzania kuanzia Ubunge wanaingia nyumba za ibada na walinzi? Nchi haina amani au kwao Mungu si kinga?

    Wagombea Ubunge wengi safari hii walijiwekea walinzi bunafsi. Baadhi ya Walinzi Hawa uwakuti kila sehemu ila uonekana pale mgombea anapokwenda maeneo walipo wanahabari. Mzee baba akiwa kwenye nyumba ya ibada asilimia kubwa ya waumini uwa ni Walinzi, Jana nimemwona Gwajima na Abbass wakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…