nchi

  1. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ethiopia kutembelea Tanzania kwa ziara ya siku moja

    Rais huyo wa nchi ya Ethiopia Mheshimiwa Sahle Work Zewde atawasili nchini kesho Januari 25, 2021 kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku moja Taarifa kwa mujibu wa Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania bado nchi masikini sana, 90% ya magari yanayotimika Tanzania yana umri zaidi ya miaka 10

    Nashukuru mwaka jana baada ya uchaguzi waziri Mpango alikiri kua umasikini Tanzania ndio nyumbani kwao. Ukitaka kujua kama raia wa Tqnzania ni mafukara angalia, magari zaidi ya 90% yanayotembea Tanzania ukiachia magari ya serikali yana umri zaidi ya miaka 10. Maana yake ni kua watanzania bado...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi inaweza kuwa ya viwanda bila kuwa na chuma?

    Baada ya vita ya Korea, Korea kaskazini ikaanza kuhangaika kujenga uchumi wake. Ikagundua kuwa ili iwe na uchumi imara inahitaji viwanda. Ikagundua pia, kuwa viwanda haviwezekani bila kuwa na chuma. Ikasema ngoja iende Japan ikanunue kinu cha kufulia chuma. Marekani aliposikia habari hiyo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msisuse kuibua madhaifu ya CCM na Serikali yake kama yapo, Pamoja tutaijenga nchi yetu

    Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka. Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo...
  5. JamiiForums Tanzania TBS: Kuanzia 01 Machi 2021, utaratibu wa kukagua magari kutoka nje ya nchi, utafanyikia hapa nchini

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nashauri kuwe na Database rasmi kwa ajili ya wote wanaofanya kazi zisizotegemea ujuzi wowote

    Hello JF, Kwa muda mrefu sasa malalamishi ya housegirls kunyanyaswa katika nchi za kiarabu kama Oman, Turkey, etc. yamekua mengi. Ninachoona hapa ni kutokua na taarifa ama records to identify those at risk. Kama ilivyo vitambulisho kwa wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga), then kuwe na...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wapenda kusomesha nje ya nchi pelekeni watoto Ufilipino bei rahisi elimu kubwa inatambuliwa Marekani

    Vyuo vikuu vya ufilipino Ada nafuu haizidi dola 2500 kwa mwaka na elimu yao iko juu sana. Marekani na Canada wanaikubali sana
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kawafundishe Mabalozi wenzako, Wajifunze namna ya kuishi na nchi ya Tanzania ambayo hababaishwi

    Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni nchi huru na inayojiamulia mambo yake yenyewe na kamwe haiyumbishwi na haitayumbishwa na yeyote! Pia, amempongeza Balozi huyo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mawakala wa kutafutia kazi watu nje ya nchi wa serikali na binafsi, fikirieni pia kutafutia watu kazi za msimu vijijini Ulaya, Marekani na Canada

    Kama ilivyo kwenye mashamba makubwa ya miwa Tanzania ya viwanda vya sukari kama Mtibwa, Kilombero nk ambako hutoa ajira nyingi mno za msimu kwenye mashamba yao vivyo hivyo Ulaya, Marekani na Kanada Ona kijiji hiki cha Thailand ambacho ambacho wanakijiji wake kila mwaka msimu wa kuvuna matunda...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Corona hakuna nchini, lakini majirani zetu wanayo

    Serikali ya Tanzania na hasa kiongozi wetu mkuu amerudia mara nyingi kuwa hatuna ugonjwa wa Covid-19 na wote tumeshuhudia ya kuwa kambi na wodi zilizokuwa zimetengwa zilifungwa tangu mwaka jana.Hili ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu. Jambo moja ambalo binafsi sikubaliani nalo ni hili la...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati ukatili dhidi ya Watanzania waishio Uturuki na nchi za Kiarabu

    Nadhani mwaka jana, Serikali ilipata wakati mgumu sana kupitia balozi zake, kwani balozi hizo zilivamiwa na kesi nyingi za watanzania kunyanyasika nchi za kiarabu na China. Kinachoendelea sasa ni ya kutisha kwani wadada wengi sana, wanakimbilia Dubai, Oman na Uturuki kujiuza. Siku ya Ijumaa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais na Bunge ruhusuni uraia wa nchi mbili haraka kwa wageni kabla Corona haijaisha duniani

    Kupata permanent residence Marekani unatikwa kununua municipal bonds za dola kadhaa. Serikali itoe uraia wa nchi mbili kwa yeyote atakayenunua long-term bond za serikali za dola milioni moja wapewe uraia haraka akishalipa tu tuchangamkie fursa. Tanzania wazungu mamilionea wanakimbia corona...
  13. JamiiForums Tanzania Wasanii na Wanamuziki wengi kugombea Uraisi nchi za Afrika je wasomi na wataalamu wamekata tamaa au nini?

    Ukifuatilia siasa za Africa sasa hivi wasanii ndio wanaanza kuibuka kugombea vyeo vya uraisi africa Mfano Raisi wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina alikuwa DJ wa mziki Bob Wine wa Uganda ni Mwanamuziki kagombea Uraisi uganda Tanzania Freeman Mbowe alikuwa DJ wa Muziki na alishagombea uraisi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema haijafunga mipaka ya biashara ya mazao ya kilimo na nchi jirani

    Naibu waziri wa kilimo Hussein Bashe amekanusha serikali kufunga mipaka ya biashara ya mazao ya kilimo na nchi jirani. Bashe amesema biashara hiyo ilizorota kwa sababu ya Corona na kidogo mambo ya kisiasa lakini Rwanda wameshaanza kuja kununua mazao na Uganda ambao ni soko letu kuu walikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Air Tanzania ingeshusha viwango vya nauli, tungesafirisha Watanzania wengi ndani na nje ya nchi

    Salaam Great Thinkers, Tumeanza kutoa huduma ya kusafirisha abiria wanaotumia ndege kusafiri, iwe ni ndani ya nchi au kimataifa, kwa miaka kadhaa sasa. Uzoefu tulionao umepelekea tuzifahamu changamoto nyingi kupitia feedback tunazozipata kutoka kwa wateja/abiria. Miongoni mwa changamoto hizo...
  16. JamiiForums Tanzania UN: Mataifa masikini yasaidiwe kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

    Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP, limesema nusu ya ufadhili juu ya mabadiliko ya tabia nchi ulimwenguni, unapaswa kuelekezwa kwenye mataifa masikini ili kuyasaidia kukabiliana na ongezeko la joto duniani ambalo linasababisha maafa kama vile ukame, mafuriko na kuongezeka kwa kiwango...
  17. JamiiForums Tanzania Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

    Mzuqa wanaJF! Kiribati (wenyeji wanaitamka Kiribas) ni kisiwa nchi katikati ya Pacific. Mji wake mkuu ni Tarawa. Inahofiwa Kiribati itazama miaka ya karibuni. This island neshen will soon drown due to climate change and rising sea level. Tayari serikali ya Kiribati imeshanunua ardhi Fiji...
  18. JamiiForums Tanzania Kuifanya simu za Huawei v19 pro ziweze kutumia mitandao ya ndani ya nchi

    Wakuu habarini za jioni. Naombeni msaada namna ya kuifungua simu za huawei v19 pro ziweze kutumia mitandao ya ndani ya nchi, kwani nimenunua simu tajwa hapo juu kila ninapoweka laini za mitandao ya Tanzania hazisomi isipokuwa kwa emergency calls tu, hivyo naombeni msaada kwa hilo wakuu...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Mtu kama ni mkimbizi anaruhusiwa kuendelea kujihusisha na masuala ya nchi yake?

    Nauliza tu maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na masuala ya nchi yetu. Sheria inayohusu masuala ya wakimbizi inasemaje?
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa nchi moja anaweza kuhukumiwa na nchi nyingine

    Sheria za Kimataifa zinaruhusu mtuhumiwa na Raia wa Nchi moja kwenda kuhukumiwa Nchi nyingine tofauti na Nchi yake. Ili Mtuhumiwa aweze kuhamishwa kwenda kuhukumiwa Nchi nyingine ni Lazima kuwepo na Vitu vifuatavyo:- 1. Mkataba wa Kimataifa wa uhamishaji wa Watuhumiwa(Extradiction Treaty) 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…