nchi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa Wachina nyumbani na nje. Ni alama muhimu ya kujumuika kwa familia

    Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa wachina nyumbani na nje ya nchi. Ni alama muhimu kabisa ya kujumuika kwa familia na marafiki. Tamasha hili huleta kumbukumbu nyingi kwa wachina wote, nyumbani na nje ya nchi. Likiwa na maonyesho kama ngonjera, mchoro mfupi...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi acheni utani wa maisha ya raia wenu, chukueni hatua za haraka kabla nchi haijageuka kuwa graveyard

    Mwaka jana tuliishinda corona kwa sababu zifuafazo: 1. Serikali ilikuwa mstari wa mbele kusimamia mapambano ya corona 2. Kulikuwa na taskforce inayoshughulika na wagonjwa wa corona. Kama mgonjwa yuko nyumbani mlikuwa hamruhusiwi kumsafirisha ila mnapiga simu anafuatwa nyumbani ili kuepusha...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi ambayo haijapata chanjo ya Corona inaweza kutengwa?

    Iko hivi wakuu. Virusi vikipata mazingira mazuri huwa vinabadilika kila leo. Kubadilika huko kunaweza toa kirusi kikali kisichosikia dawa wala chanjo. Hizi chanjo zimetengenezwa kuzuia kirusi kwa namna kiliyopo sasa. Kinaweza kubadilika na kufanya chanjo hiyo isifanye kazi au ikafanya kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya "paranoia" kwenye uongozi au siasa ni makubwa sana hivyo ni vema tuelewe nini maana ya paranoia na dalili zake ni nini

    Paranoia ni nini? Angalia jinsi dictionary moja ilivyoeleza maana yake; Paranoia: hali/ugonjwa wa akili unaomfanya mtu awe na hofu isiyo ya kweli ya kusulubiwa na watu wengine. Humfanya mtu awe na silka za kupita kiasi katika kutokuwa na usawaziko wa kuona mambo, kufikiri watu hawampendi...
  5. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, wakikaa na simu wanaperuzi tu

    Kutoka Dodoma. "Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, ambao wakikaa na simu wanaperuzi mitandaoni tu". "Nafikiri labda tuongeze kodi labda itapunguza hata sijui, hivi tufanye kitu gani ili tuhakikishe kila mtu anafanya kazi, maafisa maendeleo ya jamii hawafanyi kazi" -Job Ndugai. Nini...
  6. JamiiForums Tanzania Naunga mkono hoja ya kuimarisha mifumo ya nchi

    Mtindo wa sasa wa mambo miradi inayofanyika inategemea maamuzi ya mkuu wa nchi ni hatari Sana na inatujengea utamaduni mbaya kama nchi. Kuna maeneo ya nchi hii kama Rais Hana mzuka nayo inakuwa bahati mbaya Sana kwao. Nitatoa mfano mmoja Kwa sasa mkuu anapenda kuona Jimbo lake linapaa na Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa jinsi ya kupata uraia kwa msichana anayetoka nje ya nchi ili kuolewa na kuishi Tanzania

    Habari za jioni wana JF! Nina mpenzi wangu anaishi nchini Australia anataka kuja Tanzania tuanze maisha, naomba msaada kujua taratibu za kufanya kumpatia uraia ili niweze kuishi nae Tanzania.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi. Hii kauli imemaliza...
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 44 ya CCM inayoongoza nchi huku kikiwa kimekufa

    Jana chama cha mapinduzi kiliadhimisha miaka 44 tangu kianzishwe. Ni umri wa mtu mzima ambae anaenda kuzeeka. Lakini CCM hii iliyoanzishwa wakati Mwl. Julius Nyerere akiwa mkuu wa nchi imebadilika. Maana sio ile ambayo watanzania tulizoea kuiona ikitetea, haki sawa kwa watanzania, kupinga...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ni vikwazo gani Tanzania na baadhi ya nchi nyingine za Afrika zitawekewa baada kukataa chanjo ya Covid -19?

    Shirika la Afya duniani (WHO) limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania na Burundi zikiwa hazimo. WHO limasema kuwa chanjo hizo ambazo ni dozi milioni 336 za AstraZeneca/Oxford na Pfizer-BioNTech, zitatolewa kwa muhula wa kwanza na wa...
  11. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Serikali iache kuendesha nchi kwa misingi ya ubaguzi

    Mheshimiwa Jaffo, wakati ule Halmashauri nyingi zikiwemo zile zenye nguvu ya kiuchumi zilipokuwa zikishikiliwa na kuongozwa na UPINZANI, Serikali yenu iliamua kuzinyang'anya ukusanyaji wa mapato. Kwa sababu hali ile haikuwa ya kawaida, wengi tulijua kuwa mlifanya vile ili kuwakomoa viongozi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

    Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu. Kazi ipo mwaka huu.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Corona imerudi tutaisikia bungeni kwenye mkusanyiko wa nchi nzima!

    Nakumbuka ile Corona ya awamu ya kwanza ni mbunge Mtulia ndiye aliyetupa uhakika kuwa ipo na tukaambiwa ametoka nayo jimboni kwake Kinondoni. Ukifanya sampling bunge ndio chombo pekee kinachobeba watu kutoka pande zote za nchi hii bara na visiwani. Lakini wabunge ndio watu pekee ambao hukaa...
  14. JamiiForums Tanzania Hii nchi imepata viongozi walahi!!

    🤣🤣🤣
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli angekuwa ni Rais wa mojawapo ya Nchi Wahisani, angetoa misaada kwa nchi zinazoendelea?

    Ukweli ni kwamba, nchi zetu hizi zinazoendelea, hasa hizi za Afrika, hazipigi hatua kubwa kimaendeleo na kuondokana na umasikini kutokana na mambo kama rushwa, ubinafsi wa viongozi, kukosekana kwa utawala bora, demokrasia,katiba mbovu,vipaumbele vibovu, n.k. huku chanzo kikuu kikiwa ni nchi...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia Jinsi hapa Afrika Mashariki Tanzania ndio imebarikiwa kupata mvua nyingi kushinda Kenya, Uganda

    Yaani wamebarikiwa sana na mwenyezi Mungu. Ukiangalia predicted rainfall patterns ya East Africa utagundua kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayopokea mvua katika kila corner ya Tanzania. Nchi zingine hazipokei mvua katika kila kona. Lakini 100% ya Tanzania inapokea mvua. Sasa ni kwa nini...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika. Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo. Ukaguzi huo umefanyika mjini...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaingia katika recession; GDP yapungua, watu milioni 3 wakosa ajira

    Madhara ya covid 19 yameishambulia kenya na kuwa nchi ya kwanza kwa sub saharan africa kuingia katika recession tokea miaka 30 iliyopita. Miezi mitatu ya mwisho october mpaka december 2020, GDP ya Kenya ilishuka kwa 5.5% na uzalishaji katika sekta za usafirishaji, viwanda, biashara vilishuka...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

    Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Rais Magufuli apunguze sauti. Nchi hii bila wazungu ni tajiri kwa kipi?

    Vitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu. Wazungu wakiacha kununua Tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi, chuma, bati, n.k . Madini kama uranium hatuyawezi kabisa hata kuyatumia, achilia mbali kuyachimba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…