nchi

  1. P

    Baada ya kubainika ufisadi wa kutisha, anataka kujifichia kwenye Mradi Bandari ya Bagamoyo?

    Eti, Rais hakushauriwa vizuri kuhusu mradi wa ujenzi bandari ya Bagamoyo, Wakati huohuo yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali, alikuwa wapi? Raisi wetu amefariki ndo kunampa mwanya wa kumwandama na kumkandia kila Neno Baya, sasa tunataka mtwambie kama Kweli kazi yenu ni kuishauri serikali na...
  2. Viongozi wakuu wa nchi mnatuchanganya Wananchi tunaomba mjiuzulu nafasi zenu

    Wakati Rais Magufuli akiwa madarakani tuliwaona mkiandamana nae kila mahali katika ufunguzi wa miradi mbalimbali. Na wakati mkiandamana naye mlipata nafasi ya kutoa neno na katika kufanya hivyo mliisifia miradi na kutuambia kuwa iko sawa kabisa, tuliwaamini kwakua nyie ndio mliyobeba dhamana...
  3. Ukweli kwanini binadamu na nchi kwa ujumla hatuwezi kufanikiwa wote!

    -Jana tarehe 7/4/2021, jarida la forbes lilitoa takwimu nzima ya matajiri katika dunia hii, japokua hua wanatoa kila mwaka lakini ya jana ilikua ngumu kumeza. Watu wengi hua wanapenda kujua tu nani anaongoza then baada ya hapo amemaliza yote anayojua kuhusu utajiri unaochapishwa na forbes...
  4. B

    Nini jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama kuwadhibiti wanasiasa wanahujumu nchi kwa ndimi mbili?

    Naomba tujiulize vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimeshindwa kuingilia kati huu uchafuzi wakisiasa unaofanywa na viongozi waandamizi wakisiasa? Hatuwezi kuwa na Taifa ambalo viongozi leo Wana msimamo huu kuhusu rasilimali na kesho wana msimamo ule kuhusu rasilimali zetu na hakuna...
  5. "Stability" ya nchi kisiasa inaliweka Taifa kuwa imara kijamii, kiuchumi na kiteknolojia

    TATIZO: "Unstable Political Grounds of the Nation" TATIZO ZAIDI: "Poverty Among Politicians is the Root Cause of Unstable Political Ground of the Nation" ZAIDI YA TATIZO: "POVERTY IS A RESULTS OF LOCKED MIND OF GREAT THINKERS IN THE SOCIETY BY THE POOR POLITICIANS FOR THEIR OWN GREED TO STAY...
  6. M

    Kuna kitu nimejifunza katika roho ikiingizwa katika nchi

    Wapinzani ni kama manabii, wabashiri na watabili na huwa wanachokisema kinatokea, mimi nawaona kama ni watu muhimu sana kiroho hawa wapinzani wa Tanzania. Wakatia wa awamu ya nne ya Mzee Jakaya wapinzani walisema mengi tena waziwazi majukwaani. Mfano huyu ni Rais dhaifu, nchi hii inahitaji Rais...
  7. J

    Kwa Katiba za nchi nyingine Spika ndiye angekuwa Rais kwa miezi mitatu

    Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo. Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi. Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi...
  8. Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amteua Mohamed Dewji (Mo) kuwa mshauri wake kwenye masuala ya Uwekezaji

    Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa amemteua Mohamed Dewji kuwa mshauri wake wa Masuala ya uwekezaji. Mohamed dewji 'MO' atashiriki vikao vyote vinavyohusiana na uwekezaji na atakuwa miongoni mwa washauri wa Rais Ramaphosa kwa kipindi Cha miaka mitatu. ---- Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika...
  9. Rais Dkt. Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi SADC

    Dkt. Hussein Mwinyi akiagana na viongozi wa Serikali wakati akielekea nchini Msumbiji kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC, kumuwakilisha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Hii ni itakuwa ni safari yake ya kwanza Dkt. Mwinyi tokea kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar. Huu ni mwanzo mzuri...
  10. H

    Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi, tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?

    Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi? Mfano naomba mnisaidie maswali haya: 1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi? 2. Tutapata wapi fedha za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo ya elimu? 3. Tutapata wapi fedha za...
  11. B

    Je, Mama Samia Suluhu akikubali kuwa Mwenyekiti wa CCM ataweza kulisimamia Taifa?

    Moja ya changamoto kubwa inayokabili watawala wetu nikuaminishwa kwamba usipokuwa Mwenyekiti wa chama hautoweza kuongoza Nchi. Hii ni doctrine imewekwa kulinda maslahi ya chama na kumfanya Rais awe na jukumu lakulinda chama. Kulinda chama hakuhitaji haki maana ukisimamia haki hakuna namna chama...
  12. Unajua kwanini nchi zinazoongoza kwa watu wake kuwa na furaha pia huongoza kwa watu wake kujiua?

    Inasemwa kuwa. Hizi nchi ambazo kiwango cha furaha kipo chini, huzuni ni kitu cha kawaida. Hata mtu akiwa na huzuni au msongo wa mawazo anaona karibu jirani zake wote wanahuzuni, hilo humfariji sana. Lakini zile nchi ambazo watu wengi wanafuraha ni tofauti. Watu wengi wanafuraha hivyo ikitokea...
  13. B

    Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha umahili wake kwA kumteua Balozi Liberata Mulamula kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

    Namsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa kunteua Balozi Libarata Mulamula si kwasababu ni mwanamke la hasha , namsifia kwasababu ya kutambua umuhimu wa uzoefu katika kutenda kazi. Huko nyuma hili halikuwa linatiliwa maanani kwani watu waliostaafu tulikuwa tunaona hawana mchango tena wa...
  14. Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

    Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu...
  15. Sera za nchi zinabadilisha maisha ya mtu na kuamua kuhama nchi kama Darius Phillip

    Darius Philip alizaliwa Tanganyika, wazazi wake walivutiwa na utawalawa wa British East Africa Empire na kusikia Tanganyika kuna ardhi kubwa walihamia miaka ya 1940 na kufanya kilimo cha biashara. Philip alisoma Tanganyika na kumalizia elimu ya juu Uingereza alikosomea uchumi wa kilimo...
  16. Katazo Batili la Mikutano ya kisiasa liondolewe ili kurudisha nchi yetu kwenye mapambano ya hoja

    Mwalimu Nyerere aliwahi kunukuliwa miaka kadhaa iliyopita akitamka kwamba " CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI " hapa alimaanisha kwamba Uhai wa Chama chochote cha siasa unategemea na harakati za kisiasa za chama husika kwa kunadi sera zake hadharani kwa wananchi kwa kutumia...
  17. Watanzania tuviunge mkono vyama vikubwa viwili vya kisiasa kwa maendeleo ya nchi yetu

    Hotuba ya mama imenikosha sana. Nina imani watu wengi imewafurahisha na wanamwombea asibadirike bali azidi kuboresha zaidi. Kila mtanzania mpenda maendeleo na uhuru wa kweli anataka kiongozi msikivu na anayejali sauti za watu. Tanzania ni yetu sote na wote tunastahili kufaidi mema ya nchi yetu...
  18. E

    Kati ya hivi ni kipi kinafanya uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja kukua

    Kati ya hivi ni kipi kinafanya uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja kukua 1. Je kutoza kodi kubwa kunafanya uchumi kukukua? 2. Je kutoza kodi kidogo kunafanya uchumi Kukukua? 3. Je kufanya kazi za udhalishaji mali kwa bidii kwa, masaa mengi kunafanya uchumi kukua? Lete jibu hapa na...
  19. Kwenye hili la pembejeo za kilimo, Rais kaongopewa na ni hatari kwa taifa

    Leo wakati Mhe. Rais Samia Suluhu wakati anaawaapisha Makatibu/Manaibu na viongozi wa Utumishi alihutubia na kuzungumzia changamoto za baadhi ya Wizara alizungumzia kwa ufupi sana Changamoto za KILIMO. Amesema kuna changamoto ya Nzige kwa majirani hili si TATIZO la MKULIMA wa Tanzania. Amesema...
  20. F

    Jicho la tatu kwa mabalozi wetu nje ya nchi

    Kwa jinsi navyoona mwelekeo wa serikali ya Mheshimiwa. Mama Samia Suluhu Hassan ni wazi anataka kufanya mabadiliko ya kiuchumi, sasa tumsaidie ili tuwezekuwa na diplomasia ya uchumi wa kweli na biashara sio siasa na uongozi . Maana Mheshimiwa Samia ameanza na Wizara mbalimbali, kaja makatibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…