nchi

  1. J

    Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina nguvu, angalia walivyozimeza CUF na ACT pia Chadema haijawahi kupata mbunge!

    Unapoizungumzia Zanzibar usiangalie udogo wake kijiografia au idadi ya watu bali tazama maarifa waliyo nayo vichwani mwao. Tanganyika ni kubwa na ina raia wengi lakini ndiko walikojazana walugaluga, washamba wa madaraka na vinara wa ufisadi wa rasilimali za nchi. Hata hivyo Mungu ni mwema kila...
  2. beth

    Marekani ambayo imekosolewa kwa kuhodhi chanjo itagawa dozi Milioni 60 za AstraZeneca na nchi nyingine

    Marekani itagawana dozi za Chanjo ya AstraZeneca zipatazo Milioni 60 na Mataifa mengine. Licha ya kuwa Mamlaka hazijatoa idhini ya AstraZeneca kutumika kwa Umma, Marekani imekuwa na akiba ya Chanjo hizo. Wakosoaji wamekuwa wakiishutumu Marekani kuhodhi Chanjo wakati Nchi nyingine zina uhitaji...
  3. Ileje

    Kutenganisha kofia ya Urais wa nchi na Uenyekiti kutaisambaratisha CCM

    Uimara na kuendelea kudumu kwa CCM kunatokana na nguvu za dola, nje ya hapo CCM ni chama dhaifu sana. Ndani ya CCM kuna wanachama waganga njaa wengi sana ambao maisha yao nje ya chama hayawezekani. Hivyo ili wanachama hawa waishi maisha ya heshima watafanya kila hila ili mwenyekiti wao awe Rais...
  4. Z

    TRA na Wizara ya Biashara tumieni njia hizi kukusanya kodi. Kila mwananchi lazime atalipa kodi na nchi itapaa kiuchumi

    Heri ya sikukuu ya Muungano, Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti. Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M pesa,halopesa,Tigo pesa,aitel money, ttcl pesa,nk) na mitandao ya bank ( simbaking). I tell this is the only...
  5. Y

    Vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida, rais wa Chad aliuawa na Waasi

    Hakika hayati magufuli atazidi kukumbukwa vizazi na vizazi kwa maneno yake yenye maono alikuwa mara nyingi kwenye hotuba zake anasema "vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida" hii kauli nimeitafakari sana baada ya kuona yaliyotokea nchi ya chadi juzi kiongozi wao...
  6. TheDreamer Thebeliever

    Nchi haipaswi kuendeshwa kisiasa. Afya ya mwananchi isifanyiwe kama mtaji wa kisiasa

    Habari wadau! Nawasalimu kwa jina la Bwana na Allah. Hivi mpaka lini serikali itaendelea kufanya siasa kwenye maswala ya msingi kama Afya? Kila siku wanajinasibu kwamba matibabu ni bure kwa wajawazito na watoto, ila ukweli swala hili nilipingana sana na wife baada ya kuniaminisha kwamba...
  7. J

    Benki kuu: Nchi ina fedha za kigeni za kutosha hata kama shughuli za uzalishaji zitasimama kwa miezi sita!

    Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha. Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi. Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya...
  8. Tony254

    Kenya inaunda pilot boats tatu na nchi iliyoagiza ni Tanzania

    Kuna hizi pilot boats tatu ambazo mumeagiza tuwatengenezee. Kampuni inayounda ni kampuni inayoitwa SECO engineering ya Mombasa. Tuko karibu kumaliza na by June boats zitakuwa tayari. Sisi ni jirani wema na tunawajali. Kenya ni nchi ya viwanda ndio maana tunawajengea pilot boats. Pilot boat...
  9. BAK

    Nchi nyingi duniani zimewazuia wasafiri toka India kuingia kwenye Nchi zao, Tanzania tunasubiri nini?

    Covid: India on UK travel red list as Covid crisis grows Coronavirus pandemic A medic tests a bus passenger in Jaipur, Rajasthan, India, on Thursday India has joined the UK's travel red list - effectively banning travel - as a deadly second wave of infections sweeps the country. British and...
  10. Kipenzi Changu

    Nchi inapata hasara ya bilioni 16.7 kutokana na ubunge hewa wa kina Halima Mdee

    Wakili Emmanuel Chengula amechambua hasara inayosababishwa na ubunge hewa. Taifa letu litapata hasara Kama ifuatavyo endapo Bunge litaendelea kuwakumbatia wabunge 19 ambao hawana chama, na waliofutwa uanachama na chama Cha CHADEMA, na hivyo kukosa uhalali wa kuitwa wabunge kwa mujibu wa ibara...
  11. Azizi Mussa

    Siasa za mimi Vs wengine sisi Vs wao na hatma ya nchi yetu

    Ndugu zangu, kuna tatizo lipo lakini ni kama kila mtu anajaribu kulifumbia macho wakati katika hatua yake ya juu kabisa itakuwa ni hasara ya watu wote. Katika mazingira mbali mbali unakuta mtu anatetea kitu si kwa sababu kitu hicho ni sahihi bali kwa sababu kulingana na upande aliopo kwa wakati...
  12. Infantry Soldier

    Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

    Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na taifa kubwa la Tanzania. Hii ni nini kama sio "Cyberbullying"? Nimesikitishwa...
  13. YEHODAYA

    Zanzibar nchi ndogo yenye nguvu ambayo imekuwa ikiamua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano awe nani

    Zanzibar ndio imekuwa ikiamua Rais wa muungano awe nani Mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuwa taifa moja la Tanzania. Swala likaja nani awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania? Nyerere hakutaka kujikweza akaona amwambie Rais Karume kuwa awe yeye Karume. Karume akakataa katakata...
  14. Roving Journalist

    Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  15. Red Giant

    Mtanzania hahitaji Visa kuingia katika nchi hizi

    VISA FREE DESTINATIONS FOR A TANZANIAN 5 February 2016 Sakina Shabbir Manji Most countries require a Visa with your Tanzanian passport in order to enter. However there are some visa free countries that will allow you to enter their premises without a visa or will provide you with one as soon as...
  16. MC44

    Mpunga wa nchi kavu

    Wanandugu, Naomba kupata namna ya kufanya kilimo cha nchi kavu. Kama kuna mahali kuna bandiko zuri naomba kuunganishwa nalo. Sijawahi kulima mpunga popote.
  17. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Wakubwa Shikaamooni Wadogo zangu Habari zenu. Mimi ni Mwanamke sijaolewa na sina watoto. Naishi na kumlea Mama yangu Mzazi ambae ni mtu mzima ananitegemea kwa kila kitu na watoto wa Marehem Kaka yangu ambao walikufa siku moja kwa ajali na Kaka yangu hao watoto wako 3 Yatima, wananitegea...
  18. M

    Nchi 16 zinazotumia Tigo South America na central America

    Mzuka wanajamvi! Hizi ndizo nchi 16 zinazotumia mtandao wa simu Tigo. Katika bara la South America na Latin America (Central America) South America Argentina, Uruguay, Brazil, Paraguay, Bolivia, Chile, Peru, Colombia, Mexico Central American countries. Costa Rica El Salvador Guatemala...
  19. Sky Eclat

    Maisha mapya katika nchi za watu

    Hii story inamhusu Henry, kijana wa miaka 32 aliyekuwa mhudumu wa bank kwa miaka 10. Ana mke na watoto wawili wa kiume. Siku mojja waliitwa kazini na kuambiwa bank wanapunguza wafanyakazi, alilipwa kiinua mgongo milioni 15. Alifikiria jinsi atakavyo endesha maisha na ile pesa. Aliamua...
  20. stakehigh

    Ukweli ni upi kati ya vyama hivi viwili kuhusu dira ya kweli ya maendeleo?

Back
Top Bottom