nchi

  1. Nchi inapokosa maono hulazimika kutekeleza maono ya mataifa mengine. Hii ni aibu kubwa, viongozi na watanzania tujitathmini

    Imekuwa ni kawaida kusikia wanasiasa kwa mfano wanatoa matamko yenye hamasa juu ya kuongeza mara soya, mara ufuta mara castor oil kwa kuwa wachina wanahitaji, nk. Kwa hiyo kama nchi tumekuwa bendera kufuata upepo kwa muda mrefu. Ndio maana hata baada ya kuanza kuendeleza bandari ya Dar, Kilwa...
  2. Viongozi wetu someni kitabu hiki kitaikomboa nchi nchi yetu

    Why Nations Fail: A Summary Why Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity and Poverty (2013) by D. Acemoglu and J.A. Robinson. Overall Summary… Developed countries are wealthy because of ‘inclusive economic institutions’ – Basically a combination of the state and the free market in which...
  3. Mwambe: Tumuache Rais Samia, anafahamu wapi atafikisha Nchi yetu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Geoffrey Mwambe amesema anatamani wale wanaojaribu kutoa ushauri wa hapa na pale kuhusu nini Rais afanye wampe nafasi afanye kazi yake. Ameeleza hayo leo Bungeni Dodoma Amesema, "Anaifahamu kazi yake, alikuwepo kwenye kupanga mipango na yeye ni...
  4. Looking for Promotion my Debut Song at your TV and Radio

    Looking for Promotion my Debut Song at your TV and Radio. [
  5. Awamu ya Tano nchi ilijengwa zaidi upande mmoja

    Ninaingalia Tanzania na na idadi ya Mikoa, Wilaya, Tarafa, Kata, Vijiji na Vitongoji vyake na idadi ya miradi ya maendeleo inayoguza moja kwa moja mikoa, wilaya, tarafa, kata na vijiji kama vile maji ya kunywa, barabara, madaraja, shule, hospitali, umeme, ujenzi wa huduma za benk. viwanja vya...
  6. Kwanini dawa zinazozalishwa nchini bei ipo juu kuliko za nje ya nchi?

    Dawa nyingi zinazozalishwa hapa bongo tulitegemea ziwe bei chini kuliko zile zinazotoka nje lakini mambo ni kinyume chake kabisa. Mfano wa dawa hiyo ni Azithromycin. Dawa inayotengenezwa Tanzania(Azuma) ina bei ya jumla 2300-2450 kwa pakti moja ya vidonge vitatu. Zingine kutoka India unakuta...
  7. Jinsi Freeman Mbowe alivyofanyiwa umafia ndani ya nchi yake

    December 2018 Freeman Mbowe na Ester Matiko walikamatwa kwa madai ya kuruka dhamana kwenye kesi ya uchaguzi iliyokua inawakabili. Walidaiwa hawajahudhiria mahakamani mara 3 hivyo wakafutiwa dhamana. Mbowe alikua Afrika Kusini kwa matibabu. Hata hivyo mara zote aliwakilishwa mahakamani na...
  8. Endapo Serikali itaacha kutumia mabavu kukusanya kodi, wafanyabiashara wapo tayari kulipa kodi bila kudanganya na kofoji "documents"?

    Wote ni mashahidi kwa namna ambavyo watanzania wengi ni wagumu kufuata utaratibu pamoja na sharia halali zilizowekwa. Wengi wetu tunapenda sana kupata mali kirahisi na kwa njia ya udanganyifu ama rushwa. Sasa je, serikali ikaamua kutumia upole na njia laini kukusanya kodi Watanzania wangapi...
  9. S

    Mnayemlalamikia ni marehemu ameondoka na ushahidi wote - Tujenge nchi yetu tusikubali kurudi nyuma

    Ushahisdi umepotea msitafute kuwaonea wanyonge,aliepita alikuwa ni chuma cha puwa, ameondoka na ushaidi sasa makelele ya nini? Yaani kama ni kupiga ndio ameshapiga, sasa mtafanya nini? Hata mkiwapeleka mahakamani waliokuwepo watamtupia lawama marehemu si mahakama si wahusika wote aliwaweka...
  10. Rais Samia Suluhu Hassan, Maendeleo ya nchi hayaletwi na Wachuuzi bali huletwa na watu ambao ni Creative

    Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na mara nyingi inakuwa nchi ambayo wananchi wake wanajiamini na hawaogopi kukabialiana na tatizo...
  11. Akiwa nje ya nchi, amezingatia tahadhari

    Leo Rais Samia akiwa Uganda, ameonekana kwa mara ya kwanza [kwa nijuavyo mimi] akiwa amevaa barakoa. Maajabu! Pia, akiwa huko na mwenyeji wake, pamoja na kuvaa barakoa, ule ukaaji wa mbalimbali pasipo na kurundikana na kujazana kwenye sehemu moja nao umezingatiwa. Nitpicking: she doesn’t...
  12. B

    Hayati Magufuli hakupata muda wakukabidhi nchi, je hakuna watu wamekalia fedha na rasilimali zetu?

    Tumezoe kwenye familia tukiulizwa anayedaiwa na Marehemu ajitokeze, anamdai Marehemu ajitokeze. Kauli hii inaungwa mkono na kampeni yakuandika husia. Husia serikalini nikukabidhi Mali na dhamana uliyopewa kwa mrithi wako. Ni bahati mbaya kwamba Mzee wetu JPM alitwaliwa katika ulimwengu huu bila...
  13. Ni nani aliyeruhusu Mbowe na Zito kabwe kuongea na taifa wakati mkuu wa nchi akiwa nje ya nchi

    Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie...
  14. Tatizo la maprofesa wa nchi hii ni kukariri na kukaririsha-By meningitis 2021

    Tuna lundo la maprofesa nchini Tanzania lakini kwa takribani miaka 54 baada ya uhuru Tanzania hatukuwahi kuona maendeleo yenye tija na yenye kuakisi kazi za maprofesa hawa. kwa kipindi cha miaka mitano tumeshuhudia maendeleo yaliyotokana na maamuzi ya kitanzania na yalioachana na kukariri njia...
  15. Kuibuka kwa suala la bandari ya Bagamoyo ni uthibitisho kuwa Kikwete ndo anaeongoza nchi kwa sasa!

    Hivi karibuni kumeibuka suala la bandari ya bagamoyo ambayo mh. Hayati JPM alilikataa kwa kuwa mkataba wake ulikuwa wa kinyonyaji. Hivi karibuni suala hilo limeibuka tena upya na spika wa bunge ameonekana kulikingia kifua na kudiriki kusema kuwa Mh Rais alishauriwa vibaya. Je, Mh Ndugai...
  16. T

    Kwa ripoti hii ya CAG, ingekuwa nchi kama China kuna watu wangenyongwa

    Na Thadei Ole Mushi. Someni Ripoti ya CAG, Kuna madudu mengi mno mengine yanatia kinyaa kabisa. Ukurasa wa 70 wa Ripoti hiyo unazungumzia issue ya Kucheleweshwa ujenzi wa kiwanda Cha Pamba kule Simiyu. Naomba kuinukuu hiyo Ripoti neno kwa neno: "Mnamo tarehe 11 Novemba 2016 Ofisi ya Mkuu wa...
  17. Nchi za mabeberu wana Ramani zinazoonyesha maliasili ilipo Tanzania na nchi nyingine mbili. Wao wanaamini walitukabidhi tuwatunzie lakini si zetu

    Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani. Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya diseli na petroli kufikia mwaka 2030 na wameazimia kuanza kutengeneza magari zaidi yatumiayo betri. Hata...
  18. Ndugai: Wabunge ishaurini Serikali, iendelee kununua ndege au isitishe

    Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa. Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla...
  19. Kwa analysis niliyofanya, CCM wasipokuwa makini 2025 watanyang'anywa nchi

    Nilichogundua wananchi wengi wanaoipenda CCM ni kwasababu ya Magufuli. Sasa hapa ndio pana mtihani. Nadhani mnakumbuka jinsi walivyokuwa wakimuaga kwa shangwe. Sasa nimegundua kuna uwezekano mkubwa tayari watanzania wameanza kuigeuka CCM. Na hii ni kwasababu tu viongozi wameanza kwenda kinyume...
  20. Mradi wa Bagamoyo na Mundelezo wa kundi la "CCM" kuendelea kuila nchi kwa mrija

    Ikumbuke kwamba mambo mengi yanayopitishwa na bunge au kwa lugha raisi "kikundi laghai cha CCM" yanapita kwa njia moja kuu. Njia hii ni kuwahonga mabilioni ya pesa wabunge, individually yaani mmoja mmoja, na hatimae wote wanakuwa kitu kimoja. Wakishakuwa kitu kimoja wanaanza kuimba wimbo mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…