nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tuiombee nchi ya Israel: Haikanushiki kuwa Israel ni Taifa teule la Mungu. Hii haina maana kuwa Waisrael wote hawana makosa, tuwaombee

    Tatizo la msingi la Wayahudi ni kauli yao hii waliyoisema juu ya Yesu: Math 27:25. Wakasema damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu! Tuwaombee Mungu awape kutubu na kupokea rehema. Natamani Mungu awajalie kutubu kama taifa la NINAWI lilivyotubu kwa mahubiri ya Nabii Yona!
  2. JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi na uvunjaji mkubwa wa sheria

    Ukitaka kujua nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi mkubwa na uvunjaji wa sheria angalia mambo haya mawili tu yaliyopigiwa kelele sana na wananchi. Kwanza kuna wale wabunge 19 wa chadema waliyotimuliwa uanachama na chama chao. Utaratibu tunaoujua tanzania mbunge akitimuliwa uanachama na chama...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi Afrika, Jijini Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=SJN3jOLB9G8 === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama za nchi za Kiafrika ni bure kabisa, hakuna kitu!

    Huu upumbavu wa uonevu kwa double standards za kisheria utaendelea hadi lini? Bora kichaa au mlevi asimamie kesi kuliko Mahakama za Africa. Mwizi au mbadhirifu wa billioni 12 anasomewa hukumu yenye upenyo wa faini kiduchu, wakati anayekutwa na nyara ya hovyo tena nyara ya kutibu njaa yenye...
  5. L

    JamiiForums Tanzania CIIE ni jukwaa bora kwa nchi za Afrika zilizojiunga na BRI kuingia kwenye soko la China

    Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kilimo kutokana na msukumo wa mifumo mbalimbali kama vile Pendekezo la...
  6. JamiiForums Tanzania Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

    Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani? Hata...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi nyingi zakatisha mahusiano na Israel. China waifuta kabisa kwenye ramani. Tanzania tufuatie

    Mpaka nikiandika mataifa yaliyokarisha uhusiano na Israel yamefikia 9. Kwa unyama inaofanya taifa hilo hasa kuuwa watoto ikifika kesho jioni watakaokuwa wamebaki watakuwa ni wachache. Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazikuwa na mafungamano na taifa hilo ovu mpaka baada ya miaka mitatu...
  8. JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro unaonekana Ofisi Za chama fulani cha upinzani Kilikoni?

    CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi. Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM. Cha kushangaza zaidi leo jumapili...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo haya ndio yanaidharaulisha Nchi yetu hadi kuonekana imekufa

    Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball, ni sawa na kumkejeli . Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia, UWT, UVCCM, LUMUMBA, CHIMWAGA na KIZIMKAZI, hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80%...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna Kiongozi Mbovu nchi hii kwa sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nikamatwe niwekwe lokapu,nikitoka nitakuwa na adabu na nitaanza kusalimia! Kama kuna mambo yanafanya kama Taifa tusisonge mbele ni kubarikiwa kuwa na watu wapumbavu wa viwango vya juu kuliko maelezo! Sijajua ni nani amesmshauri kufanya ujinga anaoendelea...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Kagame: Ni Ruksa wa Raia wa Nchi yoyote ya Afrika kuingia Rwanda bila Viza

    Siku chache baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa Kenya itafuta utaratibu unawalazimu Raia wa Nchi zote Afrika kuingia nchini humo kwa kutumia Viza hadi kufikia mwishoni mwaka 2023, Rais Paul Kagame wa Rwanda ametangaza kuwa Raia wa Nchi zote za Afrika hawahitaji tena kuwa na Viza kuingia...
  12. JamiiForums Tanzania Maagizo ya Viongozi wakuu wa Nchi kwa Vyombo vya kiuchunguzi

    Habari za asubuhi wadau. Kuna jambo naona Viongozi wetu wa kitaifa wanapoaamua kufanya maamuzi kwa mambo ya kitaifa juu ya wizi na ufisadi kwa Halmashauri Fulani isiishie kuwa timua tu watumishi wa Halmashauri Bali hata watumishi wa vyombo vya uchunguzi maana ni watu wameishi pamoja na hao...
  13. JamiiForums Tanzania Unafiki wa nchi za kiarabu ndio uliowezesha kuzingirwa kwa Gaza

    Vita vinavyoendelea mpaka kufikia leo vimepitia hatua nyingi na za wazi.Kila mwenye kuelewa alielewa kilichopangwa kutokea.Hii ni kwa vile vita hivi kati ya Israel na wapalestina vimepiganwa katika namna za kisasa tofauti na vita vilivyotangulia vya mwaka 148 na vile vya Yom Kipur vya mwaka...
  14. JamiiForums Tanzania Dotto Biteko: Tumsaidie Rais Samia kujenga Nchi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewashukuru marafiki na wanafunzi aliosoma nao katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Mwanza (SAUT) na kuwataka kufanya kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza azma ya kujenga uchumi wa nchi na Watanzania. Ujumbe...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Nchi za SADC kukutana kwa dharura nchini Angola tarehe 04 Novemba, 2023

    Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wanatarajia kukutana katika mkutano wa dharura Jijini Luanda, Angola tarehe 04 Novemba, 2023. Mkutano huo unalenga kujadili juhudi za SADC katika kuimarisha hali ya amani, ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

    Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k. Kama ni kwamba wenzetu hao hawana hata udokta wowote lkn wanai-run Dunia, sisi tulio na madokta...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Haki ya kutoa maoni ni haki ya kila Mtanzania kulingana na katiba ya nchi

    Hivi karibuni kauli ya Paul Makonda imedhihirisha katika ukandamizaji wa Uhuru wa Kujieleza nchini baada ya kusema wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni. Wastaafu wana haki ya kutoa maoni yao kama watu wengine hasa maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine huwa ni ushauri mzuri. Katika Katiba...
  18. JamiiForums Tanzania Hii nchi inawahitaji kina Paul Makonda wengi

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,tofauti na hapo utaula wa chuya! "Watu wanaopaswa kufa kwenye hii nchi ni wengi kuliko walio hai" Hii nchi ya Tanzania bila kuwa na kiongozi Katili,muonevu,mtoa amri za kutisha na asiye cheka cheka ovyo hatuwezi kusonga!. Mfano mzuri ni Chuma Cha Pua...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Korea ya Kaskazini Yafunga Balozi Zake za Nje Katika Nchi Kadhaa

    01 November 2023 Seoul, South Korea Korea ya Kaskazini yafunga balozi zake kadhaa ikiwemo ya nchini Spain, Angola na Uganda. Hii ni kufuatia hali mbaya ya kifedha kufuatia vikwanzo vya kiuchumi ambavyo vimeikaba nchi hiyo ikiyokaidi kufunga mradi wake wa kuwa na silaha kali za nuclear, ambapo...
  20. JamiiForums Tanzania Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

    Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones ‘Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…