nchi

  1. Wanafunzi Kukosa Viatu ni ishara ya wazi ya Umasikini wa nchi

    Huko Rwangwa ambako Rais Samia yuko ziarani , na ambako kila mwananchi aliyehudhuria Mapokezi ya Rais ameonekana ameshika bango la kumpomba , Wanafunzi hawana viatu . Ndiyo maana Chawa wa Mama wameamua kuomba hela wanakojua wenyewe na kugawa kwenye Kaya Masikini huku wakiongozana na mama...
  2. K

    Mikoa ambayo haina majiji lakini inachangia pakubwa kwenye uchumi wa nchi

    Kwa observation zangu ni: 1. Kilimanjaro 2. Mara 3. Geita 4. Iringa 5. Songwe 6. Pwani 7. Morogoro NB: Kuna mikoa kama singida ni ya kuhurumiwa tu.
  3. Ufisadi hauwezi kuisha sababu mkuu wa nchi ana 'double standard'. January Makamba alipiga dili la Mahindira Tech hakung'aka

    Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi. Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka. Hii ni double standard 👇
  4. Mtanzania usijiroge kwenda kutafuta maisha nje ya nchi. Tanzania kuna maisha yote

    Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni. Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje. South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama...
  5. K

    UFISADI: Angela Kizigha, Abdluhalim Hafidh na Hamad Masauni katika kashfa nzito

    WADAIWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA DAISY GENERAL TRADERS KUKWAPUA MABILIONI FEDHA TOKA BANK KUU (BoT) 4/9/2023: 21:30 HRS Western Indiana. Taarifa za ndani zinatujuza kama ifuatavyo. Genge la walafi na wakwapuaji Fedha za walipa kodi likiongozwa na Angela Kiziga, Abdluhalim Hafidh Ameir na...
  6. Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

    Je Tundu Lisu Ameenda kutoa ripoti na mrejesho Kwa Wanaomfadhili? Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu. Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa...
  7. Nchi pekee ambayo ukiwa upinzani basi utakosa amani

    Wasaalam wana jamvi. Nakumbuka kipindi cha nyuma tulipokuwa primary tulikuwa tunaletewa kadi za chama cha kijani na tukilazimishwa wote kusaini kama wanachama wa hicho chama. Naona sasa hiyo kitu kama bado ipo vile maana kila wanachokiona mbele ni chao. Hivi jamani inakuwaje mtu kupangiwa...
  8. Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

    Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini. Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!! Kuna...
  9. Kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa kwa sheria za kawaida ni ukiukwaji wa katiba ya nchi hii

    Kuna sheria iko jikoni yenye kulenga kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa na kuhakikisha wenza wa viongozi hao kulipwa 25% kama mafao ya kustaafu. Pia familia zao kuvuna 60% ya mshahara mara baada ya viongozi wa kitaifa kufariki dunia. La ajabu, huu muswada pamoja na kuchochewa na mapendekezo...
  10. Hivi kuna hivi vifaa nchi hii?

    Habari za muda huu wadau, Nauliza kwenu hivi naweza kupata wapi vifaa vya kutengeneza ''Mini Tv cable"..Yani nakua na visimbuzi vitatu Azam,DSTv na startimes halafu na vicombine chanell zake naangalia kwenye tv 3 tofauti pia. Let say Nina king'amuz Cha Azam , DSTv na startimes.. ..jikon...
  11. Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

    Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana... Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi...
  12. L

    Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea...
  13. Sheria na Katiba ya nchi sidhani kama inatambua kuna vitabu vitakatifu. Utakatifu wa vitabu unapimwa na nini?

    Kwema Wakuu! Nimeona tujadili Jambo hapa kuhusu baadhi ya kauli za Watu hasa viongozi wa kisiasa wanaposema vitabu vitakatifu, sijajua wanazungumzia vitabu vipi. Na hivyo vitabu vinavyozungumziwa je kisheria au Katiba ya nchi yetu inatambua kuna vitabu vitakatifu? Nini vigezo vya kitabu...
  14. Kama nchi tungeiweka rehani kwa Lissu ingekuwaje?

    Hotuba ya Dr Samia jana imenipeleka mbali sana kutafakari kama tungefanya makosa tukaikabidhi nchi kwa Lisu ingekuwaje. Samia wewe ni Muungwana nimekuelewa vizuri, sisi ambao tumepata bahati ya kuziona nyakati zote za uongozi wa Nchi hii tunauona mzigo mkubwa uliojitwisha wa kuiongoza Nchi...
  15. Ni kweli kabisa hatupaswi kujilinganisha na nchi nyingine!

    Naungana kabisa na mheshimiwa Rais, kwenye suala la katiba hatupaswi kuwa na haraka kwa kujilinganisha na nchi nyingine. Vivyo hivyo hata kwenye masuala ya ukusanyaji wa kodi hatupaswi kujilinganisha na 'wenzetu Indonesia, Japan, Austraria' nk maana ni kweli hatufanani! Mara kadhaa tumekuwa...
  16. Mkutano wa mazingira wa ITAC 2023 kufanyika Arusha, kushirikisha Nchi sita

    Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (International Transparency and Accountability Conference - ITAC) unaotarajiwa kufanyika Septemba 28 na 29, 2023 wenye lengo la kutoa elimu na kuibuka utatuzi wa changamoto za mazingira unatarajiwa kushirikisha Wadau 300 kutoka Nchi sita...
  17. Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya Watu Wanaojiua

    Wakati Bara la Afrika likiendelea kukabiliana na masuala muhimu kama vile Umaskini, ongezeko la Magonjwa Yanayoambukiza na Yasiyoambukiza, na Mtikisiko wa Masuala ya Kiutawala katika baadhi ya Nchi, Matukio ya Watu kujiua nayo yanaendelea kuwa janga linalokua kwa kasi. Mbali na changamoto za...
  18. Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

    Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi. Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania. https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Japokuwa Nchi yetu inashika...
  19. Nchi 12 zenye Demokrasia Bora Barani Afrika

    Bara la Afrika bado linakabiliwa na changamoto kubwa kwenye masuala ya Demokrasia duniani, kwa mujibu wa Ripoti ya Economist Intelligence Unit (EIU), 12% tu ya Nchi za Afrika zina kiwango bora cha Demokrasia zikiongozwa na Mauritius. Nchi zenye kiwango kibaya zaidi cha Demokarasia ni pamoja na...
  20. R

    Kwa mwaka 2023 Tanzania pekee ndiyo nchi ya SADC na EAC yenye records kubwa za kuweka wapinzani mahabusu, unadhani kwanini tumekaa kileleni?

    Nchi za SADC na EAC zina mfumo wa kidemokrasia na zinatumia katiba somehow inayoendana na Tanzania. Zina sheria na kuna wapinzani ambao baadhi yao wameweza hadi kuongoza nchi mfano Zambia. Lakini upo ustaarabu flan wa dola ambao umejengeka.; Ni aidha mpinzani kwenye nchi nyingine upo dhaifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…