Ivi ndivyo Nchi Walivyotaka Kuiongoza Lakini Sio Kama Ule Uongozi.

Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya mungano...... mtamalizia wenyewe!

View attachment 2914344
Hivi kwanini malope na na ya Mbeya wasinyongwe aise Kwa uhujumu uchumi aise.
Hii kaya kwakweli hamna. Nikikumbuka huyu Afisa kilimo anayesota jera miaka 20 kisa tsh.500000/= za POSI machine. Halafu malope na ya Mbeya wanaendelea kula mema ya kaya. Pamoja na haya yanayoendelea. Hii Nchi tumerogwa vibaya mno. Ni maiti zinazoishi!
 
Yani kila mtu anafanya analotaka, wengi wanasema yawezekana, hiyo kampuni ya majenereta itakuwa ni kigogo huko serikalini.
 
Back
Top Bottom