nchi

  1. JamiiForums Tanzania Single mother wote nchi hii karibuni mkoa wa Mara,Ukuryani, kwa nini uteseke? Kwa nini ujione kama ulikosea hii dunia? Hakika hutojutia

    Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu " Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni? Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

    Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa. Chichi dodo
  3. JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu Lameck Nchemba tumia elimu uliyonayo, okoa uchumi wa nchi. Hali sio hali

    Hali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya. Kodi ni kubwa sana. Watu wanashindwa kufanya biashara. Biashara inafungwa, watu wanahifadhi pesa zao...
  4. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Halmashauri zitumie vyanzo hivi vipya kupata kodi endelevu kwa maendeleo ya nchi

    UTANGULIZI Halmashauri nyingi nchini zimekua zikitumia vyanzo vya mapato vile vile miaka yote, hakuna ubunifu wa vyanzo vipya, halmashauri nyingine zimekua mizigo kwa Serikali kwa kutegemea fedha nyingi kutoka Serikali kuu ili kujiendesha huku zikiwa na vyanzo vingi vya mapato ambavyo...
  5. JamiiForums Tanzania Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

    Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa...
  6. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kilimo biashara kitainua uchumi wa nchi na kuondoa umasikini

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya Afya inawahujumu wanafunzi walioko masomoni nje ya nchi

    Pamoja na kwamba ni jambo jema kuutangazia umma kua wanafunzi kadhaa wamepata ufadhili kupitia wizara ya afya(siku hizi wamebadili jina wanaita Dr Samia super-specialized scholarship program), lakini nyuma ya pazia wanafunzi hao wanateseka haswa. Mimi nafanya kazi moja ya nchi huku ughaibuni...
  8. JamiiForums Tanzania Je, kuungana kwa nchi za Afrika kuwa nchi moja kunaweza kuwa na manufaa?

    Africa inaweza kuungana na kuwa taifa moja ambalo litakuwa tishio sana duniani mabeberu walisha litambua hilo ndio maana wakafanya kila namna kuweka vikwazo vikubwa sana ambavyo vimepelekea waafrika wengi sana kupoteza maisha,, lakini leo natamani nielezee manufaa Africa ikiwa nchi moja yenye...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mnawafia, mnawatetea watu walio kufa, tufufuke watanganyika tupaze sauti, tuandamane serikali ijue kuwa sisi ndio wenye nchi

    Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui. Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Meneja: Kibu ana ofa tatu kutoka Nje ya Nchi

    Ofa za usajili zilizokuja mezani za Kibu Denis kutoka nje ya Tanzania ni kutoka Misri, Sweden 🇸🇪 na Norway. Amethibitisha meneja wa mchezaji huyo, Carlos Mastermind.
  11. JamiiForums Tanzania Takwimu za talaka nchi mbalimbali

    🇮🇳India: 1% 🇻🇳Vietnam: 7% 🇹🇯Tajikistan: 10% 🇮🇷Iran: 14% 🇲🇽Mexico: 17% 🇪🇬Egypt: 17% 🇿🇦South Africa: 17% 🇧🇷Brazil: 21% 🇹🇷Turkey: 25% 🇨🇴Colombia: 30% 🇵🇱Poland: 33% 🇯🇵Japan: 35% 🇩🇪Germany: 38% 🇬🇧United Kingdom: 41% 🇳🇿New Zealand: 41% 🇦🇺Australia: 43% 🇨🇳China: 44% 🇺🇸United States: 45% 🇰🇷South Korea...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa rushwa wanazokula wafanyakazi wa nchi hii wasiongezewe mishahara kabisa

    Ukweli uko hivo. Anzia mahakamani, polisi, hospital na idara nyingine kote wanajilia rushwa kama wametumwa. Sasa hawa watu hawafai kuongezewa mishahara maana wanazoiba ni nyingi mno. Wafanyakazi waingie makubaliano na serikali wakiacha rushwa ndio waongezewe mishahara na marupurupu mengine...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Angalia Mpaka Mwisho: Hakika hatuhitaji watu kama D. Sanga kwenye Serikali na nchi yetu tunahitaji watu wenye uwezo wa Kujibu hoja na kutengeneza hoja

    Deo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makambako ni mtu ambaye amekuwa na misimamo ya kutetea viongozi wa nchi na kuwasifia mara kwa mara Wakati wa utawala wa Magufuli, Sanga aliwahi kunukuliwa akiwa bungeni kama inavyoonekana kwenye video akisema kwamba anataka Magufuli aongezewe muda. Kauli yake...
  14. JamiiForums Tanzania Nchi imetulia

    Mh. Rais ana wakati mzuri katuliza hisia mood za Watanzania ziko vizuri zinachambua mambo Kwa undani. Uelewa umeongezeka na uwekezaji mkubwa ufanyike Kwa mambo ya utalii miundombinu ni sahihi.hela isimamiwe na watu wote kushukuru Mungu. TUPAMBANE LAZIMA TUTAFIKA WAZEE WANGU HATUPOTEI NI SAHIHI.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru

    30 April 2024 Morogoro, Tanzania Lissu : Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru https://m.youtube.com/watch?v=KqCykOZ1RMY Matendo ya serikali yetu Uasi wa 1964 majeshi Mwl. Nyerere aanzisha jeshi la wananchi wa Tanganyika sharti likiwa lazima...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi ya Jirani kundi kuu la watumishi likiupiga mwingi.. Salary increase

    Wakenya hawana baba. --- Salary Enhancement for Over 100,000 TSC Educators Effective July 2024: A Detailed Examination The Teachers Service Commission (TSC) assumes a pivotal role in the recruitment, employment, and remuneration of educators across...
  17. JamiiForums Tanzania Hoja Sita za Kutaka Mabadiliko ya Mifumo ya Uchaguzi, Haki na Kulinda Rasilimali za Nchi

    Uchambuzi wa ACT Wazalendo kuhusu mpango wa bajeti wa Wizara ya katiba na sheria kwa mwaka wa fedha 2024/25. Utangulizi. Tarehe 29 April 2024 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Bunge liliijadili na kuidhinisha kiasi cha Shilingi Bilioni...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Chadema Wamepata wapi pesa za Kufanya mikutano na maandamano Nchi nzima kuzidi Chama Tawala?

    Nimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wananchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana. Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga. Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo...
  19. JamiiForums Tanzania Kila nchi kumiliki silaha za nyuklia ndio kutazuia uvamizi na vita na kuleta heshima

    Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi. Kinachotakiwa sasa hivi ni kila nchi iruhusiwe kumiliki silaha za nuclear kwa ajili ya ulinzi na hii inaeweza kueleweka vyema...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya na Waganda wanapiga hela sana Somalia. Tupeane mchongo, mnawezaje hiyo nchi?

    Wakenya walio Somalia wanatuma wastani $500,000 kwa siku, noma sana yaani mlifikaje huko na mnavumiliaje hayo mabomu, nchi yenye misuko suko ya kidini. ========= Somalia has emerged as a new source of remittances for Kenya and Uganda, accounting for $180 million and $21.9 million respectively...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…