Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

General Nguli

JF-Expert Member
Apr 22, 2022
1,116
2,285
Wakubwa zangu poleni na uchovu.

Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali.
Naishi maisha Magumu mno. hii ni
Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki.

Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri wake kiburi pia dharau mpaka kwa marafiki na Jamaa zangu.
Ghafla tuu kamchukia mtoto na dada wakazi kaondoka nae kwa ndugu zake.

Labda niulize wewe ulie wahi pitia haya maisha uliponaje.
Uliwezaje kukaa sawa
Na Je.? Mimi ntaweza penda tena mwanamke kama huyu nikaanza maisha mapya na kukaa sawa.

Ila kitu kinacho itwa NDOA, MKE ni vya kutazama kwa Jicho la Tatu na Lanne.
Maana kwa umri huu navyo umia hivi na hisi ningekuwa na Age ya 40+
Sukari Presha vingeniua.

Naombeni Msaada mwenzenu.
 
Mna watoto wangapi? Inaonekana wampenda sana, badilika na mchukulie, kama halali nje au hana shida ni kiburi tu unaweza ishi naye, achana na ujinga wa Kiafrica kwamba mwanaume sijui bla bla bla...

Kama wampenda, ni uanaume pia kujitahidi kumrudisha na kumhakikishia usalama wake. Kwa nini uteseka na mawazo, na mke ni kumshawishi tu arudi, cha maana ubadilike.

Maisha ya kelele na ugomvi kwa mwanamke ni magumu sana na yanaua hisia, badilika, naamini una matatizo, ndo maana kasema kachoka kelele na ndugu zako.

Kupanga, ni kuchagua.
 
Ibada unafanya mkuu? Wewe ni mwanaume, tulia hivyo hivyo usifanye maamuzi mabaya usije juta baadae. Tuliza kichwa mkuu taratibu
 
Mna watoto wangapi? Inaonekana wampenda sana, badilika na mchukulie, kama halali nje au hana shida ni kiburi tu unaweza ishi naye, achana na ujinga wa Kiafrica kwamba mwanaume sijui bla bla bla...

Kama wampenda, ni uanaume pia kujitahidi kumrudisha na kumhakikishia usalama wake. Kwa nini uteseka na mawazo, na mke ni kumshawishi tu arudi, cha maana ubadilike.

Maisha ya kelele na ugomvi kwa mwanamke ni magumu sana na yanaua hisia, badilika, naamini una matatizo, ndo maana kasema kachoka kelele na ndugu zako.

Kupanga, ni kuchagua.
20230817_135849.jpg
 
Mwanamke akikuambia kakuchoka jua wazi kabisa anamaanisha, hivyo jaribu kujitathimini ni wapi ulikosea kama mwanaume. alafu kaanae chini faragha urekebishe nae, ikibidi igiza kujutia maana wanawake wanahuruma sana na uvumilivu upande wa pili.
Jamaa anasema hapo chanzo ni jeuri ya mwanamke, wewe unamshauri akajishushe aombe radhi serious. Kama unatafuta utulivu furaha na amani ya kweli kwenye mahusiano Kuchokwa na mwanamke sio inshu mzee.

Kutaachaje kuzuka magomvi ya mara kwa mara ikiwa unaishi na mtu mwenyewe jeuri, kwenye jeuri maana yake hakuna UTII ni mashindano tuu kila siku, hivyo kama mwanaume ni mtata asiepelekeshwa plus jeuri ya mke hapo magomvi ya mara kwa mara HAYAWEZI KUISHA KAMWE.

Cha msingi mke kujifunza UTII, kubadilika na kutokuwa mjeuri kwa jamaa yake basi.
 
Kama unatafuta utulivu furaha na amani ya kweli kwenye mahusiano Kuchokwa na mwanamke sio inshu mzee. Kutaachaje kuzuka magomvo ya mara kwa mara ikiwa unaishi na mtu mwenyewe jeuri, kwenye jeuri maana yake hakuna UTII ni mashindano tuu. Jaama anasema mwanamke amechoka magomvi,
Ndiyo maana nikamwambia hivi

""hivyo jaribu kujitathimini ni wapi ulikosea kama mwanaume. alafu kaanae chini faragha urekebishe nae""

faragha yake na mwanamke wakehuko chumbani yeye kama mwamba atajua ajilize au afanyaje ila hiyo ya faragja ni siri yake na mkewe..

Wanawake wanahuruma sana na niwavumilivu mwanaume ukijishusha wakati mwingine
 
Jamaa anasema hapo chanzo ni jeuri ya mwanamke, wewe unamshauri akajishushe aombe radhi serious. Kama unatafuta utulivu furaha na amani ya kweli kwenye mahusiano Kuchokwa na mwanamke sio inshu mzee.

Kutaachaje kuzuka magomvi ya mara kwa mara ikiwa unaishi na mtu mwenyewe jeuri, kwenye jeuri maana yake hakuna UTII ni mashindano tuu kila siku, hivyo kama mwanaume ni mtata asiepelekeshwa plus jeuri ya mke hapo magomvi ya mara kwa mara HAYAWEZI KUISHA KAMWE.

Cha msingi mke kujifunza UTII, kubadilika na kutokuwa mjeuri kwa jamaa yake basi.
Kaka unachosema ndo hicho.Kaka huyu mwanamke ni Jeuri mpaka najuta.Ila sasa huu mwaka 5 naishi nae.Sasa dah
 
Back
Top Bottom