Msaada: Naweza kulipia leseni ya Udereva TRA kwa njia ya simu?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,645
35,976
Habari!

Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew).

Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number.

Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu?

Thanks
 
Unaweza cha muhimu uwe na control number japo mule watataka Karatasi hapo ndo mtihani unapokuja
 
Back
Top Bottom