Naweza kuchaguliwa NIT kwa ufaulu huu

Naweza kuchaguliwa NIT kwa ufaulu huu

soldier MAN

Member
Joined
May 13, 2024
Posts
81
Reaction score
158
Kwa ufaulu wa one ya nane ya cbc hgl na mathematics c ya olevel naweza kuchaguliwa chuo Cha NIT kwa kozi ya it,hr na shipping and port logistics
 
Kama BAM ulizingua bas wataangalia O level, changamoto itakua ushindani na admission capacity kwa course husika.

Kama lengo ni IT unaweza kuomba kwa vyuo vingi sio NIT tu, jaribu IFM pale wana IT tu na IT iliyo attached na uhasibu, kuna Mzumbe, Chuo cha Uhasibu Arusha kipo Njiro, kuna CBE, Mwalimu Nyerere na TIA pia angalia japo sina uhakika Kama wana IT.
 
Hgl kumbe IT anaweza kusoma....?
 
Una nafasi kubwa tu ya kuchaguliwa, nikushauri IT iwe ni first choice yako kwa sababu ina ushindani sana kwa sasa.
 
Kwa ufaulu wa one ya nane ya cbc hgl na mathematics c ya olevel naweza kuchaguliwa chuo Cha NIT kwa kozi ya it,hr na shipping and port logistics
IT ya NIT haijaiva ila utachaguliwa. Kama kompyuta umezijulia stationary jiandae kutoka na GPA kubwa ila kazi za kitoto huwezi. Pale theory kwa kwenda mbele hata computer lab yao inawashtaki.

Shipping and Port Logistics inahitaji vikozi vifupi baadae. Kazi sijui kama nyingi ila vyuo vinavyotoa ni NIT na DMI sijui kingine. Kwa mwandiko wako chagua hii.
 
Back
Top Bottom