nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live

    Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu. Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza. Sababu kubwa ni kua...
  2. JamiiForums Tanzania Nataka Kumroga Mo Dewji aiachie Simba SC yetu mwenyewe, je nitapata wapi Mganga hatari?

    Yaani sijui ni kwanini nikiiona tu Sura ya Mo Dewji na Simba SC yangu ilivyo kwa sasa ninatamani hata Kumpiga Ngumi!!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga bundi, lakini jamii hainielewi

    Nataka kufuga bundi kuzuia uharibifu wa panya wa mazao shambani kwangu, ila sasa hii jamii ninayoishi nayo wakiona nakusanya bundi hawanielewi, wanadhani mie mchawi. Halafu mie nawaona bundi wako wa-cute! Nifanyeje? Wasije wakanichoma moto ndani ya nyumba yangu.
  4. JamiiForums Tanzania Nina alizeti nataka kukamua

    Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua mafuta. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege.
  5. JamiiForums Tanzania Nataka kujenga

    Wakuu, mimi ndoto yangu nije niishi kwenye nyumba ya ghorofa hata ikiwa ghorofa mayai, ni sawa tu, Sasa nauliza kwa wataalumu hapa wa Jamii forum, nikiwa na Million 5 siwezi kujenga ghrofa? Sio lazima niimalize ukarabati, lakini niwe na uwezo wa kuifikisha hatua ya kuhamia hata vyumba viwili...
  6. JamiiForums Tanzania Nataka kuoa ila nina wanawake wengi mpaka sijui nioe yupi kwa kweli

    Ndugu zangu Nina wapenzi wakike wengi sana mpaka sijui nichague yupi awe mke wangu Wanawake wangu wanatokea makabila haya na wote nimenyandua baadhi yao wanajuana katika kufumaniwa hapa na pale ila wengine hawajuani kabisa *Muha-2 *Mhehe-2 *Mchaga wa kimachame -4 *Mchaga wa kirombo-2...
  7. JamiiForums Tanzania Pasaka yangu nataka kula na wahitaji

    kama kuna events yoyote imekua organized kwa siku ya kesho kile kidogo nilicho jaliwa nataka kusherekea na wahitaji, kindly may i be recommended with any orphanage center, or any events zinazohusisha wahitaji kindly pm me ill much appreciate it. location Dar es Salaam. Thanks in advance
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nataka Gypsum Board

    Nipo Mkoani, anayeuza Gypsum board na kusafisha nilipo anicheck. Aina ni Thailand.
  9. JamiiForums Tanzania Anataka kuanzisha biashara ya kuuza nafaka, anaomba ushauri

    Ni muda tena. Katika tafuta tafuta zake akaje kunicheki na kuniomba ushauri kuhusiana na duka kiujumla duka la vyakula kama muitavyo nafaka. Maswali aliyouliza. Je, kuanzisha biashara ya kuuza unga, mchele, mafuta, maharage nk inahitaji awe na nini (Vibari gani kisheria) Anamaanisha je...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka nianzishe kabila langu. Je, inawezekana?

    Napata hili wazo baada ya kuona makabila mengi ya Africa yanashindwa kuikomboa nchi kitechnolojia na kiuchumi kisa kua na uwezo mdogo wa kiakili. Nataka nianzishe kabila cha watu wenye akili kama wa Israel (kama unachuki nao kwa kujaliwa akili ruksa kutema povu) Hapa natafuta magenius kama 100...
  11. JamiiForums Tanzania Nijuzeni kuhusu snapchart

    Miezi ya hivi karibuni mwenzangu amekuwa busy sna na hii kitu na mimi binafsi sina ufahamu kuhusu matumizi yake Hebu tirirkeni hpa wakuu abc za huu mtandao angalau nijue kwa uchache maana nisije kuwa nakabia kati kumbe huku zinapigwa kaunta waletee......
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wazoefu naomba mnisaidie, nataka kuoa mwanamke wa kingoni, nini sifa zao kuanzia chumbani Hadi sebuleni?

    Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka ninunue baiskeli kwa mazoezi na safari fupi fupi

    Wakuu kwema. Mkazi wa Dar, nataka ninunue baiskeli kwaajili ya mazoezi na siku moja moja hali ya hewa ikiwa nzuri natumia kwenda nayo kazini (3KM kutoka nyumbani). Naomba ushauri wenu, kwa budget ya mwisho Laki 1.5 naweza kupata aina gani ya baiskeli? Itatosha au niongeze?Je kuna brand ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ni lini tataanza kuweka mikakati ya kupandisha thamani ya pesa yetu?

    Inakuwaje kwamba Kenya, kuanzia kati ya mwaka uliopita, ilishuhudia kuanguka vibaya kwa sarafu yake, Kenya Shilling, hadi kufikia mwisho wa 2023, ilipoteza asilimia 20% ya thamani yake. Shilingi ya Kenya iliwahi kubadilishwa Sh.167 kwa dola moja, kutoka shilling 135 kabla rais Ruto kushika...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nataka niwahi kuhudumiwa TRA na sina connection. Niende muda gani nisaidiwe mapema?

    Naombeni muongozo. Sina connection TRA. Jana nimeenda mchana kuna foleni kali sana. Shida yangu ni kupewa tax clearance ya mwaka huu kwa biashara inayoendelea.
  16. JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

    Matokeo yapo kama hivi Civ C Bio C Chem B English B Phy D Math D History B Kisw B Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
  17. JamiiForums Tanzania Nataka niwe Shameless! Yaani niwe oil chafu

    Kuna staff mwenzetu nilikua nafanya nae kazi yaani yeye ni shameless. Si kwa ubaya lakini najaribu kuonesha tabia yake. Kuna watu ambao ni shameless huwezi msema kwa lolote akadharirika au akaaibika. Hawa wamejitengenezea immunity haogopi, hajali watu wanasema nini, hajali wanafikiri nini ili...
  18. JamiiForums Tanzania KISA CHANGU: Mara ya kwanza kuvuta bangi nilienda kumuomba ushauri mwalimu kuwa nataka kujiua

    JF salaam, Ni miaka takribani 17 tangu kituko hiki nikifanye nikiwa O Level kweli bangi inawenyewe. Nikiwa na marafiki zangu watano mi nikiwa 6 kati yao wa3 walikuwa wanakula bangi na darasani wanafanya vyema sana yaani tano bora muhimu wawemo. Hili lilitufanya tuwaze sana na jamaangu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Nina mtoto ila nataka kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa. Naeleza vipi kwa mwenza wangu huyu?

    Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024. Naomba tumshauri, anatakiwa afanye...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭

    Hii ya leo imeniuma Sana hadi nimelia..... Kuna watu wanaroho mbaya Sana. Wafaanya biashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭😭 Bas mwenzenu Mimi nafanya biashara online, Sina bidhaa Ila nikipta mteja baada ya kupost ndo nikamchukulie. Sasa pale kariakoo nimewazoea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…