Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
646
3,068
Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu.

Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza.

Sababu kubwa ni kua sijawahi kumuonesha ubabe, muda wote nilikua nikimheshimu sana.

Mimi nimegombana na mwandani wangu, et kisha amemkuta analia, anampokonya simu na kumsema kua mimi namsumbua sana mwanae anataka anivae mimi, kwakua sikujiandaa kumchana, nimekata simu, pia bint alikataa kumpa simu.

sipendi tuishi kwa migogoro ila sasa haina jinsi, i have to face the reality, tutaelewana mbele kwa mbele akiwa ananiheshimu

Ni hayo tu, mama wakwe mtulie na ndoa zenu maiingilie mapenzi ya watoto wenu, muda weny ushapita
 
Baba umevutugwa vibaya mno basi ulivyoandika ni kama sisi ndio mama mkwe zako, hasira umezileta huku badala ya kwa mama mkwe.
Tuliza akili, tumia busara tumia hekima, jitafakari na wewe umekosea wapi kabla ya kumvaa mama mkwe. Isije kuwa unamnyanyasa mwanae halafu unataka kuleta undava wako kwa mtoto wa watu.
 
Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu.

Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza.

Sababu kubwa ni kua sijawahi kumuonesha ubabe, muda wote nilikua nikimheshimu sana.

Mimi nimegombana na mwandani wangu, et kisha amemkuta analia, anampokonya simu na kumsema kua mimi namsumbua sana mwanae anataka anivae mimi, kwakua sikujiandaa kumchana, nimekata simu, pia bint alikataa kumpa simu.

sipendi tuishi kwa migogoro ila sasa haina jinsi, i have to face the reality, tutaelewana mbele kwa mbele akiwa ananiheshimu

Ni hayo tu, mama wakwe mtulie na ndoa zenu maiingilie mapenzi ya watoto wenu, muda weny ushapita
victim mkubwa atakua huyo malaika, mtoto, maskini wa Mungu dah🐒

anaweza baadae akaibuka na tabia yake ya kipekee sana, mkafedheheka na kuaibika mno, kama familia Lakini mbele ya jamii inayowazunguka na Taifa kwa ujumla 🐒

mambo haya ya kifamilia, yanahitaji Utulivu wa kutosha, subra na ustahimilivu sana panapokua na changamoto au uzito wa jambo kenyewe 🐒
 
Wewe ndio mwanaume wa kwanza kugombana na mama mkwe,najua hayo mambo ya wanawake na mama zetu wakwe
 
Back
Top Bottom