natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta field( account, finance and planning)

    Naitwa Mourine Elisha, mwanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha( IAA), Niko mwaka wa pili nikichukilia Bachelor degree in Economics and finance. Natafta sehem kwa ajili ya field I'm competent in accounting, finance, economics and planning. Kwa yeyote anaejua au maelekezo anaeweza kunitafta kupitia...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Ubungo

    Chumba 50
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kanga 20 wa kufuga nipo Mwanza

    NATAFUTA KANGA 20 WA KUFUGA MWANZA Wawe bado wadogo jike 15 na jogoo 5 weka bei hapa na mahala wa kuwapata
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nijikimu kimaisha

    Wadau kwema. Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya.. Kazi nazoweza kufanya Kazi ya sales Storekeeper Kusaidia fundi. Kazi ya kusimamia mradi Kazi ya usafi Na kazi nyinginezo...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu Someni kwa furaha 2B. 15,000 ipo hapa.

    Natafuta hiki kitabu chenye hadithi ya bulicheka. Kama unacho kiscan na kunitumia. Nina 15,000 ya shukrani.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi mashambani na viwandani

    Habari wakuu Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 nipo dar Kwa miaka 10 sasa nimekuwa nikijishughulisha na Kazi za ukarani (tally clerk),operation manager, c&f agent na mtunza kumbukumbu za maghala katika makampuni mbali mbali Kutokana na mifumo ya Kazi nilizowahi kufanya nimekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji katika shamba langu heka 10 mkoa wa Arusha

    Napatikana Arusha, shamba liko maeneo ya Nduruma. Shamba liko full drip kwa ajili ya irrigation nahitaji mtu tutakayeingia ubia tufanye kazi ya kilimo pamoja . Tunatumia diesel kujaza maji kwenye bwawa. Bwawa lina uwezo wa kuingia maji lita ml 1.2 maji yakatokea kwenye kisima mita 107. So...
  8. JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yoyote

    Habari za Leo wakuu, Baada ya kuwashawishi kwa muda mrefu hatimae jamaa zangu wamekubali kujiunga na CCM. Hivyo wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yeyote.
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Mhudumu wa kuhudumia Mzee

    Habari. Natafuta Fulltime Mhudumu wa nyumbani wa kumhudumia Baba Mzee. Mzee anahitaji kusaidiwa huduma zote kwani ni mhanga wa Stroke. Sifa za Mhudumu. - Awe ni mzoefu wa kuhudumia wazee au watu wasiojimudu kujihudumia - Awe ni mtu mwenye Upendo na uvumilivu. - Mhudumu wa Kike atapewa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Habari, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimemaliza Chuo mwaka 2020 , natafuta sehemu ya kufanya interniship ili niweze kupata uzoefu katika fani yangu. Nina ufaulu mzuri wa masomo yangu ya engineering (Nina upper second class GPA) na nina ufahamu wa juu kuhusu:- 1. PLC programming...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta spare ya Lexus

    " Ninahitaji front ball joints za upande wa kushoto na kulia. Gari langu ni 1998 Toyota lexus gs 300 au 1998 Toyota aristo" Location: Dar
  12. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi shule binafsi kufundisha masomo ya sanaa

    .
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Beach Plot/ eneo ambalo ni mita chache toka ufukweni sehemu yoyote Dar es Salaam

    Wakuu, Natafuta eneno ambalo ni mita chache toka ufukweni. Sehemu ambayo nitaweza kujenga nyumba ya makazi. Budget yangu ni kati ya Milioni 12 mpaka milioni 30. Hii itategemea na sehemu. Unaweza nicheki inbox kama una eneno na upo serious kuuza. Nitalipa pesa kwa mkupuo pindi tutapo fanya...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye account ya Uber/ Bolt na haitumii kwa sasa

    Salaam, Kama titlle inavoeleza,natafuta ambaye anayo account ya uber/bolt(driver account) na haitumii kwa sasa labda kapata mishe mingine. Kama unayo na ungependa kuitoa kwa mtu kuitumia katika kazi na utapata percentage yako kwa wiki kutokana na makubaliano,tafadhali tuwasiliane kupitia namba...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta jina la huu wimbo mzuri

    Kama kichwa Cha habari kilivyo. Poleni na majukumu. Kuna wimbo nliupenda sanaa, nliusikia Mara moja tu kwenye coaster wakati nasafiri. Hints; 1) Ndani kashirikishwa Juma nature. 2) Huo wimbo ni mpya. 3) Ni dizaini ya nyimbo Kama za kina C Bella. 4) Baadhi ya maneno huko ndani- - Kiitikio...
  16. JamiiForums Tanzania Jiongezee Kipato : Natafuta Mfanyakazi wa Kuziendesha Account zangu za Social Networks

    Kama wewe uko home tu huna kazi yeyote yawezekana upo unatafuta kazi bado hujapata au ni mama wa nyumbani,au ni kaka wa nyumbani kazi yako kubwa ni kuingia mtandaoni kusoma kuangalia dunia inaendaje nk. Leo nimekuja natafuta mtu aina yako,ambaye ataweza Post matangazo 24/7 na kujibu comment za...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, nimesoma Shahada ya Ualimu

    Habari wadau, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, naishi Dar es salam, Wazo, Salasala. Ninashahada ya ualimu wa masomo ya Geography na English, pia naweza kutumia compyuta japo sio sana. Natafuta kazi itakayoniwezesha kujikimu kimaisha. Sio lazima iwe ya kitaaluma, niko tayari kujifunza...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti

    Habari zenu wana JF! Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti, yeyote anayeweza kunisaidia kupata soko, tuwasiliane kwa 0757140014 whatsapp or sms or call. Asanteni
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta tender za kutengeneza Milango ya Mbao za Mkongo

    Nimekuwa nikifanya biashara ya kutengeneza Milango ya mbao za Mkongo toka Mkoani Tabora. Kama unahitaji wewe Binafsi au unaweza niunganisha na Makampuni ya Ujenzi naomba tuwasiliane tuongee biashara. Mbao ni za Mkongo. Haziliwi na wadudu na Haziozi nadhani kwa wajuzi wa mbao wanazifahamu hbr...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Kama kichwa cha habari, kinavyojieleza malengo yangu ni kuhakikisha mpaka mwezi wa 12 nakuwa ndani ya ndoa takatifu hivyo najitokeza kutafuta mke. Mimi nimesoma mpaka a level, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri, mkristo wa KKKT na miaka 34. Mwanamke ninayemtaka umri kuanzia miaka 22 mpaka 38...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…