natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta machine mpya ya kutengeneza juice ya miwa

    Habari ya mwaka mpya wakuu, mwaka wa 2022. nawatakia kila la heri yote, sasa natafuta machine ya kutengeneza juice ya miwa, machine mpya, ni wapi naweza inunua au ni wapi naweza enda kuangiza moja, nasikia hata VETA wanauda machine aa hizo, naomba ushauri wenu waku, natangulia shukrani zangu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta supplier wa Miwa wa uhakika

    Salaam! Wakuu natafuta connections ya muuzaji miwa malipo cash kwa bei ya jumla Tafadhali sihitaji Dalali nataka connections na mkulima mwenyewe
  3. X men

    JamiiForums Tanzania Natafuta health laboratory assistant

    Habari wana JF, natafuta health laboratory assistant kwa ajili ya maabara yangu iliyopo Wilaya ya Nzega Tabora!! Napatikana kwa namba 0621357066
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi mzuri mwaminifu

    Ndugu zangu wa Jamii, Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur. Asanteni sana
  5. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Habari wakuu,Naitwa Geofrey nipo morogoro mjini,NATAFUTA KAZI YOYOTE mahalo popote,ni mtaalamu na mzoefu wa mifugo na kilimo, na afya ya binadamu. Elimu yangu ni kidato Cha sita na chuo. Course animal health/daktari wa mifugo,pia c.o na masuala ya kilimo.contact:0689339355
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuimba

    Habarini wanajamvi. Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume, naishi Dar es Salaam. Mimi ni mdau wa muziki na mtunzi wa nyimbo ingawa napata changamoto ya kupata waimbaji. Ninatamani nijifunze kuimba pia, hivyo basi, kama kuna mdau...
  7. Hans wilson

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1, C2, C3, D, E

    Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1,C2,C3,D,E NA NAUJUA UFUNDI VIZURI NA NIMESOMA VETA NANIMEMALIZA KIDATO CHA NNE NANIMEFAULU. KWA MAWASILIANO (0682600567). BARUA PEPE , hanswilson222@gmail.com.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki Sifa:awe mwanamke, umri 18-99 Awe muislamu Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe mweupe, awe mnene au mwembamba kiasu Asiwe mrefu wala. Mfupi Kabila: Lolote Awe mwajiriwa WASIFU WANGU Sio mnene sana wala mwembamba sana Sio mrefu sana wala mfupi sana Sio...
  9. She Quoted you

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba cha Kupanga Kigoma Mjini

    Habari, Natafuta chumba cha kupanga Kigoma mjini isiwe Ujiji wala uswahilini. Nitapendelea maeneo kama Kilimahewa,mjimwema,nazareth,maweni na viunga karibu na hivyo Chumba self cha nje napendelea zaidi Nyumba iwe ya kisasa (Presentable) Maji umeme na huduma zingine za muhimu usalama fence
  10. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta vifaranga vya samaki degere

    Habari Wakuu. Naomba msaada kupata vifaranga wa samaki aina ya degere. Nipo Arusha. Nipigie 0776655978
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wanaojua kupigana ngumi vizuri waliojazia

    Natafuta watu wanaojua kupigana ngumi vizuri waliojazia Nataka kujifunza huu mchezo wa ngumi ili nijiweke fiti
  12. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Natafuta mdada wa kazi za ndani, Mshahara- 60,000 Sehemu-kinondoni Dini - yeyote Aina ya familia atakayofanyia kazi ina Baba , mama na Mtoto wa miaka 4. Atakayekuwa tayaru nicheck Dm Update “nmeshapata”
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta tv inch 40 ya kununua. Nipo Dar

    Nipo Dar, nahitaji flat screen inch 40, isiwe na tatizo lolote bajeti yangu ni 350,000/- ukiwa serious nichek
  14. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kushea nae mume

  15. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kinyerezi ukubwa kiwe 30x25

    Wakuu natafuta kiwanja maeneo ya Kinyerezi kilichopimwa kwa size ya 30 kwa 25, bajeti yangu haizidi 10mil naomba mwenye kujua tuwasiliane
  16. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi pharmaceuticals dispenser

    Mimi ni mdada nina umri wa miaka 21 Nmemaliza chuo Cha Excellence college of health and allied sciences mwaka huu Diploma in pharmaceutical Nlkuwa natafuta kazi ya pharmaceuticals dispenser Dar es salaam Mwenye connection naomba ani pm CONTACT +255 713 438 532
  17. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, Nimesoma ualimu wa Historia na Kiingereza

    Nimesoma degree ya Education.(Ualimu). Nimesoma ualimu wa Historia na Kiingereza. Natafuta kazi ya ualimu au kazi yoyote ile ambayo ni halali. Niko tayari kwenda mkoa wowote ule hata Kigoma.
  18. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya kimazingaombwe ya wa namna hii

    nikitumia dawa hiyo nikimwambia mtu jambo anikubalie na asikatae,je dawa ya namna hii huwa ipo
  19. G

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi nina Elimu ya Certificate in Community health

    Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavosema mimi ni kijana mwenye miaka 22 nimesoma hadi ngazi ya certificate in community health Natafuta kazi katika mashirika binafsi (NGO) yanayoshughulikia masuala ya kijamii hata Kwa kujitolea kwa ujumla naweza fanya kazi kama social worker pia...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

    Kama wewe ni mwanamke na hutaki kuzaa basi njoo tuzungumze, yawezekana tukaishia kufunga ndoa mi nawe. Mimi sihitaji mtoto kabisa. Mimi naishi Dar es salaam. Dini yangu ni mkristo. Kwa upande wa mwanamke sina vigezo vingi kwasababu kigezo kikibwa tayari kipo kwamba huitaji kuzaa/huna mpango...
Back
Top Bottom