natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi nina Elimu ya Certificate in Community health

    Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavosema mimi ni kijana mwenye miaka 22 nimesoma hadi ngazi ya certificate in community health Natafuta kazi katika mashirika binafsi (NGO) yanayoshughulikia masuala ya kijamii hata Kwa kujitolea kwa ujumla naweza fanya kazi kama social worker pia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

    Kama wewe ni mwanamke na hutaki kuzaa basi njoo tuzungumze, yawezekana tukaishia kufunga ndoa mi nawe. Mimi sihitaji mtoto kabisa. Mimi naishi Dar es salaam. Dini yangu ni mkristo. Kwa upande wa mwanamke sina vigezo vingi kwasababu kigezo kikibwa tayari kipo kwamba huitaji kuzaa/huna mpango...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Banking and Finance

    Habari! Naomba mnisaidie kupata kazi wana jf, nimehitimu diploma ya masomo ya banking and finance lakini sijafanikiwa kupata kazi, ninaweza kazi za bank, assistant accountant pia nimekuwa cashier Kwa wakala wa Mabasi yaendayo kasi DAR (DART) Nipo DAR ES SALAAM naomba mnisaidie kupata kazi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana mwenzangu programmer tusaidiane

    Hili si tangazo la kazi bali natafuta kijana mwenzangu ambae ni programer na yupo kwenye app & web dev. Nimegraduate last year, computer science, hata kama huna degree ya computer science na wewe ni self taught hii inakuhusu Lengo ni kujiajiri, itakuwa vyema zaidi aki cover backend, Software...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kunitengezea hadithi fupi

    Natafuta mtu wa kutunga hadithi fupi fupi kwa ajili ya watoto. Ni hadithi ya maneno 1000 hadi 2000. Kwa wenye huo ujuzi anicheki PM tufanye maelewano.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume miaka 36 natafuta mke

    Kuhusu Mimi, Miaka 36 Mkristo Mwajiriwa wa serikali Shahada ya uzamili Urefu 175cm, Uzito 66Kg Ninaye mtafuta -Umri 28 mpaka 38 -Dini yoyote lakini awe tayari kuwa mkristo. -Akiwa na mtoto siyo mbaya .
  8. Cisco_G

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya ku supply nyama ya ngo'mbe na kuku wa kienyeji

    Habari wanaJf. Mimi ni mjasiriamali, na supply vitu mbali mbali ikiwemo vyakula (nafaka na vyakula vingine) Kwa sasa natafuta tenda ya Ku supply nyama ya ng'ombe na kuku wa kienyeji either kwenye mahoteli au sehemu za kuchoma nyama hata kwa mtu binafsi na supply pia. Kwa anaye hitaji au mwenye...
  9. Mary97

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani Kigamboni

    Habari zenu. Naitwa Mary, Miaka 25. Elimu yangu cheti. Naishi karibu na cornerstone (kibada). Natafuta kazi za ndani za kwenda na kurudk huku Kigamboni. Kupika, kufua, usafi, kutunza watoto naweza. Mshahara angalau laki, nauli juu yangu. Kama ulipo nauli inazidi 400/= utanisaidia nauli. Siku...
  10. Sylvester daudi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Camera ya Kununua Kuanzia Canon 500D

    Natafuta Camera ya Kununua Kuanzia Canon 500D. Kama kuna mtu anauza anitajie bei gani. 0716723263
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari

    Habari Ndugu Zangu, Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24 nina ishi mkoa wa Dar es salaam. Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari (Diploma in Computing and Information Technology) katika chuo xx. Pia nina mafunzo na kuhitimu Kwa kuwa na...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mabati Transparent, kofia na gata zake

    Wakuu habari, Niko Morogoro natafuta mabati ambayo ni transparent pamoja na kofia na gata zake. Mwenye kujua Morogoro yanapatikana wapi au Dar anijuze.
  13. Professor X

    JamiiForums Tanzania Natafuta muwekezaji kwenye Biashara ya Photography, Video Production na Graphics

    Habari wana jamii Ni matumaini yangu ni wazima wa Afya Kikiwa kimepita kipindi kirefu toka Nilete maombi kwenu. Niseme tu Asante Kwa waliokuja na kunipa mawazo na kunisahauri ila Nakuja tena mbele yenu kwa unyeyekevu Nikiomba ni mpate muwekezaji ili kuweza kulikamilisha wazo langu Baada ya...
  14. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Natafuta PS 2 USED

    Wakuu habari. Natafuta PS 2 used kwa walioko Dodoma. Tuwasiliane....
  15. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mawakala wa movie za kutafsiri

    Habari za leo wanajamii. Kati ya post zangu za hapo nyuma niliongelea application niliyotengeneza ya kuondoa sauti za waigizaji kwenye movie za netflix ili niweze kuweka sauti za kiswahili. Kwa ufupi natafsiri movie kama wanavyofanya kwenye tv ila niuze mtaani. Tayari nimemaliza kufanya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya maji safi

    Habari zenu, Mimi ni kijana nimeingia katika biashara ya maji safi, nina malori yangu ya maji safi ya kutosha, changamoto ni kupata kazi au tenda Mjini Dar. Hivyo basi nachukua fursa hii kutangaza fursa kwa vijana ambaye atanitafutia tenda nitamlipa per trip moja. Gharama zetu za huduma ni...
  17. Isaya mwakyoma8

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha nne

    Jamani nimekuja kwa mara nyingine tena . Hali imekuwa tete natafuta kazi. niko tayari kufanya kazi popote elimu yangu kidato cha nne. Umri miaka 26 naishi Keko Mwanga. Kazi za awali nilizo wahi kufanya 1. Kuongoza mashine ya kusaga nafaka mahindi kwa miaka 7. 2. Nimekuwa afisa mikopo kwa...
  18. To yeye

    JamiiForums Tanzania natafuta kaz ndan ya likizo

    Samahani kama nitawavuruga vichwa,,ila naomba mnielewe . Mwez wa 12 nina likizo ya mwez 1 means hadi januari,nataka ndani ya kipindi cha likizo hiyo mpaka shule zinafungua niwe nimeingiza at least laki 3 au 4.Naombeni vibarua hivyo bas wandugu...badala ya kulala tu na kuzunguka mwez mzima...
  19. benny gilbert

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeweza kufanya online marketing

    Hello JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Natafuta mtu wa anaweza kufanya online marketing, awe anafanya UDALALI WA FURNITURE AMBAZO NITAKUWA NATENGENEZA. MFANO WA FURNITURE NI KAMA ZIFUATAZO KABATI LA WAZI NI 100K, STAND YA VIATU 50K, MEZA 50K. VITU VYOTE VIPO YOMBO -...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtaalam wa Solar system/Products ambaye anaweza kuwa business Partner

    Wadau Nimepewa nafasi ya kuwa sole distributor wa solar solutions/products kutoka wa manufacturer wa china, mimi sina utaalam wa hiyo makitu . Sasa kabla ya kufanya any commitment na kuingia mkataba na manufacturer, nahitaji mtaalam ambaye tunaweza tukashirikiana (partners in business)...
Back
Top Bottom