Dereva natafuta kazi

Jimmy patrick

New Member
Jun 12, 2021
3
2
Habari ndugu zangu! wapambanaji na watafutaji wenzangu..kweli kazi ni changamoto sana kupata..na hasa kama auna connection utasota sana..itokee tu mkono wa mungu ukuguse!

jina langu naitwa James Patrick.nina miaka 26 na naishi jijini dar es salaam..nimekuja tena mbele yenu wana jamii forum..kuomba kazi ya udereva..elimu yangu mimi ni form four,mm ni dereva mzoefu sana sana.. Nimeanza kazi ya udereva 2013 na nimepitia changamoto zote za kazi hii..naielewa vizuri sana..ni kazi ambayo ipo damuni kabisa yani nahisi nimezaliwa kwa ajili ya kazi hii..ila bado tu sijapata sehem nzuri ya kutoboa kimaisha..

Mimi nina uzoefu wa kuendesha gari ndani ya dar au nje ya dar (mikoani). Pia nina uwezo mzuri wa kuzungumza na kuandika kiingereza na kifaransa kwa ufasaha zaidi..

Nina uzoefu wa miaka mitatu kwa kazi ya uber,bolt.. yani wakati uber inaingia sisi ndio tulikuwa madereva wa mwanzo ambao tulipewa hadi simu..kwenye account ya uber nimetimiza trip 5400.

kwa kazi ya uber imenifanya nijue jiji la Dar vizuri sana bila shida, Mimi sichagui sehemu ya kufanyia kazi hata mikoani naweza kuja kufanya kazi.

kwa mwenye uhitaji wa dereva kwa ajili ya..

*kuendeshwa tu (binafsi)
*kampuni
*safari za mbali

tuwasiliane kwa namba 0769130951.
shukrani
 
Nmevutiwa sana na ww kijana mwenzangu, na natamani nifanye kazi na wewe. swali je, UNAAMINIKA????
 
Huwezi jua kama mtu anaaminika kwa kumuuliza tu mpe kazi utajua uwaminifu wake
Anaweza sema ni muaminfu kumbe hapana
Yote yanatokea lkn muamini mpe mpe kazi kijana mwenzetu utaona utendaji kazi wake na uwaminifu wake kwako then utajilidhisha mwenyewe ...
Sisi madereva ndio changamoto kubwa tunayokutana nayo mtu kukupa kazi/gari lake hakujui hamjuani ni ngumu sana tena sana lkn tunapambana ivyo ivyo katika kutafuta
Kikubwa ni UWAMINIFU ulio TUKUKA
 
Ni kweli cz hata mm ni dereva tangu 2007 ila nmeacha 2018 saiz nafanya ishu nyingine so najua tulivyo kwa asilimia kubwa, na hapo ni kama nmemsisitiza awe mwaminifu hata kwa watu wengine, nkipata gepu ntampa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom