Natafuta kazi, elimu Bcs Environmental Health Officer & Health and Safety Officer expert (HSE)

Sep 9, 2021
19
3
Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Science with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.

“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
 
Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Officer with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.

“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
Mdogo wangu,tafuta kazi kwenye makampuni ya migodini,kwa ujuzi huo,mambo yako lazima yanyooke,
 
Omba kazi Mtwara Referral Hospital wametangaza kazi kwa taaluma uliyo nayo...

Mwisho tarehe 14/09 kama Sija kosea...

Tafuta tangazo omba...!
 
Dogo usijautapata kazi kwa hiyo cozi yako environmental na coz za OSHA utapata kazi ya safety, cha kufanya apply sehemu mbalimbali, miradi ya mafuta wametoa nafasi
Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Officer with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.

“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
 
Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Officer with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.

“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
Hujafanya Internship ??

Huwezi kukosa kazi wala usipanic maana hata serikalini ajira zake zipo kama MaAfisa Afya.
 
Ni pm namba yako ya watsap kama hutojali niwe nakutumia maombi ya nafasi za HSE officer
Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Officer with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.

“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
 
Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Officer with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.

“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
Bcs. of Environmental Health Officer with IT

Ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa hii kozi?
 
Mkuu jaribu kutuma maombi na hawa jamaa wa yarp merkez email yao ni hii oac@ym.com.tr na pia kuna wale wachina wa BGP wapo mlandizi wanafanya utafiti wa mafuta na gesi ila sina adress zao ila naamini google hauwezi kuzikosa.

hiyo taaluma yako huko nafasi hazikosekani au hata kama kuwaeleza kujitolea jaribu kufika eneo la mradi ulipo na ukajieleza sidhani kama itashindikana hasa kwa hao wachina naamini unaweza kupata mafanikio.

Sent from my M2006C3LI using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimuhitimu wa chuo kikuu mwenye Bcs. of Environmental Health Officer with IT na pia nimesoma short course ya OSHA NOSHC I (National Occupational Safety Health) natafuta kazi/kujitolea sehemu yyte Tanzania katika Taasisi binafsi/umma au miradi mbalimbal, viwanda mbalimbali, construction industries e.t.c kama Health and Safety Officer.

“NAOMBENI MNIPE UZI WAKUBWA”
Eti umesoma kozi gani??
Bcs. Of Environmental Health Science with IT
 
Mkuu jaribu kutuma maombi na hawa jamaa wa yarp merkez email yao ni hii oac@ym.com.tr na pia kuna wale wachina wa BGP wapo mlandizi wanafanya utafiti wa mafuta na gesi ila sina adress zao ila naamini google hauwezi kuzikosa.

hiyo taaluma yako huko nafasi hazikosekani au hata kama kuwaeleza kujitolea jaribu kufika eneo la mradi ulipo na ukajieleza sidhani kama itashindikana hasa kwa hao wachina naamini unaweza kupata mafanikio.

Sent from my M2006C3LI using JamiiForums mobile app
Daaah!!! shukran san mkuu nafanyia kazi ulichonambia
 
Hivi sasa kuna mradi wa umeme vijiji yaani ( REA), wakandarasi wote wanaoshiriki katika mradi huu, wamepewa sharti la kuwa na maafisa mazingira na afya pia. Ila vigezo vyao ni kubwa watu hao angalau wawe na uzoefu angalau wa miaka miwili na kuendelea
je una uzoefu huo?
 
Ndio mkuu uzoefu wa miaka miwili ninao
 
Back
Top Bottom